Patrick Nyemela
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 332
- 26
Sabodo kaingia choo cha kike kwa hili maana atachochea hisia za waswahili wengi wanaohoji kuwapo kwa wahindi wengi katika nyumba za NHC wakati wazalendo wanaishi madongo kuinama na nasikia kodi wanayolipa ni sawa na bure, kuna wengi wa ndugu zake sabodo wanalipa chini ya 100,000/= pale upanga wakati huku kijitonyama kodi 700,000 na mama mwenye nyumba ananitaka kulipa mwaka mzima.