Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

Mwenyekiti wa Baraza anasema tutoe maoni yetu. Tusipoteze muda. Naomba mambo mengine yatazungumzwa.
Twendeni kwenye hoja
 
Bwana Majaliwa Kyala:
Katibu mkuu wa SAU
Nashukuru na ninawashukuru watoa mada wa jana walitueleza kuhusu 4R. Hata humu ndani hatuzifahamu. Hatuna ustahimilivu.

Mama yetu Samia wakati huu ni mtamu. Tutumie wakati huu, hii ni fursa. Tusije kufanya katika bunge la katiba. Wale walisusia.

Mimi nachangia kifungu 12. Majukumu ya tume ya uchaguzi. Tume hii inaratibu masuala ya uchaguzi nchini.
Ni vyema sana tume ya uchaguzi isimamie uchaguzi wa serikali za mitaa. Majukumu haya yaongezwe

Mipende kuwapongeza wadau waliona kuwa ni vyema kuwa vyama hivyo viongezewe ruzuku. Sijui kwanini halijawekwa kwenye mswada wa jana.

Nashukur sana kutokuweka mgombea binafsi.
Namalizia. Nigusie suala la jenda. Tunapenda sana kuyapigania haya makundi. Tunaona wazee na makundi mengine yanalalamika.
Inabidi twende kwa tahadhari. Maana kuna wimbi la vijana wengi sana wanajitokeza. Tutasikia vijana wa kiume na wenyewe wanaomba haki.

Jambo la jinsia twende kwa tahadhari. Wimbo wetu wa EAC umezungumzia mambo ya mila na desturi zetu. Dini zinasema mwanaume ni kichwa. Huku berin walikuwa wanazugumzia wanake kuogelea vifua wazi
 
Hassan Almasi;
Ni jambo adhimu sana kupata fursa kujadili mambo ambayo tumekuwa tunalalamikia mambo haya.
10/03 Rais aliapishwa 15 dec 2021 aliunda kikosi kazi.
03/01 2023 aliwaita viongozi wa vyama vya siasa na kuondoa zuio la mikutano na aksema atatumia 4R.
Anaendelea kutuoa kumbukumbu.
Jambo hili ni zuri.

Naenda kwenye mswada.
Sehemu ya pili ya mswada. Kuazishwa kwa tume. Tulikuwa hatuna sheria ya tume ya uchaguzi. Sasa tutakuwa na sheria.

Itakuwepo tume ya usaili ambayo itakuwa na majaji nk. Mambo yetu ya Tanzania yanatakiwa yafanyike kwa utaratibu wetu sisi watanzania.

Kifungu cha 6. Kinasema Tume itakuwa huru. Kama watu hawaamini haya tuandike maneno gani sasa.
Kama unataka kujua sheria ya mchezo ni lazima usome vizuri ili uweze kucheza mchezo huo.
 
Nuru Kimwaga Mwenyekti wanake TLP:
Nilinyosha mkono jana sikupata nafasi.
Nampongeza Rais kwa kukufungua njia.
Sioni sababu ya kumtaja vibaya Mh. Rais. Tulijenge taifa hili kwa pamoja.
Kuhusu masuala ya wanawake:
Naomba sana katika miswada hii. Wanawake ni kundi ambalo lilisahaulika. Kuna kundi la vijana na kuna kundi la vijana. Wanawake wananguvu kubwa sana kuleta maendeleo katika nchi hii. Wanawake washirikishwe kwenye nafasi ya tume ya uchaguzi walau hata asilimia mbili katika ile tume.
 
Neema Lugangira Mbunge CCM
Mwezi novemba mwaka jana.
Ulipitishwa mwongozo wa uchaguzi barani afrika. Mswada huu haujazungumzia kabisa matumizi ya mitandao.
Imejulikana kuwa mitandao ya kijamii inaweza kutumika vibaya na kuvuruga uchaguzi. Naomba iongezwe ibara itakayoongelea matumizi ya mitandao.
 
Swaumu Rashid:
Rais wetu ameonesha nia ya dhati kuleta mabadiliko.
Naenda kwenye mswada. Kuna masuala tunatakiwa kidogo tuyawekee msisitizo

Kifungu kinachoelezea kuiba au kuharibu kadi ya mpiga kura.
Uringo ilifanya utafiti kuhusu wanawake kunyimwa kupiga kura na wengine kulazimishwa kuwapigia wengine. Adhabu iongezwe badala ya 100, 000.

Sababu za kuaihirisha uchaguzi isiwe vurugu pekee yake. Hata majanga pia yanaweza kuvuruga uchaguzi.
Kwa mswada uliowasilishwa kuna mambo ambayo yanaweza kutekelezeka bila mabadiliko ya kikatiba. Tunaweza kuingiza mapendekezo haya bila kuathiri katiba.
 
Lipumba:
Jambo la msingi katika mswada huu. Liweze kutatua matatizo yaliyojitokeza kwenye uchaguzi wa 2020.
Mweyekiti na makamu mwenyekiti wanateuliwa. Je, bila kuvunja katiba tunaweza kuweka utaratibu wa kupendekeza mwenyekit na makamu mwenyekti.

Sheria ya tume ya uchaguzi tume iweze kuwa na watendaji wake. Mkurugenzi wa uchaguzi kuwa katibu wa tume ya usaili. Hii inakuwaje kuwa katibu anateua mabos wake.

Je tunaweza kuwa na namna ya kupata Mwenyeiti na Makamu mwenyekiti kwa kusailiwa?
Mapendekezo iwe ni kwamba usaili uwe kabla ya uchaguzi mkuu
 
Moses Cheyo:
Jambo la kwanza, kama moja wapo ya wazee tujipongeze wote kwakuwa na kikao hiki.
Katika 4R tulizofundishwa jana R moja inayohitajika katika mswada huu ni reform.
Moja kubwa kabisa tafsiri ya tume. Huko kata anaweza kujiita tume.
Upana wa tafsiri juu ya watenda wa tume wawe wa moja kwa moja siyo kuazima kutoka TAMISEMI.
Mkurugenzi anajifungia akifungua mlamgo anatangaza matokeo yaek.
Tukiongea reconcilation ni reconcilation na voters. Mkurugenzi ameonywa kuwa uchaguzi ukienda vibaya kwako mkeka unakuja.

Tume haionekani chini. Kwenye mswada huu hatuoni tume huko chini. Ninawaambia vijana hakuna sehemu ya kukimbilia ni hapa hapa tutengeneza tume nzuri.

La pili tume wajibu wake, itusaidie kusimamia pesa. Maana uchaguzi wa sasa ni mnada ukiwa na pesa ndio unapata ubunge ukiwa huna fedha hupati.
Jukumu moja wapo kubwa kuratibu pamoja na matumizi ya fedha hayaruhusiwi. Na adhabu kali. Leo watu wanatuibia sehemu nyingi ili kukusanya pesa wawe wabunge. Kama hamsikii shauri yenu.

Je, ni lazima tuendelee na utaratibu huu. Je hatuwezi kwenye na propotional representation. Tunashindana vyama hatushindani kuwa tunapesa kiasi. Hii inasaidia kuwa na serikali ya umoja wa kitaifa. Itutafutie namna kuchaguaniani.

Yaani unahonga kiberiti au kabodo.

Wewe naona unataka numbers sisi tunataka ideas. Eti wamechangia wangapi
 
Bora ya Lipumba
 
Cheyo apewe maua yake anghalau hawa wengine ni wasifiaji pekee
 
Abdul Nondo
Mwenyekiti wa vijana ACT
Mapendekezo ya Chama chetu.
9(1,6,7,8) Wajumbe watapatikana kupitia usaili. Kiongezwe kifungu kingine kuwa kitachoongelea kuwa wajumbe wengine watapatikana kutokana na wajumbe kuchaguliwa kwa wacha vilivyo na uwakilishi bungenu.

Mwenyekiti na Makamu mwenye wapitie namna ya upatikanaji wake. Mfano kama majaji wapo na tume yao. Wanaweza kuomba na ikateua watatu watatu.

Sifa ya Mwenyekti na makamu mwenyekiti haijasema kuwa anajihusisha na chama chochote. Sheria na mswada huu imekaa kimya. Haitakiwi kuonesha kuwa anahistoria ya kujiunga na chama chochote.

Kifungu kina sema Mkurugenzi atakuwa Katibu wa kamati ya usaili. Sasa inawezekanaje sasa. Haitakiwi iwe hivvyo.

Mkurugenzi atakuwa afisa mwandamizi kutoka utumishi wa umma. Kifungu hiki kiweze kubadilishwa.
Tume inaweza ikagawiwa sehemu mbili.

Hii miswada yote tunayoijadili iweze kufanya kazi. Lazima tutoe mapendekezo ya mabadiliko madogo ya katiba/
 
Thabit Mrangi mwandishi wa sheria
Chochote ambacho kitatungwa bila kuzingatia (utu.....)
Tumshukuru mweshimiwa Rais kwa mambo haya. Lakini lazima tuweze kwenda kwa umakini sana.

Kwanini wajumbe wa baraza wafanyiwe usaili kwanza. Chochote tunachoandika kisilete mashaka kwenye mkuu wa dola. Hii tume inaenda kutekeleza mambo ya serikali na kiongozi wa serikali ndiye rais mwenyewe.
Hatuwezi kujenga nchi kwa kuwa na mashaka. Tuna kuwa na shaka kwa nini wakati tumeyaweka mamlaka sisi wenyewe.
Mimi shaka yangu. Hawa ni wajumbe. Na kama tunaona watumishi wa umma tunawatilia shaka. Sasa tuta waamini vipi watumishi wa mitaani watakuwa waadilifu.

Kuna vitu hivi tunatakiwa kuwa makini navyo.
Tumesema hivi tume itakuwa huru. Maneno hayo yanatosha. Hakuna namna nyingine tunaweza kuandika. Hata tukiandika haki ya Mungu tume itakuwa huru. Ni lazima tuaminiane.

Paradox haihepukiki. Maana hapa watu wengi watasema hivi lakini hatuwezi kuziondoa.
 
Majjid Mjengwa:
Jana nilikuwepo hapa nilimsikiliza sana makamu wa kwanza wa rais Zanzibar.
Keyword aliongelea kuhusu reforms. Hii ndiyo key kwenye 4R.
Nimewaona waandishi hapa Paskal Mayala na Manyerere.

Machakato wa kidemokrasia na ni wakuendelea. Tumewaona hapa Lipumba, Cheyo. Hawa walikuwa waasisi wa demokrasia ya vyama vingi na wengine walitangulia mbele ya haki.

Watu wa vyama vyote wanakaa pamoja. Hii ni kumpongeza rais.
Hii ni fursa adhimu kwa nchi yetu.
 
Dr. Idda
Kwa ujumla yametolewa maoni mazuri.
Niongee kidogo kwa yule aliyemaliza kuhusu rushwa ya ngono.
Kwanza ni mazingira kwamba wanaume ni wengi kuliko wanawake.
Mwanamke hana resource yoyoye. Uchaguzi unahitaji pesa. Sasa mwanamke anatamani kwenda sehemu fulani. Inabidi atumie namna hiyo ili aweze kufikia kule. Kuna wakati mwanaume anamuanza lakini kwa namna nyingine mwanamke anatumoa rushwa ya ngono kufikia anakotaka.

Lakini jambo kubwa ni kuwawezesha
 
Dr. Mrisho
Napenda kupongeza michango yote.
Eneo lililosisitizwa ni jinsia. Naona hiyo ndiyo theme katika mkutanoa wa kuanzia jana.
eneo lingine la kuzingantia ni mambo ya teknolojia. Ni lazima tuende na mabadiliko hayo. Hii ndiyo inaweza ikaondoa kelele,

Jinsi gani tunaweza kuingiza ni swala la mjadala.

Jamboa jingine, tume za uchaguzi kusimamia uchaguzi wa chini. Mawazo kuwa uchaguzi utaenda vizuri zaidi kama tume itatumia watumishi wake huko chini.
Ni suala la gharama, inawezekana lisiwezekane leo. lakini tunako elekea tutaweka.

Nampengesa sana bwana Nondo ameenda moja kwa moja kuchangia vifungu. Ningependa sana kuona hilo litokea kwenye mjadala ujao.
 
Mwasilishaji wa mada tufanya majumuisho
Majumuisho ambayo ningependa wajumbe waelewe kuhusu security of tanure. Mwada umesema wazi namna ya kumuondoa.

Lakini la zaidi nimeliona kwenye mijadala linauhusiano wa moja kwa moja katiba na sheria. Kwa sheria hii kwa kuangalia katiba ibara ya 74.
Hii sheria inaendana nakatiba,.
Sheria ili kuzipa nguvu zinapewa mamlaka ya kutungia kanuni. Sheria inatungwa kama framwork, kanuni zinakuja kutoa utekelezaji unakuwa wa namna gani.
Ningependa kurudia rai yangu ya kwanza ni vyema tukawa na kitu cha kuanzia.
Naomba kuwasiliasha
 
Mwenyekiti:
Tumepeleka ombi kwenye baraza la vyama vya siasa. wamekubali kuwa wachangiaji wengine waweze kupeleka maoni yao.
 
Back
Top Bottom