Mkurugenzi wanyamapori afukuzwa kazi

Ukweli wengi wetu tunasubiri taarifa na hatua kamili nadhani hii ni mwanzo tu. Hatujajua mpaka sasa hata ni wapi walipo sasa wanyama (na watarejeshwaje?). Ni nani alitoa vibali (kama kulikuwa na vibali); halafu hapo ndo tutajua kuhusika kwa watu wa uwanja wa ndege na wengineo. Ukitaka kumuuwa nyani usimwangalie usoni! Waziri funguka tutakuunga mkono!!
 
Mwenyekiti wa Chama cha mabwepande anahusika wakijaribu kumtaja tuu ndio wanajitafutia kusahaulika katika historia ya kusafirisha Twiga
 
uyu kagasheki ni walewale tu hana nini wala nini maneno tu bungeni,nguvu ya soda!hili serikali na ushenzy wake hautaisha adi ccm izaliwe upya au itoke madarakani
 
ivi imefikia wapi nilisikia umu,kuna timu sijui tume imeundwa kufatilia hao wanyama uko arabuni?:rant:
 
Wabunge wetu hili mmelisimamia vipi kwani hili swali liko wazi sana mpaka aibu inaingia usoni kwenye kipindi cha maswali na majibu muulizeni Mwakyembe atwambie waliruhusu vipi ndege yajeshi kuingia nchini usiku na zaidi ikapakia Nyara za serikali??
 
Kuna mtu ana ID kama tatu hivi kwenye hi thread......Drifter aka Bigara, aka Home Sapiens aka Mpitagwa..........

Mimi ndiyo Mpitagwa ni cheo cha kikwetu,kwa kiibu ni Mazi aka advisor to the king, or Igwez advisor. Hao wenye majina ya Drifter aka Bigara aka Home sapiens siwajui. Umeona nini common kwangu na hao mpaka ukaconclude hivyo Nyumbu?
 
Back
Top Bottom