Mkiboresha Katiba kifungu cha umri Mgombea Urais kisomeke miaka 30

Miaka 30...then anamaliza miula miwil huku akiwa na 40...yaan Rais mstafu anakuwa na miaka 40...Acheni utani tunawapenda wake zetu..
 
Miaka 30...then anamaliza miula miwil huku akiwa na 40...yaan Rais mstafu anakuwa na miaka 40...Acheni utani tunawapenda wake zetu..
Ndio nzuri. Atumikie Taifa angali kijana. Akistaafu huo muda anaweza kwenda kufanya shughuli nyingine kwa nia njema tu.

Kwani Marais tulionao waliokwisha Staafu walikwenda wapi?
 
miaka 30 hajui hata kutunza siri mropokaji mmoja tu,hana hata experience ya kutosha.
Mpaka sasa umesikia siri ngapi za Taifa?

Umri hauna uhusiano wowote wa moja kwa moja na uwezo mtu au watu kutunza siri.

RAIS yupi wa nchi yetu kabla ya kuwa RAIS alipata uzoefu wa huo URAIS?
 
Urais unahitaji mtu matured kidogo ambaye ashazoea zoea madaraka kidogo. Ukimpa mtu madaraka makubwa mabyo hayajazoea, yanamlevya anaweza sana. Ni kama from no where masikini ashinde bilioni.
Nyerere alileta uhuru wa Tanganyika akiwa na miaka 39 tu 1961 alikuwa kiongozi wa TANU kitaifa akiwa na miaka 32
 
Hatuwezi kuongozwa na mtoto wa miaka 30 hata kidogo maana bado akili yake inawaza wanawake na Pombe..

Isijekuwa kila siku Tunasikia Rais kabadili Msichana wake au kanywa kalewa
Unaishi wapi hapa Tanzania?

Anasa juu ya mtu haina uhusiano wowote ule na umri. Wapo Mafaza, Mamaza na Mabraza wanaishi kwenye hayo mambo uliyoyataja na wameshika Mamlaka.

Umri ulioenda daily wanaonywa kusuhu hayo mambo uliyoyataja kiongozi.
 
Unafikiri Kwanini Akionekana Mtu mzima kama mimi (Mwenye miaka 50s) ,Nimepita mtaani Nimemshika mke wangu Kiuno nacheza naye barabarani nitaonekana Kituko?

Wakati Akipita kijana wa 22 mpaka 46 ataonekana kawaida..?

Kwa sababu.. "With Youth there is Power and Strenghth but With ages Comes Wisdom"

Mtu mzima dawa..
mapito "Experience" anazopitia, uchungu maumivu ndo humfanya kuwa Shujaa na mkakamavu..
Huwa kujua wapi anatakiwa hareact na wapi anyamaze..

Nikiwa kijana Pale ambapo.nilikuwa na power ya kulipiza kisasi kwa niliyofanyiwa Nilifanya hivyo..
Pia..

Sasa
Kiongozi hatakiwi kuwa hivyo..

Nakupa mfano:
Ni wakati gani Dar es imekuwa na drama sana?
Je ni wakati wa Makamba, Lukuvi,kandoro,Makonda au chalamila???

Unafikiri Ni kwanini???
 
Malezi huzaa hekima. Hekima nzuri au mbaya haipatikani kwa huo uzoefu ulioutaja.

Unazijua tabia za viongozi wako Kijamii kama binadamu wengine walio na umri mkubwa au unawatizama kwa TV?
 
Nyerere alileta uhuru wa Tanganyika akiwa na miaka 39 tu 1961 alikuwa kiongozi wa TANU kitaifa akiwa na miaka 32
That was when mkuu, this is now. Vijana zama hizo walikuwa na hali ya kutumika na kuleta mabadiliko. Akina patrice lumumba, na wengine.
Siku hiki kizazi imekuwa tofauti kidogo...
 
Malezi huzaa hekima. Hekima nzuri au mbaya haipatikani kwa huo uzoefu ulioutaja.

Unazijua tabia za viongozi wako Kijamii kama binadamu wengine walio na umri mkubwa au unawatizama kwa TV?
Yes, umeongea vema!
Na hata kutoona Tania za Viongozi hadharani Ni moja ya Hekima na Busara Ambayo haiji ila kwa Utu uzima..
 
Habari Tanzania!

Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea.

Kiukweli wananchi wanasisimkwa zaidi wakiongozwa na vijana na sio mafaza au mabraza ambao wamekuwa wanachangamoto nyingi za kiuwezo katika kutuletea maendeleo.

Asante.
yani umpe uraisi muhuni wa miaka 30 ?? common guys.huyu hata kubaree kiakili bado ndiposa tumpe nchi?
 
Vijana waliopewa madaraka yakawalevya ndio wanatutisha. Hivi kwa mtu kama sabaya aliyofanya imagine angekuwa rais. Na hapo alikuwa ana wakubwa wa kumtuliza.

Sisemi hao wazee hawafanyi but at least. Vijana madaraka inaelekea yanawalevya sana. Same akina Roma wanaijua shughuli ya fulani...
kwanza vijana ndiyo walikuwa wanamponza JPM. Vijana wana mambo ya kitoto sana.URAIS tuanzie miaka 50.umri kama huu unakuwa umejifunza mengi na kuyaona mengi.sasa miaka 30 huyu ni adolescent anawaza wanawake tu kichwani.hana exposure huyu ni sawa na wahuni wengine.Mfano halisi ni zelensky ,kaiharibu nchi yake kwa sababu ya utoto
 
That was when mkuu, this is now. Vijana zama hizo walikuwa na hali ya kutumika na kuleta mabadiliko. Akina patrice lumumba, na wengine.
Siku hiki kizazi imekuwa tofauti kidogo...
vijana wasiku hizi wanakula chipsi mayai ya kisasa unategemea wawe na akili kichwani kweli za kuongoza nchi?ni shiiida
 
yani umpe uraisi muhuni wa miaka 30 ?? common guys.huyu hata kubaree kiakili bado ndiposa tumpe nchi?
Haaaahaaaaa kwanini mnahofu isio na umaana wowote.

Mwanzo mliogopa kumpa RAIS Mwanamke kwa mawazo hayo hayo ila leo hii Kiko wapi. Mama wa watu anafanya vizuri kuliko hata wanaume.

Mkiwa mnafanya mabadiliko madogo katika KATIBA basi hili tusiliache tafadhali
 
yani umpe uraisi muhuni wa miaka 30 ?? common guys.huyu hata kubaree kiakili bado ndiposa tumpe nchi?
Una uwakika kuwa kila kijana mwenye umri miaka kuanzia 30 ni muhuni ?

URAIS ukiwa kuanzia miaka 30 kila mzazi mwenye upeo na nia njema anaweza kutuandalia kiongozi mzuri tofauti na tutayojionea leo hii.

Swali

" Tangu nchi yetu ipate Uhuru, ulishawahi kujiuliza kwanini hatujawahi kupata RAIS aliyezaliwa mjini, kwanini wote ni watu wa kijijini haswa"?
 
Walichaguliwa na nani hao watu, unaowapigia mfano?

Yaani wakae watu wachache wafanye maamuzi yao kwa utashi na mahaba yao kwa kumteua mtu au watu kisha waharibu mtaani; ndio mfanye hitimisho kuwa VIJANA hawawezi uongozi!?

Wagombee, tuwapime mawazo yao kuhusu Taifa letu; kisha tumchague kijana tunayemtaka mbichi kabisa kuanzia 30 na kuendelea.
Taifa limejaa majangili tupu, angalia akina Gambo, Happy, Mwigulu, Makamba, Aweso ni tabu tupu hakuna la maana, Lucas Mwashambwa si anaweza kuuza nchi kwa tamaa zake
 
Taifa limejaa majangili tupu, angalia akina Gambo, Happy, Mwigulu, Makamba, Aweso ni tabu tupu hakuna la maana, Lucas Mwashambwa si anaweza kuuza nchi kwa tamaa zake
Hao sio vijana. Hao ni wazee aka Mafaza.

Alafu kuhusu siasa ni kama taarifa za mitandao usipende kuziamini zimejaa uongo.
 
Ndio shida. Hakuna radha ya uongozi. Uongozi wa ushindani haupaswi kuwa wa kibaguzi.

Miaka yote umri imekuwa kipengere cha ubaguzi kwa vijana wenye uwezo kuwania URAIS wa nchi yao.
mwenye miaka 40 Keisha ipita miaka 30 anayajua mapungufu ya miaka 30 papala na tamaa ya madaraka ndiyo iwatesayo huyo wa 30 hatafika 40?siioni picha kama sabaya angekua rais.
 
mwenye miaka 40 Keisha ipita miaka 30 anayajua mapungufu ya miaka 30 papala na tamaa ya madaraka ndiyo iwatesayo huyo wa 30 hatafika 40?siioni picha kama sabaya angekua rais.
Unamjua RAIS Bongo wa Gabon, RAIS wa Gambia,RAIS wa Cameroon, RAIS Mwai Kibali Kenya, RAIS Mseveni Uganda, RAIS Kagame Rwanda?

Hawa ni mature sana kutokana na hoja yako. Je, wamekosa hiyo tamaa unayoiandika?
 
Back
Top Bottom