AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
Code:Mkunaji ni yule anae husika na kukuna nazi.. Mkunwaji utakua umekosea kusikia ni mkuniwaji... yaani mwenye hio nazi....lol
Hebu jibu swali la msingi ni nani anafaidi?
hahahaha... So typical with your quesions...
naona hua nakukwepa saana kujibu BUT
Raha ya mkuna apate mkunwa na raha
ya mkunwa apate mkunaji... kwanini swali nani anafaidi
hali woote wanahitajiana.. hapa zaidi inategemea na ujuzi wa both!