Akili mavi wewe,ongea kwa hoja na si kutukana.hapa ndipo unaona akili za mwafrika mavi matope1 Yamejazana na akili ndogo mavi. haya majuha Ukiyaambia kuwa kila mtu aje na kopo litageuka kubwa Scania bus yataleta!
EurekaRuhusu sayansi itawale maisha yako sio miujiza
Waumini wake wanatombeka sana KAWEnimekukubali mzee baba huku futa la upako pembeni na maji yetu ya Canadian. Pepo tunaiona ilee, gegedo lenye baraka zote
Kama hujui huenda theluthi moja ya wahudhuriaji wote pale ni waislamu lakini kwa huyo Kishki wanaoenda pale ni waislamu pekee,mkristo hawezi kwendaNimesema kishk kwakuwa najua ushawishi alionao kwa waislam wa tz? Sidhani kama Kuna sheikh mwingine tz afanye jambo kama lile ataweza ujaza uwanja wa mkapa na uhuru kwa pamoja, ndio maana kila yakifanikiwa Yale mashindano anapongezwa kishk
Na hao ndo hutumiwa na CCMHii inathibitisha na kuonesha,wajinga walivyo wengi
Ova
Asante kwa mchango wako..sadaka ni ibada.Nabii anavuka na chake usiku wa leo. Utani pembeni, wakuu nendeni ukamsifu na kumtukuza Mungu ila kwa upande wa sadaka nashauri mkatoe kwa wahitaji zaidi kama walemavu, watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, wagonjwa n.k
Msiache pesa zenu hapo watu wakavuka nazo. Ibada ni bure kabisa ndugu zangu
Amewekeza katika eneo linalogusa maisha ya watu kwa 200%. Vijana hawana ajira, vipato vya wengi wetu ni duni, ufukara na umasikini, ndoa zinapumulia mirija, wapo wanaotafuta ndoa kama almasi, kuna watu wanaumwa na huko hospitali hakuna matumaini, kuna watu wanatafuta watoto kwa zaidi wa miaka 10, biashara hazina return inayoeleweka.Kujaza uwanja wa Mkapa bila promo ni kipaji! Haya mengine tutatofautiana lakini Mwamposa ameweza jambo ambalo timu za mpira maarufu huingia gharama kubwa ya promo na uwanja wanashindwa kuufanya kuwa full!
Hongera Mwamposa kwa hilo.
Huna hoja..wivu wa kike umekujaa..get a job...acha kujihangaisha na maisha ya watu ambao hawajawahi kuja kukuomba msaada.of what use to me, acha yaliwe hela majuha including you of course, seem you are staunch believer of Mwamposa the tapeli!
Kwahiyo hela ulitaka ziende kwa mafisadi ya kijani ndio ufurahi.?Hivi wanatoa sadaka? If so, kama level seat ni 60,000 na nilivyoona hapo ni kama Mkapa Stadium ipo full.
Just imagine kila mtu atoe walau 1,000 zidisha kwa watu 60,000...dadeq kweli mwenye nacho hupewa zaidi. A minimum of 60,000,000 Tsh.
Aliye nacho anazidi kuongezewa.
Kuna viumbe lazima muhemkwe, kuna mahali umeona dalili za mimi kuwa na wivu. Nimesema aliye nacho anaongezewa, huo ni wivu?. Futseke zako!Kwahiyo hela ulitaka ziende kwa mafisadi ya kijani ndio ufurahi.?
Ila zikienda kama sadaka roho inakuuma..huo ni wivu wa kike.
#MaendeleoHayanaChama
Shida iko wapi??wacha awe bilionea ulitaka awe masikini ndio ufurahie?get a jobAmewekeza katika eneo linalogusa maisha ya watu kwa 200%. Vijana hawana ajira, vipato vya wengi wetu ni duni, ufukara na umasikini, ndoa zinapumulia mirija, wapo wanaotafuta ndoa kama almasi, kuna watu wanaumwa na huko hospitali hakuna matumaini, kuna watu wanatafuta watoto kwa zaidi wa miaka 10, biashara hazina return inayoeleweka.
Kama kweli kuna watu wanaenda na kuona mafanikio, watazidi kukanyaga mafuta na kununua maji, kuombea ardhi zao hadi huyo mwamba awe bilionea.
Kwa lugha hii wewe sio mtu wa Mungu.....mtawaokota haohao mazezeta...Kama watu wanatoa pesa na wanapokea matamanio ya mioyo yao, yaani wanafanikishwa, acha watoe, ukidhani nivirahisi, itisha kongamano na wewe uone kama utawapata hao watu. Tusiwe na mawazo yenye mlengo hasi tu, tujifunze pia kwanini Boniphace Mwamposa kafanikiwa hivi na iwe chachu kwenye maisha yetu.
Lazima uende maana hiyo profile picha yako inaonekana una changamoto lukuki.Yaani ningekuepo ningeudhuria namkubali mno mwammposa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Na wanaliwa kweli....Wajinga waliwao
Ova
Acha uzishi wewe, uliuliza dini zao kwa kila aliyeingia pale? Kumbuka hatuzungumzii dini za walioingia Bali kujaa uwanjaKama hujui huenda theluthi moja ya wahudhuriaji wote pale ni waislamu lakini kwa huyo Kishki wanaoenda pale ni waislamu pekee,mkristo hawezi kwenda
Makasiriko, kwani hujui huo uhuni unaofanywa na hawa manabii wa uongo?.Akili mavi wewe,ongea kwa hoja na si kutukana.
Unafikiri wewe una akili kuliko watu wote 65000 waliohudhuria pale?,unafikiri hakuna wasomi kukushinda wewe wamehudhuria pale?
Kama una uelewa wa kutosha na una akili za kawaida nenda,fanya utafiti wako halafu uje hapa utoe hoja na ushahidi kuthibitisha hoja yako na si kutukana watu hovyo
ndio fursa hizoAcha watu wapige pesa kwa kuwatumia wengine