Ule mkutano maalum sasa utakuwepo Jumamosi Mei 26, 2012 badala ya Jumapili kama ilivyopangwa hapo awali.
sehemu ni ile ile pale Miraji Hall.
Wote karibuni
Mbona mnatuchanganya DMV ndio wapi? na Jangwani unafanyika lini?
wewe gamba mambo ya cdm yanakuhusu nn??
Me naona ungejitambulisha kuwa wewe ni nani na nafasi yako kichama unless otherwise watu watakususpect kivingine.Ule mkutano maalum sasa utakuwepo Jumamosi Mei 26, 2012 badala ya Jumapili kama ilivyopangwa hapo awali.
sehemu ni ile ile pale Miraji Hall.
Wote karibuni