M'kiti wa kijiji Kilolo (CHADEMA) aswekwa lupango kwa kutochangia mwenge

Hatari sana kama hali yenyewe ndio hii,any way muda wao hawa watu upo karibu sana,vp
 
Kama waliweza kuliua Azimio la Arusha wanashindwa vipi kumalizia na huu mwenge..?
 
Huyu alikuwa muuza mchele pale ifakara ..hajamaliza hata form 4 leo anapewa ukuu wa wilaya! Hahaaa JK bwana sijui unaangaliaga nini kwenye teuzi zako?guninita muuza mchele enzi hizo 1992 pale ifakara,guninita kaishia form 2 leo unampa u dc? Hahaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwenge,mwenge,mwenge nini?hawa magamba t.i.g.o. Sana wanazani watanzania wa leo ni wale wa bora wananchi wafe njaa lakini rais anunuliwe ndege.LIWALO NA LIWE.
 
tunaitaji wenyeviti mashujaa wanaojua pesa zao wazipeleke wapi , watoto hawana chaki kwa ajili ya elimu alafu pesa ipelekwe kwenye mwenge , ??????
 
Kwa mjibu wa sera za CCM ambazo mkuu wa wilaya ni msimamizi wake katika ngazi ya wilaya mwenge ni muhimu sana kuliko shule.Kwa alichofanya mda si mref wata mpromoti kuwa RC, sasa kazi kwa CDM Kwenda kujichukulia hilo jimbo. Idumu CDM
 
Back
Top Bottom