Mkutano Mbeya, kauliza mbona hamnipigii makofi!

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,087
5,079
Naangalia mkutano wa CCM Mbeya. Msemaji mmoja kauliza CCM mpooo akajibiwa tupo kisha akasema "mbona hamnipigii makofi?"

Kazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom