Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO alaani mauaji ya Mwangosi

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Sijui kama hii imeshawekwa sehemu nyingine:

[h=4]Director-General condemns killing of Tanzanian TV journalist Daudi Mwangosi[/h] [h=4]The Director-General of UNESCO, Irina Bokova, today denounced the killing of Tanzanian Daudi Mwangosi on 2 September and urged an investigation into the case.[/h]
"I am deeply concerned by the killing of Daudi Mwangosi and call on the authorities to investigate his death and bring those responsible to justice," the Director-General said. "It is essential for democracy and rule of law that journalists be allowed to carry out their duties and exercise their right to free speech safely."

Daudi Mwangosi, 40, was a reporter for Channel Ten TV. He was killed while a demonstration he was covering in Nyololo Village in the central region of Iringa was being dispersed.
 
JK alitupuuza sisi.wapiga kura wake juu ya kuunda tume huru ya uchunguzi, sasa tuone kama atapuuza na huu upepo wa kimataifa, tungoje labda hotuba ye mwisho wa mwezi huu!
 
Kwa vile kesi iko mahakamani, hatasema kitu, ila kimoyo moyo, anasikitika sana kwa sababu wakati yule askari, alielekeza tuu ule mtutu tumboni kwa marehemu ili kumtisha, ndipo trigger ikafyatuka bahati mbaya, bomu likatoka.

Serikali itahakikisha inaitunza familia ya marehemu, kuepuka kugeuzwa ni mtaji wa kisiasa ili kuizuia ile damu, isiwe ni sehemu ya damu ya ukombozi!
Wait and see!.
P.
 
Tumeletewa kekundu keusi ka mainters eti wameomba msamaha kumbe timming ilikuwa ni kuifunika habari hii!! pumbavu zao kwanza ngoja niwahi CNN i report kupiga kura yangu kwenye petition.
 
Nilikuwa nasikia magazeti leo asubuhi kupitia RFA na kuna moja limesema kwamba mkulu ametuma salamu za rambirambi kwa Obama kufuatia kifo cha balozi wake huko Libya. Hivi atakuwa alishatuma na kwa mjane wa Mwangosi?
 
Kwa vile kesi iko mahakamani, hatasema kitu, ila kimoyo moyo, anasikitika sana kwa sababu wakati yule askari, alielekeza tuu ule mtutu tumboni kwa marehemu ili kumtisha, ndipo trigger ikafyatuka bahati mbaya, bomu likatoka.

Serikali itahakikisha inaitunza familia ya marehemu, kuepuka kugeuzwa ni mtaji wa kisiasa ili kuizuia ile damu, isiwe ni sehemu ya damu ya ukombozi!
Wait and see!.
P.
What? Alielekeza ule mtutu tumboni ili kumtisha? Nonsense! Mtu anapigwa na watu nane huwa hatishiwi mtutu wa bunduki tumboni. Uchungu wako wa awali umekwenda wapi? Au jamaa wameshapenyeza rupia? Eti bahati mbaya...
 
Dhaifu anapaswa kujua kwamba hata kama magamba hawapendi kifo cha mwangosi kiwe mtaji wa kisiasa kwa Chadema lakini kitawagharimu magamba na polisi hata miaka mia moja ijayo na CDM wataitumia kama faida ya kisiasa japo wao hawapendi kuona raia wakipoteza maisha maana watu wa nchi hii wanaangamia kila uchao kutokana na utawala Chama Cha Mwenge (CCM) hivyo wameamua kujituliza kwa CDM wanaoelewa nini maana ya ukombozi wa mtanzania wa leo popote alipo
 
Huu msala ulipofikia, hata akiongea na wazee Dar es Salaam ama katika hotuba zake za mwisho wa mwezi haita saidia kitu. Na wale wataalamu wa propaganda ya vitu vizito/ kitu chenye ncha kali hawana tena nafasi ya hizo blabla. Hapa wameshikwa pabaya, na kina Kamuhanda et al wakae mkao wa kuhukumiwa sasa.
 
Kwa vile kesi iko mahakamani, hatasema kitu, ila kimoyo moyo, anasikitika sana kwa sababu wakati yule askari, alielekeza tuu ule mtutu tumboni kwa marehemu ili kumtisha, ndipo trigger ikafyatuka bahati mbaya, bomu likatoka.

Serikali itahakikisha inaitunza familia ya marehemu, kuepuka kugeuzwa ni mtaji wa kisiasa ili kuizuia ile damu, isiwe ni sehemu ya damu ya ukombozi!
Wait and see!.
P.

Pasco be very careful Mungu na uovu haviwezi changanyika hata kama ni propaganda basi usiifanye kwenye maisha/uhai wa binadamu mwenzako its a curse! Usimchezee Mungu wewe before you know unaweza usiweze kufa na usiwe wa msaada kwa familia yako kukuonyesha kuwa God is alpha and Omega wewe uko katikati tena katika same environment yaliyomkuta mwenzako...Be careful I know what I say otherwise dont blame yourself..

In all things we offend but perfect is the man who never offend through his words because words are spirit and never die!
 
Kwa vile kesi iko mahakamani, hatasema kitu, ila kimoyo moyo, anasikitika sana kwa sababu wakati yule askari, alielekeza tuu ule mtutu tumboni kwa marehemu ili kumtisha, ndipo trigger ikafyatuka bahati mbaya, bomu likatoka.

Serikali itahakikisha inaitunza familia ya marehemu, kuepuka kugeuzwa ni mtaji wa kisiasa ili kuizuia ile damu, isiwe ni sehemu ya damu ya ukombozi!
Wait and see!.
P.

Ili kuonyesha kwamba Mkuu kakerwa, atoe amri ya RPC Iringa akamatwe na mwema afutwe kazi. hiyo itamsaidia yeye na uongozi wake na pia kuitendea haki damu ya Mwangosi. " Msimwonnee dogo, alikuwa anatekeleza amri tu".
 
eeeeh, Mungu na ijulikane leo kwamba we ni Mungu wa yatima na pia usiyeshindwa
 
Dhaifu anapaswa kujua kwamba hata kama magamba hawapendi kifo cha mwangosi kiwe mtaji wa kisiasa kwa Chadema lakini kitawagharimu magamba na polisi hata miaka mia moja ijayo na CDM wataitumia kama faida ya kisiasa japo wao hawapendi kuona raia wakipoteza maisha maana watu wa nchi hii wanaangamia kila uchao kutokana na utawala Chama Cha Mwenge (CCM) hivyo wameamua kujituliza kwa CDM wanaoelewa nini maana ya ukombozi wa mtanzania wa leo popote alipo

HAkika kweli hapo penye rangi nyekundu ndo penyewe. Umewapatia kwelikweki. Maana hata kamwenge kama mambo yao!!. Ndio kwa sana!! si mnaona pale bungeni!!!
 
Nilikuwa nasikia magazeti leo asubuhi kupitia RFA na kuna moja limesema kwamba mkulu ametuma salamu za rambirambi kwa Obama kufuatia kifo cha balozi wake huko Libya. Hivi atakuwa alishatuma na kwa mjane wa Mwangosi?

Nadhani bado anajiandaa...
 
Hao mnaowategemea saa hizi balozi zao zinaungua dunia nzima katafuteni wangine!!
..................kwahiyo kuungua kwa balozi zao ndo kuhalalishe kifo cha Mwangosi? duuuuh kweli hii dunia ina watu ambao wanastahili kuishi na wengine wanasindikiza tu kutokana na mawazo yao lol!!
 
Back
Top Bottom