Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
bora aondoke haijalishi nani kasababisha
Kaua shirika na kulizika, then anatangaza kustaafu? Hovyo
dah, afadhali vijana wetu wa kiume sasa watapumzika maana naskia jamaa alikua ........... Dah
Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege la Tanzania (ATCL) Bw David Mataka leo ametangaza kuwa amestaafu rasmi kwa mujibu wa sheria baada ya kufikisha umri wa miaka 60
Amewaambia wanahabari ofisini kwake kuwav amelazimika kutangaza hadharani jambo hilo kufuatia tetesi kuwa ameshinikizwa kujiuzulu na Dr Slaa pamoja na nguvu ya UMMA kutokana na ufisadi
hivi kwani atcl ina ndege ngapi?
mataka should go to court to answer charges!! Kama serikali itamwacha mataka aishi basi mwisho wa ccm si 2015 bali kipindi kifupi zaidi ya hicho
Mataka should go to Court to answer charges!! Kama serikali itamwacha Mataka aishi basi mwisho wa CCM si 2015 bali kipindi kifupi zaidi ya hicho
Mkuu hapa sio uwanja wa kueneza uongo, Atcl ilishakufa siku nyingi kabla Mattaka hajateuliwa kuwa mkurugenzi mkuu, Atcl imeuliwa na wanasiasa wa ccm kwa maslahi yao binafsi, mataka ni fisadi hilo halina ubishi, lakini tukitaka kutenda haki tuangalie pande zote, lile jengo la ppf tower ni kazi ya Mattaka, na ukifika Arusha pale njiro ilipo Geneva of Africa zile nyumba zote pale ppf city ni kazi ya Mattaka, mwisho serikali ilishamcrlear kwamba yuko safi baada ya kukaa chini ya uchunguzi wa vyombo vya dola kwa miaka kadhaa.
mwisho vijana wa kiume wanaotaka kuendesha magari wakati uwezo hawana wacha waliwe mavi tu, no free lunch.
Manake nini !!??
Teh teh..hivi kwani atcl ina ndege ngapi?