Mkutano wa Chadema Reading, Updates

usisahau mapicha...


253913_267782513333307_1472439461_n.jpg
 
Tanzania inahitaji kila mchango wa mwananchi/raia wake popote alipo chini ya jua. Tunaheshimu mchango wa ndugu zetu hawa ktk harakati za kuikomboa nchi hii.

Tunawaomba members wa CDM UK mkumbuke huu ni mwanzo tu, safari ya kuijenga upya Tz baada ya 2015 ni ngumu na michango yenu ya hali na mali itaendelea kuhitajika sana.

Tafadhali msikatishwe tamaa na mbweha wenye kuona urefu wa pua zao tu. Eti wanakejeli kura hamtapiga na ushuzi mwingine wa kufanana na huo.

Leo watu wachache wanaweka mbegu na kuhangaika kulima, wakati wa mavuno ni wengi watakofaidi matunda ya kazi ya hao wachache. Hivyo basi Ni uimara kama huo wa kikao cha Reading utakaolzimisha mthaminiwe na kuheshimika kwa kupewa haki zenu mbali mbali ikiwemo ya kupiga kura popote mlipo.

Muda wa kujipongeza bado, kazi kwanza! People's!!!!!!!!!!!!!!!!.............................
 
Kwa mwendo huu, mtafuta taswira ya diaspora wa Tz ambao iliaminiwa kuwa hawana uzalendo wala mchango kwa nchi yao.
 
Chriss Lukosi ni kijana shujaa asiye na woga, asiyekubali kuyumbishwa, mwadilifu, mpenda haki na mwenye mapenzi ya kweli na nchi yake ya Tanzania. Chadema -UK mmepata kiongozi makini sana aka kamanda ambaye bila shaka atafanikisha sana shughuli za chadema UK na ulaya yote kwa jumla. Kama ningekuwa Raisi wa Tanzania, Chriss Lukosi ningemchagua kuwa balozi wa Tanzania UK.
 
Aaaaaaaaaah sasa si mngewavua ungangari Hao cuf wavae gwanda au nyinyi mpaka mtu awe ccm tu

siera jina lako.Umenikumbusha mbali sana .siera ni radio za kwanza za mbao .inatumia betri kama gari .1966 .alafu ilikuwa inauzwa na kadi kama ya gari .inalipiwa na leseni hela kumi na tano kwa mwaka ,duu umenikumbusha mbali sana .
 
More pictures manake naona magamba yanachonga sana humu, wamemtisha mwenzao kaogopa kuja lakini watu tumeweza kuchukua wanachama wa cuf na wa ccm jana. na hii ni sisi wenyewe bila viongozi wa taifa. tumesajili wanachama wapya 38 jana idadi ambayo ni kubwa sana kwa UK
 

Attachments

  • wadau.JPG
    wadau.JPG
    1 MB · Views: 58
  • IMG_4556.JPG
    IMG_4556.JPG
    1.3 MB · Views: 68
  • Watu wengi walijiunga na chadema.JPG
    Watu wengi walijiunga na chadema.JPG
    1.1 MB · Views: 65
  • SALIM akikabidhiwa kadi yake.JPG
    SALIM akikabidhiwa kadi yake.JPG
    988.2 KB · Views: 73
  • IMG_4577.JPG
    IMG_4577.JPG
    861.7 KB · Views: 60

Similar Discussions

Back
Top Bottom