Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
... doa kubwa sana hilo kwa taifa huko kwenye mawanda ya kimataifa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nilikuwa nasikia magazeti leo asubuhi kupitia RFA na kuna moja limesema kwamba mkulu ametuma salamu za rambirambi kwa Obama kufuatia kifo cha balozi wake huko Libya. Hivi atakuwa alishatuma na kwa mjane wa Mwangosi?
[FONT=book
antiqua]More Pressure needed... Is this is the reason WHY Mr. Kikwete
did not want to attend UN General Assembly this Year?
[/FONT]
Hao mnaowategemea saa hizi balozi zao zinaungua dunia nzima katafuteni wangine!!
Amechelewa sana