Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azindua barabara ya Shimo la udongo

Ikiwa chadema hawana uthibitisho na serikali ya CCM nayo haina ina Maana Lowassa alikuwa msafi.na kawaida ya CCM haiwataki watu wasafi Na wasio Na vyeti feki . Ndio Maana CCM ikawapa ushahidi wa uongo Chadema Ili waongee bungeni Na ktk mikutano Ili wapate Sababu ya kumuondoa Lowassa ktk chama cha mafisadi (CCM) aka mpya chama cha mavyeti feki.

Kama unakumbuka Dk slaa alikuwa anasema Hizi habari Za ufisadi anapewa Na USALAMA WA TAIFA .hii inaonyesha CCM iliwaambia usalama wa mtumie Dk slaa kumchafua Lowassa.

Kutwo kuwa na uthibitisho haina maana mtuhumiwa ni safi. Vyeti feki ni hoja dhaifu mnoo, awaonyeshe cheti, mmemwajiri?
 
Hili ni doa kubwa sana kwa awamu hii ya tano. Yaani mtu anatumia jina la mtu mwingine halafu aachwe tu tena ni mkuu wa mkoa. Hapana kunatatizo mahala
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda amezindua barabara ya Shimo la Udongo, Kilwa EPZ iliyopo kurasini ya Kilomita moja; Iliyojengwa kwa kiwango cha zege na kampuni ya wazalendo ya Grant Tech iliyogharimu takribani milioni 350.

Hongera Kiongozi




4c2366edb6792dad819aa8f800217cbc.jpg

Mmmh nasikia Kawa Dr Makonda
 
Kumbavuuu kabisa kumbe kibarabara chenyewe ndo hiko
Ili mradi apime upepo kama watu wamemsahau.....aje sinza na knyama watu wametengeneza barabara ya zege na paving kibaoooooo.....mwingine kapiga rami kabisa knyama tena siyo kampuni ni mtu mmoja....
Tunajua hzo ni propaganda za kishenzi za CCM....akyanani huyu rais muonevu boya kabisaaaaa....cjui huyu mtoto anampa nn so special....
 
Kutwo kuwa na uthibitisho haina maana mtuhumiwa ni safi. Vyeti feki ni hoja dhaifu mnoo, awaonyeshe cheti, mmemwajiri?
Umesahau nchi sio company. Serikali ya Tanzania ni serikali iliyochaguliwa kwa njia ya democracy. Na nini Maana ya ya democracy? Kwahiyo tunahaki ya kujua kila kitu kuhusu kiongozi yoyote wa umma.
 
Kwa kweli ni roho ngumu
Siyo roho ngumu! ana shingo ngumu ambayo huwa na tabia ya kuvunjika ghafla! Kuna mtu anamkingia kifua Daudi Bashite na ziro yake na uhalifu wake wa kitaaluma kwa gharama ya heshima yake mwenyewe! Anaangalia leo tu bila kujua kuwa kuna kesho inakuja!!
 
Back
Top Bottom