Mkutano wa chadema songoro shule ya mlala

kijenge

Senior Member
Mar 9, 2012
179
164
Wana jf niko huku songoro tuna msubiri dr silaa, mbowe na nasary kwenye shule ya mlala alikosoma na nasary mvua inanyesha sana sugu amehutubia kwenye mvua umati wa waliopo hapa.cjui kama chopa inaweza kutua na hii mvua wananchi wanasema chadema wamekuja na baraka, ccm walipokuja hapa hawakupata watu wakaondoka wakasema watarudi.machali wapo kwenye mvua wanaimba wimbo wa kijana huyu sio ridhi kijana sioi,kazi kweli kweli
 
Tunaomba ujitahidi kutupatia picha kidogo mkuu, sisi huku Msoga kijijini hatuna njia nyingine ya kupata taarifa zaidi ya JF na RTD
 
Wana jf niko huku songoro tuna msubiri dr silaa, mbowe na nasary kwenye shule ya mlala alikosoma na nasary mvua inanyesha sana sugu amehutubia kwenye mvua umati wa waliopo hapa.cjui kama chopa inaweza kutua na hii mvua wananchi wanasema chadema wamekuja na baraka, ccm walipokuja hapa hawakupata watu wakaondoka wakasema watarudi.machali wapo kwenye mvua wanaimba wimbo wa kijana huyu sio ridhi kijana sioi,kazi kweli kweli

Ni vema mkuu jitahidi utupie hapo photos,nasikia magamba wapo Nkwarua ila nao leo mvua inaweza haribu utam.
 
CCm wanapiga propaganda kuwa eti cdm wamekwisha wameshafunga mdomo viongozi wote.
 
Duh kweli wajinga wali wao, na waache wafu wawazike wafu wenzao. Cdm kimekuwa Chana cha majungu na mpaka sasa hakuna sera huko arumeru, hiki chama muda si mrefu kitanuka
 
Back
Top Bottom