Mkutano mkubwa wa hadhara wa kumtambulisha Katibu mkuu CHADEMA Dr Vicent Mashinji -Furahisha Mwanza

Pamoja na elimu yake inayoonekana ni kubwa kupitiliza kwa wana CDM, je ana historia gani nyingine ya kuwahudumia Watanzania hadi alipofikia? Hili ni muhimu kukamilisha mapenzi yake kwa nchi hii.
 
Ebu tueleze huo usomi wake wa kuwa msomi wa kiwango cha Katibu Mkuu msomi kuliko wote duniani?hivi Masters huko Chadema ndio usomi wa ajabu hivyo?

Tambua anaitwa Dr kwa maana ya Daktari wa Hospital, kwa degree yake ya kwanza ya Medicine na sio kwa kuwa na PHD. Unless kama wenzetu huko mlikimbia umande.
Naona macho yako hayaoni hiyo PhD hapo au yamezoea kuona PhD za Upumbavu wakuelewa ccm
 
Hakika macho na masikio ya watanzania ni Mwanza leo, huyu Mashinji nasikia akitoa tamko nchi nzima inasimama!
 
Umeandika kishabiki kupitiliza......
Molemo ni mtaalam wa propaganda, ulitegemea aandike nini zaidi ya hicho alichokiandika ambacho ni zaidi ya propaganda yenyewe. Amediriki kusema ni katibu mkuu wa chama msomi kuliko makatibu wakuu wote wa vyama duniani!!
 
Mungi, nimeisoma CV yake vizuri, ana u Dr wa degree ya kwanza ya Medicine ya Makerere na Masters ya Bussiness Administration?

Mie kwenye zero zenu huko sipo, issue yangu hapa ni "Msomi kuliko makatibu wa vyama vyote duniani"???labda kama mlikimbia umande.
 
Molemo ni mtaalam wa propaganda, ulitegemea aandike nini zaidi ya hicho alichokiandika ambacho ni zaidi ya propaganda yenyewe. Amediriki kusema ni katibu mkuu wa chama msomi kuliko makatibu wakuu wote wa vyama duniani!!
Hoja hujibiwa kwa hoja, nilitegemea ungeleta CV za makatibu wa vyama vingine duniani ukianzia na WENU ili kuiua hoja ya Molemo.
 
Mungi, nimeisoma CV yake vizuri, ana u Dr wa degree ya kwanza ya Medicine ya Makerere na Masters ya Bussiness Administration?labda kama mlikimbia umande.

Mie kwenye zero zenu huko sipo, issue yangu hapa ni "Msomi kuliko makatibu wa vyama vyote duniani"
Umesoma CV gani mkuu? PhD toka Open University hujaiona? Soma tena...
 
Kweli mapenzi ugonjwa, yaan huyo Daktari kwa kuwa na degree yake ya Medicine na Masters ya Business Administration basi anakuwa msomi kuliko makatibu wa vyama vyote duniani?seriously?kama huyo ni msomi kihivyo labda reference yako ilikuwa too weak.

Labda kama huko Chadema mtu kuwa na masters ni usomi mkubwa kiasi hicho, may be kwa sababu umemlinganisha na Mwenyekiti.
wewe hata Elimu ya juu huna.


swissme
 
Tunawaombea amani na utulivu wa kutosha, tunaomba Dr.Mashinji apewe muda wa kutosha na tupate kumpima vema anavyolimudu jukwaa
 
Ni Jumapili njema yenye kila aina ya shamrashamra hapa Mwanza.

Jumapili iliyoingia katika historia ambayo usiku wa kuamkia kwake Taifa limeshuhudia Msomi aliyebobea Dr Vicent Mashinji akiukwaa nafasi ya Katibu mkuu wa chama kinachopendwa zaidi nchini CHADEMA.

Freeman Mbowe gwiji wa siasa za Tanzania aliicha dunia mdomo wazi pale alipotamka jina ambalo halikutarajiwa kabisa kuvaa viatu vya Katibu Mkuu.Shangwe nderemo na hoihoi za wajumbe ziliashiria kukubalika kwa mteule huyo wa Mwenyekiti.

Kama ilivyotangazwa awali kijana huyo mwenye miaka 43 na msomi ambaye huenda ndiye msomi kuliko makatibu wakuu wa vyama vyote duniani atapanda jukwaani kutambulishwa kwa umma.

Mkutano wa kumtambulisha Dr Mashinji utafanyika katika viwanja vya Furahisha kuanzia saa 8 mchana na utahudhuriwa na viongozi wote wakuu.

Tutawaletea kila kitakachojiri katika mkutano huo unaotarajiwa kuvunja rekodi ya mikutano jijini Mwanza kwa miaka ya karibuni.
Molemo,

Tutoe tongotongo huyu Dr wenu ni msomi wa level gani maana hata PhD ajamaliza kusoma au unamlinganisha na Mbowe.

Yaani dunia nzima huyu ndiyo Katibu Mkuu msomi wa vyama vya siasa daah!!

Nimepitia CV yake elimu yake yakuunga unga.
 
Naona macho yako hayaoni hiyo PhD hapo au yamezoea kuona PhD za Upumbavu wakuelewa ccm
Tatizo lako labda wewe mwenyewe ata kusoma hujui, nionyeshe hiyo PHD yake?

FORMAL EDUCATION
..................................................................................................................................................................................
CORE PROGRAMMES:

Level Institution Award

Doctoral The Open University of Tanzania Doctor of Philosophy (by Thesis): Leadership and Decision Making (In progress)

Masters University of Roehampton, London - UK Master of Public Health (In progress)

Masters Blekinge Institute of Technology, Ronneby - Sweden Master of Business Administration - Graduated

Masters University of Dar es Salaam, Muhimbili University Collage of Health Sciences Master of Medicine in Anesthesiology and Intensive Care - not graduated

Undergraduate Makerere University Kampala, Uganda Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery - graduated

Advanced Level Secondary Education Mzumbe High School, Tanzania Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE)

Ordinary Level Secondary Education St. Pius X Seminary Makoko, Tanzania Certificate of Secondary Education Examination (CSEE)


Primary School Certificate Iligamba Primary School, Tanzania Leaving Certificate
..................................................................................................................................................................................

Ndio maana nasema labda mlikimbia umande, kwa kuwasaidia hapo CV yake inaonyesha:
1. Amehitimu Forn Four
2. Amehitimu Form Six
3. Amehitimu degree ya kwanza ya Medicine Chuo Kikuu cha Makerere
4. Amehitimu Masters ya Businness Administration ya Blekinge Institute of Technology.

Hivyo hana PhD bado na hana qualification zingine zaidi ya hizi hapo juu.Labda hamjui maana ya IN PROGRESS na NOT GRADUATED
 
Molemo,

Tutoe tongotongo huyu Dr wenu ni msomi wa level gani maana hata PhD ajamaliza kusoma au unamlinganisha na Mbowe.

Yaani dunia nzima huyu ndiyo Katibu Mkuu msomi wa vyama vya siasa daah!!

Nimepitia CV yake elimu yake yakuunga unga.
Naona Baado umelewa ndio unataka utolewe tongotongo? Kumbe baado ujaacha ulabu
 
Molemo ni mtaalam wa propaganda, ulitegemea aandike nini zaidi ya hicho alichokiandika ambacho ni zaidi ya propaganda yenyewe. Amediriki kusema ni katibu mkuu wa chama msomi kuliko makatibu wakuu wote wa vyama duniani!!

Poleni mkuu @Kimbunga.Najua uteuzi wa mwenyekiti umewaacha uchi.Mliowategemea hakuna hata mmoja
 
Back
Top Bottom