WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,233
Mazungumzo ni kama hivi:
Rais wa Rwanda Maj. General Paul Kagame, Rais wa Tanzania Mh.Dr.Dr. Jakaya Kikwere, Rais wa Uganda Maj. Gen. Yoweri Museveni, Rais wa DRC Joseph Kabila (Mungi).
JK: Wakuu nimekuja, haka kamama kana mkono wa US na UK, sijui nitachomokaje.
M7: Ebu kagame ongea kwanza.
Kabila: Namimi nilitaka kusema hivyo hivyo, ongea kwanza Kagame then nitaongea harafu tutakusikiliza.
Kagame: Nilijua tu kale kamama kanonko, haswa kaliporuhusu ushoga. Lakini JK kwani shida iko wapi bana?
JK: Nimesema kama mkono wa US na UK, sasa nimekuja mnipe mawazo na mbinu kule kuna wese na gesi ya kutosha.
JK: Hapa tukiweza kuliweka sawa hilo, M7 atakula site, Kagame utakula site na bana mdogo hapo atakula chake. Mnasemaje?
M7: Bonge la dili.
Kagame: Now you are talking JK!, siyo mara US mara UK, hao wote wanataka wese na gesi.