Mkutano mkubwa wa hadhara wa kumtambulisha Katibu mkuu CHADEMA Dr Vicent Mashinji -Furahisha Mwanza

Ebu tueleze huo usomi wake wa kuwa msomi wa kiwango cha Katibu Mkuu msomi kuliko wote duniani?hivi Masters huko Chadema ndio usomi wa ajabu hivyo?

Tambua anaitwa Dr kwa maana ya Daktari wa Hospital, kwa degree yake ya kwanza ya Medicine na sio kwa kuwa na PHD. Unless kama wenzetu huko mlikimbia umande.
PhD kapewa na Mbowe kabla hata ajamaliza kusoma.
 
Kweli mapenzi ugonjwa, yaan huyo Daktari kwa kuwa na degree yake ya Medicine na Masters ya Business Administration basi anakuwa msomi kuliko makatibu wa vyama vyote duniani?seriously?kama huyo ni msomi kihivyo labda reference yako ilikuwa too weak.

Labda kama huko Chadema mtu kuwa na masters ni usomi mkubwa kiasi hicho, may be kwa sababu umemlinganisha na Mwenyekiti.
Uache kujongea kama kinyonga
Unataka msomi yupi zaidi ya Hugo ulitaka aitwe professa?

Elimu ya Udaktari inachukua miaka kuanzia mitano had I saba
We we Katibu wako so kasomea ujangili tu huko ukomunisti ulikozaliwa unaoamini katika siasa chafu na propaganda tu!

Wasome viongozi wa Democratic na Republican kisha ujipime usemacho hapa kama chuo chako sio pale Lumumba
Na Mwl wako in yule vuvuzela
 
Uache kujongea kama kinyonga
Unataka msomi yupi zaidi ya Hugo ulitaka aitwe professa?

Elimu ya Udaktari inachukua miaka kuanzia mitano had I saba
We we Katibu wako so kasomea ujangili tu huko ukomunisti ulikozaliwa unaoamini katika siasa chafu na propaganda tu!

Wasome viongozi wa Democratic na Republican kisha ujipime usemacho hapa kama chuo chako sio pale Lumumba
Na Mwl wako in yule vuvuzela

Umeisoma CV yake?je kwa kuwa kwake na hiyo degree moja ya Medicine na MBA kunamfanya kuwa Katibu Mkuu msomi kuliko wote duniani?hivi huko Chadema hamna wenye walau Masters mpaka muuone huu kuwa ndio usomi kwelikweli?mnatatizo la ELIMU ELIMU ELIMU.
 
Mbowe kweli mwanahisabati,kwa kuwa alijua katibu wake atatoka Mwanza akahamishia mkutano huko,kamteua huko huko,na kumtambulisha huko huko Mwanza akimaliza anarudi zake Dar kazi kashamaliza.....kwa maneno mengine katibu angetoka Songea tusingeshangaa CC kufanyika Ruvuma,kweli full kubana matumizi
 
Naona macho yako hayaoni hiyo PhD hapo au yamezoea kuona PhD za Upumbavu wakuelewa ccm
PhD bado anasoma nimekuuliza hiyo PhD kapewa baada ya kupewa ukatibu mkuu.

Hiyo degree moja ya Medicine na MBA kunamfanya kuwa Katibu Mkuu msomi kuliko wote duniani kama anavyosema Molemo.

Mapenzi mabaya sana hivi huko Chadema hamna wasomi.
 
sasa aje mtu hapa kusema hichi ni chama cha kikanda atasema hayo maneno kayatoa wapi waaaah! tukutane 2020
 
Ni Jumapili njema yenye kila aina ya shamrashamra hapa Mwanza.

Jumapili iliyoingia katika historia ambayo usiku wa kuamkia kwake Taifa limeshuhudia Msomi aliyebobea Dr Vicent Mashinji akiukwaa nafasi ya Katibu mkuu wa chama kinachopendwa zaidi nchini CHADEMA.

Freeman Mbowe gwiji wa siasa za Tanzania aliicha dunia mdomo wazi pale alipotamka jina ambalo halikutarajiwa kabisa kuvaa viatu vya Katibu Mkuu.Shangwe nderemo na hoihoi za wajumbe ziliashiria kukubalika kwa mteule huyo wa Mwenyekiti.

Kama ilivyotangazwa awali kijana huyo mwenye miaka 43 na msomi ambaye huenda ndiye msomi kuliko makatibu wakuu wa vyama vyote duniani atapanda jukwaani kutambulishwa kwa umma.

Mkutano wa kumtambulisha Dr Mashinji utafanyika katika viwanja vya Furahisha kuanzia saa 8 mchana na utahudhuriwa na viongozi wote wakuu.

Tutawaletea kila kitakachojiri katika mkutano huo unaotarajiwa kuvunja rekodi ya mikutano jijini Mwanza kwa miaka ya karibuni.
 
Udaktari na siasa wapi wapi?yaani Jana ulikuwa unatibu binadamu Leo unapanda jukwani kwenda kutukana au kuponda watu,Mungu ambariki sana
 
Ahsante kwa taarifa kamanda mpambanaji wa kweli Molemo. Tuko makini kufuatilia ukituleta mambo mazuri kitoka Mwanza The Rock City.

Nitumie fursa hii kumpongeza Dkt. Vicent Mashinji kwa kuaminiwa na Mwenyekiti na kisha kuungwa mkono kwa 100% na wajumbe wa baraza kuu.

Tuko pamoja na wewe. Tutakupa ushirikiano wa kutosha ili kuhakikisha kuwa malengo yetu yanatimia kama tulivyojipangia.

Nawatakia kila la kheri wananchi wa Mwanza kwa kupata bahati ya kuwa wa kwanza kumkaribisha jukwani Katibu Mkuu mteule wa CHADEMA.
 
Hakika natamani sana kusikia katibu mkuu akiunguruma kutokea furahisha, watanzania wanatamani kumuona
 
Pamoja na elimu yake inayoonekana ni kubwa kupitiliza kwa wana CDM, je ana historia gani nyingine ya kuwahudumia Watanzania hadi alipofikia? Hili ni muhimu kukamilisha mapenzi yake kwa nchi hii.
Kusoma tu ni mapenzi tosha kwa nchi yake
 
Mungi, nimeisoma CV yake vizuri, ana u Dr wa degree ya kwanza ya Medicine ya Makerere na Masters ya Bussiness Administration?

Mie kwenye zero zenu huko sipo, issue yangu hapa ni "Msomi kuliko makatibu wa vyama vyote duniani"???labda kama mlikimbia umande.
Bisha kwa ushahidi
Wazijua elimu za makatibu wa vyama vingine?
 
Back
Top Bottom