Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

Kwa hali aliyonayo Lowassa sasa hivi naamini kabisa kuwa keshaguswa huyo. He is sick
 
Kila wakati IPTL inapotajwa, napata kichefu chefu...nakumbuka mwaka 1994 IPTL ilipozaliwa. Ni huyu huyu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Waziri wa Maji na Nishati chini ya Raisi wa wakati huo, Ali Hassan Mwinyi, aliyetuingiza katika mkataba mbovu na kampuni hii. Pamoja na hayo miaka kumi baadaye (2005) akaukwaa Uraisi na kama kawaida historia ikajirudia...Richmond ikazaliwa.
 
Chondechonde Kikwete achana na agenda hiyo ya UPOLE, inakiua chama chako na serikali yako,

Ni karibu miezi 28 sasa, Edward Lowassa amekuwa agenda kuu ndani ya CCM na wanaccm wenye, si mwenyekiti wala mjumbe wote mioyo yao ni Lowasa tu, wengi wakitaka ajipambanue nakuwa nyota huru ya chama na wachache walio juu ya chama wakitaka kumpoteza gwiji huyu wa siasa za ukwasi na fitina msonge!

Ikumbukwe kuwa doa kuu linalotajwa kuwa Lowa ni fisadi ni Richmond, lakini nani asiyejua richmond ni nani na ilikuwaje? Pale dodoma Lowasa ameweka wazi mbele ya Mwenyekiti kuwa hakuna kilichotendeka ambacho mwenyekiti hakukijua ama kumtuma! Narudia tena UCHAFU wa LOWASSA ni RICHMOND tu!

Nauliza tena RICHMOND ni nani? Mwenyekiti alijibu nini siku ile pale Dodoma wakati lowassa anamhiji zaidi ya kuinamisha kichwa chini hali iliyopelekea BWM kumtuliza Lowasa?

Sasa Lowassa anakitaka Chama na agombee urais na ameshashinda ndani ya Chama na nusu uwanja nje ya chama, shime ccm, ili muendelee kuitwa chama cha siasa japo mwaweza kuwa wapinzani zuieni jaribio la mwenyekiti wenu la kujaribu kumzika Lowassa angali amekibeba chama!

Kuna juhudi za kitoto ndani ya ccm eti wapo kwenye harakati za kumuuandaa January Makamba kugombea Urais 2015, wanatumia raslimali za nchi kujijenga kisiasa kwa upinde wa mvua ya siasa!

Chondechonde mwenyekiti wa ccm ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Amini Lowassa ndie chaguo la wanaccm wote hata hao wanaojifanya wapo na wewe mioyo yao ipo kwa Lowassa! Wanakula na kunywa kwa mgongo wa Lowassa!

Mwenye USHAHIDI wa wazi juu ya UFISADI wa Lowassa aulete hapa, sio stori za kulishwa vijiweni kisha mnakuja hapa kupiga ngonjera ooho Lowasa fisadi, oooho sijui nini! Leteni utetezi hapa

Mimi nitampa kura yangu ikiwa atagombe japo hata shinda, lakini atakinusuru chama kufutika kabisa duniani!

Rejao, Zomba, Malaria Sugu msianze kuugua matumbo ya ghafla!

EL2015
Tatizo la ccm ni Mfumo hata ZZK alishawahi kulisema, Dr Slaa na mimi naona tatizo ni mfumo ulio asisiwa na Kambarage na Chama chake leo imekula kwetu!!
 
Lowassa ni gwiji wa siasa za ukwasi na fitina msonge.

Mambo yote ya Richmond aliyofanya Lowassa mwenyekiti[wa ccm?]anayafahamu.

Nawatahadharisha wana CCM,mzuieni Mwenyekiti wenu asimzuie Lowassa kugombea Urais.

Lowassa anaitwa fisadi,lakini hakuna ushahidi.

Mimi[Yeriko]nitampa kura yangu.

Mimi[Andrew] sina comment kwa mambo haya.
 
Chondechonde Kikwete achana na agenda hiyo ya UPOLE, inakiua chama chako na serikali yako,

Ni karibu miezi 28 sasa, Edward Lowassa amekuwa agenda kuu ndani ya CCM na wanaccm wenye, si mwenyekiti wala mjumbe wote mioyo yao ni Lowasa tu, wengi wakitaka ajipambanue nakuwa nyota huru ya chama na wachache walio juu ya chama wakitaka kumpoteza gwiji huyu wa siasa za ukwasi na fitina msonge!

Ikumbukwe kuwa doa kuu linalotajwa kuwa Lowa ni fisadi ni Richmond, lakini nani asiyejua richmond ni nani na ilikuwaje? Pale dodoma Lowasa ameweka wazi mbele ya Mwenyekiti kuwa hakuna kilichotendeka ambacho mwenyekiti hakukijua ama kumtuma! Narudia tena UCHAFU wa LOWASSA ni RICHMOND tu!

Nauliza tena RICHMOND ni nani? Mwenyekiti alijibu nini siku ile pale Dodoma wakati lowassa anamhiji zaidi ya kuinamisha kichwa chini hali iliyopelekea BWM kumtuliza Lowasa?

Sasa Lowassa anakitaka Chama na agombee urais na ameshashinda ndani ya Chama na nusu uwanja nje ya chama, shime ccm, ili muendelee kuitwa chama cha siasa japo mwaweza kuwa wapinzani zuieni jaribio la mwenyekiti wenu la kujaribu kumzika Lowassa angali amekibeba chama!

Kuna juhudi za kitoto ndani ya ccm eti wapo kwenye harakati za kumuuandaa January Makamba kugombea Urais 2015, wanatumia raslimali za nchi kujijenga kisiasa kwa upinde wa mvua ya siasa!

Chondechonde mwenyekiti wa ccm ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Amini Lowassa ndie chaguo la wanaccm wote hata hao wanaojifanya wapo na wewe mioyo yao ipo kwa Lowassa! Wanakula na kunywa kwa mgongo wa Lowassa!

Mwenye USHAHIDI wa wazi juu ya UFISADI wa Lowassa aulete hapa, sio stori za kulishwa vijiweni kisha mnakuja hapa kupiga ngonjera ooho Lowasa fisadi, oooho sijui nini! Leteni utetezi hapa

Mimi nitampa kura yangu ikiwa atagombe japo hata shinda, lakini atakinusuru chama kufutika kabisa duniani!

Rejao, Zomba, Malaria Sugu msianze kuugua matumbo ya ghafla!

EL2015
Sawa tumekusikia,hata sisi tunaamini Chadema bila Zitto 2015 hamna chenu.Hata Zitto anakashfa moja tu ya masalia PM7.Hivyo muunge mkono Zitto kwani hata mimi nitmpigia kura yangu.
 
naona mnataka kuwaharibia weekend yao the twin brothers Nape & Mwigilu.
 
Wewe usitishe watu! Umeingia kwenye mioyo ya wana CCM wangapi? Nani kakutuma kuwasemea? Ulichaguliwa kwenye kikao gani. Sisi ndiyo wanachama wa dhati tunaona jina la EL linatutia aibu na ni kizingiti cha siasa safi na uongozi bora. EL ni mla rushwa, mtoa rushwa na mbabe. If your corrupt you will corrupt others so as legitimacy your corruptness behaviour. And that is what EL is doing. Inawezekana hata wewe ni mhanga ya tabia yake. EL ndiye aliyetuchagulia JK KWA MBINU ZAKE ZA KIFISADI. Leo unataka aendelee tena kuwa Rais? Una maana Tanzania yote ni EL anachotaka yeye ndiyo kiwe! Tanzania ina watu 45 milion wewe unamuona EL tu kwa sababu umepofushwa na rushwa. Wacha hizo Yeriko kama wewe unanunulika kwa bei poa hilo nishauri lako usitake kusambaza ----- kwa watanzania wote. Yaelekea umekata tamaa, unaona Tanzania yote kiongozi ni EL, KWA SABABU KAKUONJESHA unataka kuchonga mzinga. Hutapata kitu, atataka kurejesha kwanza hele alizowahonga wanaCCM wote kwenye vikao vya maamuzi na baada ya hapo aanze kujiwekea akiba. Ni kama mwanaume anayemhonga changudoa baada kustarehe changudoa hana thamani tena.
Chondechonde Kikwete achana na agenda hiyo ya UPOLE, inakiua chama chako na serikali yako,

Ni karibu miezi 28 sasa, Edward Lowassa amekuwa agenda kuu ndani ya CCM na wanaccm wenye, si mwenyekiti wala mjumbe wote mioyo yao ni Lowasa tu, wengi wakitaka ajipambanue nakuwa nyota huru ya chama na wachache walio juu ya chama wakitaka kumpoteza gwiji huyu wa siasa za ukwasi na fitina msonge!

Ikumbukwe kuwa doa kuu linalotajwa kuwa Lowa ni fisadi ni Richmond, lakini nani asiyejua richmond ni nani na ilikuwaje? Pale dodoma Lowasa ameweka wazi mbele ya Mwenyekiti kuwa hakuna kilichotendeka ambacho mwenyekiti hakukijua ama kumtuma! Narudia tena UCHAFU wa LOWASSA ni RICHMOND tu!

Nauliza tena RICHMOND ni nani? Mwenyekiti alijibu nini siku ile pale Dodoma wakati lowassa anamhiji zaidi ya kuinamisha kichwa chini hali iliyopelekea BWM kumtuliza Lowasa?

Sasa Lowassa anakitaka Chama na agombee urais na ameshashinda ndani ya Chama na nusu uwanja nje ya chama, shime ccm, ili muendelee kuitwa chama cha siasa japo mwaweza kuwa wapinzani zuieni jaribio la mwenyekiti wenu la kujaribu kumzika Lowassa angali amekibeba chama!

Kuna juhudi za kitoto ndani ya ccm eti wapo kwenye harakati za kumuuandaa January Makamba kugombea Urais 2015, wanatumia raslimali za nchi kujijenga kisiasa kwa upinde wa mvua ya siasa!

Chondechonde mwenyekiti wa ccm ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Amini Lowassa ndie chaguo la wanaccm wote hata hao wanaojifanya wapo na wewe mioyo yao ipo kwa Lowassa! Wanakula na kunywa kwa mgongo wa Lowassa!

Mwenye USHAHIDI wa wazi juu ya UFISADI wa Lowassa aulete hapa, sio stori za kulishwa vijiweni kisha mnakuja hapa kupiga ngonjera ooho Lowasa fisadi, oooho sijui nini! Leteni utetezi hapa

Mimi nitampa kura yangu ikiwa atagombe japo hata shinda, lakini atakinusuru chama kufutika kabisa duniani!

Rejao, Zomba, Malaria Sugu msianze kuugua matumbo ya ghafla!

EL2015
 
kwa mujibu wa katiba ya JMT kila mwananchi anayetimiza vigezo vilivyo ainishwa ana haki ya kugombe ili mradi awe mwana chama wa chama cha siasa..SASA matumbo yanawawaka moto kwa nini? Lowasa,Zito ,January,Membe,Dr silaa na wengine wote ikiwemo wewe Yericko kama mna vigezo gombeeni, kitachoamua ni kura za wajumbe. Mambo ya EL lazima agombee ,El msimzuie..Kuna mtu yeyote amewai kusema kwamba asigombee..na hata akisema je anaweza kumzuia ku benefit haki yake ya kikatiba??

Hata chenge anaweza kugombea..Kama kweli huyo lowasa anapendwa na jamii kama ulivyo ainisha hapo juu, basi ajitoe ccm wanapomuwekea mizengwe na agombee chama kingine chochote watakacho mkubali..mnaofungwa na ufuasi wa EL wengi wenu mnataka kujipa matumaini ya kuishi baada ya kuharibu katika hatua flani za maisha yenu..yamkini mnatafuta role modle wa mkondo huo ili mjipe moyo katika maisha..sitoshangaa kumkuta Mkurugenzi wa bandari aliyefukuzwa, mhando wa tanesco,brandina nyoni, yule wa shirika la ndege,msabaha, na karamagi wakisema maneno kama yako Kwa sababu katika maisha yao a good role modle Katika situation zao ni EL. Ndugu yangu mkusanyiko wa MABUNDI(ndege warukao) kwa kiingeleza unaitwa PARLIAMENT OF OWL lakini haimaanishi WANATUNGA SHERIA. UFISADI SI LAZIMA UIBE KUSHIRIKI KWA MAWAZO, MANENO HATA VITENDO PIA NI UFISADI na EDWARD LOWASA alihusika kwa yote tajwa.
 
Maneno ya mfumo tumechoka nayo. Mfumo huwa unaasisiwa, unalelewa,unarekebishwa. Mfumo wa gari ulivyoanza sivyo ulivyo sasa, umeboreshwa zaidi. Hata mfumo alioasisi Nyerere siyo anaoendesha Kikwete. Ni uowongo kusema mfumo tulionao sasa ni wa Nerere. Kama unaona mfumo ni mbaya pendekeza mfumo mzuri, haisaidii kitu kulaumu mfumo bila kufanya lolote.

Back
Top Bottom