Mkutano wa Chadema Reading, Updates

kIHELEHELE CHA KINA LUSINGU NA LUKOSI WOTE CHINI.WAMEFELI WAMEPATA WATU 20.KAJIPANGENI TENA.HADANGANYWI MTU.POLE CHRIS LUKOSI.WANAONA HAYA HATA KUWEKA PICHA ZAO.
LUSINGU KABEBEE MABOKSI SIASA HUWEZI.
 
Unapiga shift ya saa ngapi kesho?tega alarm uwahi kupiga u kitchen porter mkuu,maana kumchukia Lukosi unapoteza muda tu,yule kajipgania mpaka alipofikia,hata kumpikia majungu Gerald nae kwake unapoteza muda wako tu
 
kIHELEHELE CHA KINA LUSINGU NA LUKOSI WOTE CHINI.WAMEFELI WAMEPATA WATU 20.KAJIPANGENI TENA.HADANGANYWI MTU.POLE CHRIS LUKOSI.WANAONA HAYA HATA KUWEKA PICHA ZAO.
LUSINGU KABEBEE MABOKSI SIASA HUWEZI.

tuwekee picha na utuambie walikuwa wanatarajia watu wangapi...
 
Natumia simu nimeshindwa ku upload pictures, nitawawekea usiku huu.
Mwigulu nchemba apata dongo ambalo hatalisahau
 
Tutawarushia video ambayo Kama mwigulu akiiona atajuta kwa nini alivalisha mbwa bendera ya Chadema
 
naona watu zaidi ya 25

Let's put things into perspective. Watu (watanzania) 20 kwa London ni wengi sana. Tukumbuke wengi wa watanzania walio majuu ni watoto wa vigogo au watu wana maslahi na 'mfumo'. Pia kwa London kuna watanzania wengi toka Pemba -automatically watakuwa wafuasi wa CUF.
 
Aaaaaaaaaah sasa si mngewavua ungangari Hao cuf wavae gwanda au nyinyi mpaka mtu awe ccm tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom