Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Kweli Pesa zina mambo,ukizingatia wabunge walishajiongezea posho bila hata kufuata taratibu.Nlishawahi sikia kuna mkurugenzi kilosa alimjia juu diwani kwakuwa aling'ang'ania posho ambayo ilikuwa ni pungufu ya hata mapato ya kata yake."pesa we tuhurumie unatuangamiza"