Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
Mkurugenzi wa ATCL yenye ndege 2 bora kama amempunzika maana alikuwa analipwa tu pesa za walipa kodi huku shirika likiwa ni mzigo
Hivi kumbe hata ukiwa na scraper ya ndege unaiita ndege?
Hamna ndege inayo ruka ya ATCL, sio ya kukodi wala ya kwao!