Mkulo ataka kumshughulikia Zitto kwa fedha za fisadi

Kwanini wanataka CHC iwe chini ya POAC?..
Kwanini wanataka iwe incharge of Government portifolio?
This is nothing but a war between two power hungry politicians trying to control government assets.
Bora iwe chini ya treasury.... hatutaki mambo ya UDA yajirudie.
 
Sobby, for God's sake how can a govt agency be under the parliamentary commitee? I told u the other day if u don't know things, learn!
Unajua chanzo cha matatizo ya UDA? Ngoja nikueleze kwa ufupi. TR anamiliki kule 49% of shares, alitakiwa kuteua wajumbe wa3 wa bodi na jiji iteue wajumbe wa3, alikaa for 3yrs bila kuteua wajumbe, matokeo yake bodi ilikuwa na wawakilishi wa jiji tu, na jiji ndiyo ilikuwa inamtaka simon group, so wakaamua kuingia mkataba wenyewe, TR hana habari wala uwakilishi kwenye bodi.
POAC inataka CHC iwe msimamizi wa mashirika ambayo serikali ina shares kwa sababu TR hawezi kusimamia, mambo ya ajabu yanafanyika. TR hawajibiki POAC so bunge halina jicho kwenye mashirika hayo. CHC ina appear before the commitee and hence bunge linakuwa na uwezo wa kupata taarifa na kujua kinachoendelea. CHC inakuwa audited na CAG na ina balance sheet inayoonyesha assets and liabilities, TR ni vote, huko wanachezea mali zetu wananchi jinsi watakavyo.
POAC haiwezi kuwa wajinga kamati nzima iliyojaa wabunge kibao wa CCM, hakuna asiyejua utendaji mbovu wa TR zaidi yako.
 
Hivi kama JK alikosa mtu mwenye uwezo wa kuwa waziri wa fedha toka ktk chama chake,si katiba ya sasa imempa nafasi 10 za kuteua wabunge? Hivi kweli Mkulo ni mtu makini wa kuongoza hazina ya nchi?!
 
Sobby, for God's sake how can a govt agency be under the parliamentary commitee? I told u the other day if u don't know things, learn!
Unajua chanzo cha matatizo ya UDA? Ngoja nikueleze kwa ufupi. TR anamiliki kule 49% of shares, alitakiwa kuteua wajumbe wa3 wa bodi na jiji iteue wajumbe wa3, alikaa for 3yrs bila kuteua wajumbe, matokeo yake bodi ilikuwa na wawakilishi wa jiji tu, na jiji ndiyo ilikuwa inamtaka simon group, so wakaamua kuingia mkataba wenyewe, TR hana habari wala uwakilishi kwenye bodi.
POAC inataka CHC iwe msimamizi wa mashirika ambayo serikali ina shares kwa sababu TR hawezi kusimamia, mambo ya ajabu yanafanyika. TR hawajibiki POAC so bunge halina jicho kwenye mashirika hayo. CHC ina appear before the commitee and hence bunge linakuwa na uwezo wa kupata taarifa na kujua kinachoendelea. CHC inakuwa audited na CAG na ina balance sheet inayoonyesha assets and liabilities, TR ni vote, huko wanachezea mali zetu wananchi jinsi watakavyo.
POAC haiwezi kuwa wajinga kamati nzima iliyojaa wabunge kibao wa CCM, hakuna asiyejua utendaji mbovu wa TR zaidi yako.
Kuna kesi mahakamani (no. 100 of 2010,mshtakiwa ni UDA na CHC).Mauzo ya UDA hayakubarikiwa na TR, yalibarikiwa na UDA na CHC. CHC wanadai hawakumwambia Kisena aweke hela kwenye akaunti ya Idd Simba, ni Uda ndiyo waliomwambia hivyo.
CHC wako willing kuiuza UDA, that is the issue!.. why sell/privatise it?
Hivi wewe unajua CHC imehusika katika privatization ya makampuni mangapi ambayo hayakutakiwa kuwa privatised?..
We are socialists, and privatisation ya makampuni yetu inatuboa!.... so CHC should be under TR, we can change TR but we can't give CHC uhai ili iendeleze privatization. Putting CHC under POAC/Bunge is the same as putting politics kwenye mashirika. POAC/Bunge is nothing but a bunch of politicians...niambie mjumbe mmoja wa POAC ambaye ana masters or at least a bachelors degree in management.
TR is not a political entity, and thats where we want our government shares to be managed.
 
Zitto should not be trusted either as he sails in the same boat with Mkulo. He has never controverted allegations that Barrick once tipped him in an attempt to tighten his lips and deaden his acerbic remarks against the mining firm. So while he accuses Mkulo for crookedness scandal he should also remember to put his house in order.
Yes, but... UCHAFU WA ZITTO SI USAFI WA MKULO...
 
Wabunge wanapohongwa, inawapa nafasi ya kuongeza umaarufu wao.
Bunge letu halifanyi kazi kwa niaba ya kuliletea bunge kama chombo sifa za umahiri, kinachofanyika ni bunge kutumika kwa ajili ya kutengeneza umaarufu wa kikundi au watu. Hivyo hongo inapotolewa inasaidia wabunge mmoja mmoja kuongeza umaarufa kwa maana ya mavazi, matanuzi na matambo, hivyo bunge linapata sifa kama wabunge wanavaa suti za bei mbaya, wana magali makubwa, wamejenga majumba ya hatari n.k
 
Baada ya Zitto kumbana Mkulo ktk sakata la CHC, taarifa zinasema kwamba kwa sasa kiasi kikubwa cha fedha kimetengwa kuwanunua wabunge ili wamrudi Zitto na kumuondoa katika kamati yake ya POAC.

Hata hivo, taarifa zinasema Zitto na wabunge wa kamati yake wakiwamo wale wa CCM wana msimamo mmoja na hivyo ajenda ya fisadi huyo na Mkulo wake huenda ikaota mbawa.

Tusubiri hii sinema mpya maana taarifa zinasema ina mambo mengi nyuma ya pazia hasa kwa maelezo kwamba hata CEO aliyesimamishwa aliingizwa mkenge na Mkulo kisha akamtosa.

Kama ikithibitika hii ni kashfa ya tatu ya wabunge kuhongwa ama kutaka kuhongwa ikiwamo ile maarufu ya David Jairo.

Hivi kwanini Chadema hawajiamini?
Naomba mfahamu kuwa siku zote penye ukweli ,uongo ujitenga.

Acheni kabisa kujidhania vibaya , kama Zitto kasema kweli basi ukweli utadhihiri na kama amezua basi dola itamuangukia.
 
Kuna kesi mahakamani (no. 100 of 2010,mshtakiwa ni UDA na CHC).Mauzo ya UDA hayakubarikiwa na TR, yalibarikiwa na UDA na CHC. CHC wanadai hawakumwambia Kisena aweke hela kwenye akaunti ya Idd Simba, ni Uda ndiyo waliomwambia hivyo.
CHC wako willing kuiuza UDA, that is the issue!.. why sell/privatise it?
Hivi wewe unajua CHC imehusika katika privatization ya makampuni mangapi ambayo hayakutakiwa kuwa privatised?..
We are socialists, and privatisation ya makampuni yetu inatuboa!.... so CHC should be under TR, we can change TR but we can't give CHC uhai ili iendeleze privatization. Putting CHC under POAC/Bunge is the same as putting politics kwenye mashirika. POAC/Bunge is nothing but a bunch of politicians...niambie mjumbe mmoja wa POAC ambaye ana masters or at least a bachelors degree in management.
TR is not a political entity, and thats where we want our government shares to be managed.

Kesi iliyofunguliwa mahakamani na SGL iliwahusisha CHC kwasababu UDA is a specified company, kisheria CHC ndio wenye mamlaka juu ya mashirika yote yaliyo specified, na kwa taarifa yako CHC haikuhusishwa kwenye hatua yeyote kuhusu uuzwaji wa hizo shares, maamuzi yalifanywa na bodi ya UDA ambayo TR ni mwanahisa, sasa ukisema TR hakubariki unachekesha tu umma. Fuatilia hiyo kesi ujue kilichokuwa kinashtakiwa na kwanini SGL wenyewe walikuja kuiwithdraw.
PSRC/CHC inabinafsisha mashirika ambayo yalishakuwa specified kwa sheria, na yameorodheshwa kwa majina, hiyo ndiyo kazi yao waliyopewa, hawachagui kwamba wanataka kubinafsisha shirika gani,hapo kwenye red unaonyesha hujui unachokiongea!
CHC has always been under the TR and will always be, acha ushamba shirika haliwezi kuwa chini ya kamati ya bunge. TR ndiye mmiliki wa CHC pekee, na yeye kazi yake ni kuwasimamia, ndio sababu tunamshangaa kwanini hataki kazi yake ya usimamizi but rather anataka afanye kazi hizo mwenyewe? then atasimamiwa na nani kama yeye ndiye atakuwa mtendaji na mmiliki? atawajibika kwa nani? kwanini kati ya mashirika yote yaliyopo chini yake atake tu CHC and not EWURA, PPF etc? uko CHC anataka nini?
kukusaidia kidogo kuhusu POAC maana nimeona unashida haujui hata wanaconnect vipi na mashirika ya umma. POAC ni kamati ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma, kazi yao ni kupitia hesabu zilizokaguliwa na CAG, pale wana uwezo wa kuhoji matumizi ya mali zetu wananchi, na kushauri kwa manufaa ya nchi. shares za serikali kwenye makampuni kama oryx zimeuzwa na TR sikunyingi kwa bei ya kutupa tena kimya kimya, badae tu watu ndio mnakuja kujua hamna lenu pale.
 
Hizi habari za wabunge kuhongwa zinazidi kufichuka kila siku. Hii ni dalili kwamba bunge letu linaelekea kupoteza credibility yake kwa wananchi.

Kama wabunge kwa pamoja bila kujali itikadi zao wasipochukua hatua za haraka za kujisafisha na kujinasua katika kashfa hizi za rushwa basi hadhi yake itashuka sana.
Heshima ya Bunge ilishashuka siki nyingi sana, mfano hai ni pale Wabunge wa CCM walipowazomea wabunge wa CDM wakati wa mjadala Bungeni. Ongeza na ile skendo jinsi Kafulila alivyowakamata wabunge wa CCM wakiomba rushwa Bunge halijachukua hatua zozote, angalia jinsi Waziri Mkuu mna Mawaziri wanavyosema uongo Bungeni lakini hakuna hatua stahiki zinazochuliwa.
 
ni wakati wa wazalendo hal8isi kuonekana katika Tanzania Zitto is among them na Mkullo ni miongoni mwa mafisadi tu hana jipya kama mkuu wake wa kaya
 
Kuna kesi mahakamani (no. 100 of 2010,mshtakiwa ni UDA na CHC).Mauzo ya UDA hayakubarikiwa na TR, yalibarikiwa na UDA na CHC. CHC wanadai hawakumwambia Kisena aweke hela kwenye akaunti ya Idd Simba, ni Uda ndiyo waliomwambia hivyo.
CHC wako willing kuiuza UDA, that is the issue!.. why sell/privatise it?
Hivi wewe unajua CHC imehusika katika privatization ya makampuni mangapi ambayo hayakutakiwa kuwa privatised?..
We are socialists, and privatisation ya makampuni yetu inatuboa!.... so CHC should be under TR, we can change TR but we can't give CHC uhai ili iendeleze privatization. Putting CHC under POAC/Bunge is the same as putting politics kwenye mashirika. POAC/Bunge is nothing but a bunch of politicians...niambie mjumbe mmoja wa POAC ambaye ana masters or at least a bachelors degree in management.
TR is not a political entity, and thats where we want our government shares to be managed.
Mkuu, mimi sielewi ubishi wenu lakini nataka tu nikuulize kama unapinga kuendelea na Privatization kwa sababu sisi ni socialist!...
- Je, kama kuna ubinafsishaji utakao endelea hilo jukumu litakuwa la nani baada ya kuvunjwa kwa CHC...Na Why CHC should be under TR, wakati huko nyuma yamefanyika madudu chini yake?..
- Mbona huku privatization yoyote ya shirika la Umma lazima ipitishwe na kamati ya bunge na ndio final?..
- Je, ni maamuzi yapi ya POAC kwa CHC ambayo yanahitaji at least degree ya masters...
 
Tunakuamin ZITTO sana matumain yetu ni wewe na kamati mshikamane sana kwa pamoja wala msiache ufa.moto wenu tunaujua unaunguza kila takataka.
 
Kesi iliyofunguliwa mahakamani na SGL iliwahusisha CHC kwasababu UDA is a specified company, kisheria CHC ndio wenye mamlaka juu ya mashirika yote yaliyo specified, na kwa taarifa yako CHC haikuhusishwa kwenye hatua yeyote kuhusu uuzwaji wa hizo shares, maamuzi yalifanywa na bodi ya UDA ambayo TR ni mwanahisa, sasa ukisema TR hakubariki unachekesha tu umma. Fuatilia hiyo kesi ujue kilichokuwa kinashtakiwa na kwanini SGL wenyewe walikuja kuiwithdraw.
PSRC/CHC inabinafsisha mashirika ambayo yalishakuwa specified kwa sheria, na yameorodheshwa kwa majina, hiyo ndiyo kazi yao waliyopewa, hawachagui kwamba wanataka kubinafsisha shirika gani,hapo kwenye red unaonyesha hujui unachokiongea!
CHC has always been under the TR and will always be, acha ushamba shirika haliwezi kuwa chini ya kamati ya bunge. TR ndiye mmiliki wa CHC pekee, na yeye kazi yake ni kuwasimamia, ndio sababu tunamshangaa kwanini hataki kazi yake ya usimamizi but rather anataka afanye kazi hizo mwenyewe? then atasimamiwa na nani kama yeye ndiye atakuwa mtendaji na mmiliki? atawajibika kwa nani? kwanini kati ya mashirika yote yaliyopo chini yake atake tu CHC and not EWURA, PPF etc? uko CHC anataka nini?
kukusaidia kidogo kuhusu POAC maana nimeona unashida haujui hata wanaconnect vipi na mashirika ya umma. POAC ni kamati ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma, kazi yao ni kupitia hesabu zilizokaguliwa na CAG, pale wana uwezo wa kuhoji matumizi ya mali zetu wananchi, na kushauri kwa manufaa ya nchi. shares za serikali kwenye makampuni kama oryx zimeuzwa na TR sikunyingi kwa bei ya kutupa tena kimya kimya, badae tu watu ndio mnakuja kujua hamna lenu pale.

Najua una jazba na dharau, ila nitakujibu hapo kwenye red kama ifuatavyo.
1.TR ni minority shareholder kwenye shirika la UDA(49%), jiji linaweza kuuza shares zake, bila kuingiliwa wala kufuata ushauri wa TR kwa sababu wao ni mojority owners (ingawa nakubaliana na wewe kwamba angala mjumbe mmoja toka serikalini angekuwapo,lakini asingekuwa na nguvu yeyote zaidi ya kufikisha koramu). KWA hiyo sioni nini kitakachokuchekesha hapo, all TR can do is bless it or not but it wouldn't matter anyways.

2. Naomba urejee Public Corporations Act,1992(Ammended 1993).Part IV;section22-1(a). Kifungu hiki kinaipa nguvu CHC ku recommend shirika gani linatakiwa kuwa specified.PSRC/CHC siyo mfuata amri kama unavyofikiria.
3.Kinachogombaniwa na Zitto (looks like there's a connection with you, suprisingly) ni kuigeuza CHC kuwa msimamizi wa shares zote za serikali kwenye mashirika ambayo serikali ni mbia. Ndiyo maana akatoa mfano wa Singapore na Malaysia. Tanzania na Malaysia zina corruption index zinzofanana na nadhani unajua nini kinaendelea malaysia kuhusu uwekezaji wa serikali yao, pia nakupa benefit of doubt kuwa unaelewa nini kilitokea baina ya Singapore na THailand kwenye ununuzi wa kampuni ya simu ya Thailand, au kwenye investments za BoA.

SEMINA HAZIKUFANYI UWE MTAALAM,PIA TUSIPENDE KUIGA WENZETU, TUANGALIE NI TAIFA LA AINA GANI TUNATAKA KUJENGA.
Don't test me!...you better move over!! - B.IG,Get money 1996.
 
Mkuu, mimi sielewi ubishi wenu lakini nataka tu nikuulize kama unapinga kuendelea na Privatization kwa sababu sisi ni socialist!...
- Je, kama kuna ubinafsishaji utakao endelea hilo jukumu litakuwa la nani baada ya kuvunjwa kwa CHC...Na Why CHC should be under TR, wakati huko nyuma yamefanyika madudu chini yake?..
- Mbona huku privatization yoyote ya shirika la Umma lazima ipitishwe na kamati ya bunge na ndio final?..
- Je, ni maamuzi yapi ya POAC kwa CHC ambayo yanahitaji at least degree ya masters...
In short mkuu, kuna madudu mengi yamefanywa na CHC.
Kumbuka POAC walitoa ushauri wa kuiuza Airtel na NMB ili serikali ipate hela na kupunguza ukwasi..... kutoa IPO ya shares za Airtel na NMB hapo DSE ni sawa na kuwamilikisha watanzania wenye uwezo, na kuwanyima wakulima masikini vijijini ownership ya mashirika ambayo hayaleti hasara. It's a way of transferring wealth from one class to another. Private sector should be able to compete with Public sector, kama Airtel inaweza kupambana na Voda kwenye soko kwa nini uiuwe au uiuze?....the same applies to NMB.
We need to keep these politicians out of technocrats way, thats all.
 
Najua una jazba na dharau, ila nitakujibu hapo kwenye red kama ifuatavyo.
1.TR ni minority shareholder kwenye shirika la UDA(49%), jiji linaweza kuuza shares zake, bila kuingiliwa wala kufuata ushauri wa TR kwa sababu wao ni mojority owners (ingawa nakubaliana na wewe kwamba angala mjumbe mmoja toka serikalini angekuwapo,lakini asingekuwa na nguvu yeyote zaidi ya kufikisha koramu). KWA hiyo sioni nini kitakachokuchekesha hapo, all TR can do is bless it or not but it wouldn't matter anyways.

2. Naomba urejee Public Corporations Act,1992(Ammended 1993).Part IV;section22-1(a). Kifungu hiki kinaipa nguvu CHC ku recommend shirika gani linatakiwa kuwa specified.PSRC/CHC siyo mfuata amri kama unavyofikiria.
3.Kinachogombaniwa na Zitto (looks like there's a connection with you, suprisingly) ni kuigeuza CHC kuwa msimamizi wa shares zote za serikali kwenye mashirika ambayo serikali ni mbia. Ndiyo maana akatoa mfano wa Singapore na Malaysia. Tanzania na Malaysia zina corruption index zinzofanana na nadhani unajua nini kinaendelea malaysia kuhusu uwekezaji wa serikali yao, pia nakupa benefit of doubt kuwa unaelewa nini kilitokea baina ya Singapore na THailand kwenye ununuzi wa kampuni ya simu ya Thailand, au kwenye investments za BoA.

SEMINA HAZIKUFANYI UWE MTAALAM,PIA TUSIPENDE KUIGA WENZETU, TUANGALIE NI TAIFA LA AINA GANI TUNATAKA KUJENGA.
Don't test me!...you better move over!! - B.IG,Get money 1996.

Soby, naona umechagua vya kujibu, I hope hivyo vingine vimekuingia akilini.
1. Bodi ya wakurugenzi UDA inapaswa kuwa na wajumbe 6, wa3 wa jiji na wa3 wa TR, no excuse for TR here kwa uzembe wa kutokuteua wajumbe wa bodi.
2. Kwa GN no. 543 of 1997, UDA iliwekwa chini ya PSRC kwa lengo la kurekebishwa.
3. POAC mapendekezo yake ni CHC kusimamia hisa za serikali kwenye mashirika ambayo ni minority shareholder kwasababu ambazo nilishakueleza awali juu ya uzembe wa TR kusimamia hisa hizo,. Unakataa kwamba Malaysia sio mfano mzuri wa mafanikio ya ubinafsishaji na uwekezaji? Basi nakushauri urudi kujifunza juu ya hili tena.t
 
Nipo live!... unataka nikujibu nini? right now plz
 
I. TR hakuuza wala hakuwa na nia ya kuuza shares zake kwa Simon....ni shares za jiji ndio zilikuwa ziuzwe (51%). So whateva the case, government bado ni minority shareholder.
2. PSRC imeanzishwa 1993.... wao ndio washauri wakuu kwenye ubinafsishaji, kwa hiyo hebu jaribu kufikiria nani ni player mkubwa hapo. Of course huwa inaanza na World Bank, serikali (through PSRC) wakaispecify UDA.Hii commission is very crucial kwenye consultations za ubinafsishaji, usikatae mkuu hao ndio wabinafsishaji wenyewe, the rest are just mere figures. Restructuring is nothing but privatisation, you are not talking to filikunjombes and mangungus here, so lets be frank.
3. POAC ni very influencial kwenye parastatals, na CHC ikimalizika uhai wake (it's the law, it has to), POAC haitakuwa that influencial.. i.e shares za serikali zitakuwa Hazina(not a public corpration)..... get it?
Swali gani nililokwepa?
 
In short mkuu, kuna madudu mengi yamefanywa na CHC.
Kumbuka POAC walitoa ushauri wa kuiuza Airtel na NMB ili serikali ipate hela na kupunguza ukwasi..... kutoa IPO ya shares za Airtel na NMB hapo DSE ni sawa na kuwamilikisha watanzania wenye uwezo, na kuwanyima wakulima masikini vijijini ownership ya mashirika ambayo hayaleti hasara. It's a way of transferring wealth from one class to another. Private sector should be able to compete with Public sector, kama Airtel inaweza kupambana na Voda kwenye soko kwa nini uiuwe au uiuze?....the same applies to NMB.
We need to keep these politicians out of technocrats way, thats all.

Soby,
u mean CHC as CHC au CHC in the shoes of PSRC? Hebu tujuze na sisi hayo madudu ya CHC ikiwezekana upenyeze na kwenye mazuri ya TR.

Mkandara
Nililogundua kwa huyu mheshimiwa ni ana matatizo na suala zima ya ubinafsishaji, kwa hapa hawezi kuelimishwa akaelewa. Na sio kweli kwamba serikali inafanya kazi kwa mtindo anaouzungumzia hapo juu, au anasahau kwamba CHC ni chombo cha serikali kwa ajili tu ameskia POAC/Zitto anakipigania kisiuliwe na mafisadi? Pia nafikiri hajua taratibu za CHC za utendaji kazi. Pia hajui kama CHC wana kazi zaidi ya huo ubinafsishaji anaouzungumzia. ,vp
 
Mkuu, usinidharau hivyo, kama tuna disagreement we mwaga points mimi nitakuelewa.
So far unazungusha maneno, ila inaeleweka kuwa privatisation Tanzania imefail big time, i mean big time!!..
But somehow mnazania everything is fine and should stay the way it is. Wabunge wengi wakienda mjengoni wanaambiwa leo tunaspiga kura ya ndio kwa mswaada namba fulani....wakifika wanapiga kura, hawana muda wa kusoma pages 200 za nmswaada na kuuelewa.
Don't get me wrong, some of them (zitto included) are bright fellas, but most of the are just a rubber stamp. Sina tatizo na ubinafsishaji, nina tatizo na vikamati ambavyo havina wataalam kuamua mambo ya kitaalam. But it's whateva, I dont really care,.
 
Soby,
u mean CHC as CHC au CHC in the shoes of PSRC? Hebu tujuze na sisi hayo madudu ya CHC ikiwezekana upenyeze na kwenye mazuri ya TR.
CHC is nothing but a World Bank entity, it's a Washington consesus' puppet.... they just want to keep it running and get consultation money while depriving poor Tanzanians the fruits of their salty sweat. Why did they pay 1m$ to a canadian firm for consultancy over RITES acqisition of TRC?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom