Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

Swahili: Kama sio chai, basi wewe fala.

English: If it's not tea, then you're fala.

Spanish: Si no es té, entonces eres fala.

Nyarwanda: Niba atari icyayi, noneho uri fala.

Hindi: अगर यह चाय नहीं है, तो आप फ़ला हैं।

Dutch: Als het geen thee is, dan ben je fala.
Uzi ufungwe
 
Hakuna mwanamume hapo huyo ni binti wa kiume wanaishi kama lesbians

Wanaume huwa tuna masculinity hakuna mwanamke anaweza kumwendesha a masculine man
Na wewe ndio umeongea nini hapo? Ungesema MASCULINE tu ingetosha. Hakuna msamiati wa masculine man. By the way mawazo yako na yaheshimike maana umeeleweka😀
 
Picha ilianza wewe ulipomwambia mfunge ndoa sikiliza nikuambie jombaa mwanaume siku zote hana shida ya ndoa, mwanamke ndo hua analazimisha, kwani wewe ulilelewa na single mama???
 
dogo tafuta hela acha kulalamika mimi nalima tu nna wake watatu sijui mpo dunia gani nyie malodilofa.
 
Alipomaliza chuo, nilipomuambia mambo ya kumuoa, akaniambia hapana, subiri mpaka nipate kazi, kuna mambo namalizia, nikajitahidi kuhangaika, kuna mshikaji wangu akamuunganishia, akapata kazi benki. Mshahara laki 6, sijakaa miezi miwili, ananiambia kuwa ananunua gari, nikawaza kwamba maisha gani ananunua gari, akanambia nimechukua mkopo kazini.

Mimi nikatulia, akanunua hiyo gari, nakumbuka kipindi kile IST alinunua milioni 14, nikasema poa, haina shida. Naongelea mambo ya ndoa, ananiambia mimi sina shida kuhusu kunioa, lakini siwezi kuishi huko, nataka kuishi Dar au Morogoro. Nikamuambia mimi niko Dodoma, unafanya kazi Dodoma, kwanini utake kuhama?

Akanambia, ndiyo nimeamua, kama unataka kunioa basi ni kati ya mikoa hiyo. Nikasema isiwe shida, tutahamia huko, basi tukafunga ndoa, mara kanambia anaacha kazi, anahamia Dar kama alivyonambia kwani kapata kazi nyingine huko, nikamuambia mimi uhamisho kuja Dar mgumu, ananiambia kwani nani alikuambia nataka uhamie na mimi.

Mimi sitaki kuishi na wewe, baki Dodoma, mimi nataka kuishi Dar, siwezi kuishi na mwanaume 24/7. Tukagombana, nampigia mama yake, ananiambia kama mwanangu hataki kuishi na wewe kwanini unanilazimisha. Sijakaa sawa, akaacha kazi, nasikia yuko Dar kahamisha kila kitu chake, hivyo ananiambia nitakuwa nakuja kila weekend!

Ni mwaka wa pili sasa, mke wangu namuona kila anapotaka yeye, sijui hata anaishi wapi huko Dar, nikitaka kwenda ananiambia unakuja kwani wewe ndiyo unalipa kodi, hataki hata kunizalia kiasi mimba anatoa, nipo tu hata sijui nafanya nini, nguvu ya kumuacha sina, hata nguvu ya kuchepuka sina!
WEWE NI VICTIM.SHTUKA
 
Huyo sio mkeo Ni mke wa mtu
 
Pole mkuu! Ulioa jini! Huyu hana hata chembe ya huruma kwako hata kukuzalia hataki. Mwanamke wa aina hii ukimg'ang'ania atakuua! Tafuta jiko unalolimudu weka ndani maisha yaendelee!
 
Alipomaliza chuo, nilipomuambia mambo ya kumuoa, akaniambia hapana, subiri mpaka nipate kazi, kuna mambo namalizia, nikajitahidi kuhangaika, kuna mshikaji wangu akamuunganishia, akapata kazi benki. Mshahara laki 6, sijakaa miezi miwili, ananiambia kuwa ananunua gari, nikawaza kwamba maisha gani ananunua gari, akanambia nimechukua mkopo kazini.

Mimi nikatulia, akanunua hiyo gari, nakumbuka kipindi kile IST alinunua milioni 14, nikasema poa, haina shida. Naongelea mambo ya ndoa, ananiambia mimi sina shida kuhusu kunioa, lakini siwezi kuishi huko, nataka kuishi Dar au Morogoro. Nikamuambia mimi niko Dodoma, unafanya kazi Dodoma, kwanini utake kuhama?

Akanambia, ndiyo nimeamua, kama unataka kunioa basi ni kati ya mikoa hiyo. Nikasema isiwe shida, tutahamia huko, basi tukafunga ndoa, mara kanambia anaacha kazi, anahamia Dar kama alivyonambia kwani kapata kazi nyingine huko, nikamuambia mimi uhamisho kuja Dar mgumu, ananiambia kwani nani alikuambia nataka uhamie na mimi.

Mimi sitaki kuishi na wewe, baki Dodoma, mimi nataka kuishi Dar, siwezi kuishi na mwanaume 24/7. Tukagombana, nampigia mama yake, ananiambia kama mwanangu hataki kuishi na wewe kwanini unanilazimisha. Sijakaa sawa, akaacha kazi, nasikia yuko Dar kahamisha kila kitu chake, hivyo ananiambia nitakuwa nakuja kila weekend!

Ni mwaka wa pili sasa, mke wangu namuona kila anapotaka yeye, sijui hata anaishi wapi huko Dar, nikitaka kwenda ananiambia unakuja kwani wewe ndiyo unalipa kodi, hataki hata kunizalia kiasi mimba anatoa, nipo tu hata sijui nafanya nini, nguvu ya kumuacha sina, hata nguvu ya kuchepuka sina!
km sio chai ebu weka pcha yake, inawezekana ni mmoja wa watoaji huduma ktk machimbo yetu pendwa
 
Mkuu na bado unamuita mkeo? Alionyesha kila dalili kwamba hakuhitaji Ila ukamuoa, piga kimya fanya ishu zako, hakuna mke hapo kitambo!
 
Nakuombea ufunguke.. usonge mbele na maisha yako bila yeye. Kimbia fasta atakuletea magonjwa lands kutoka kwa mumewe anayeishi nae Dar.

Pole
 
Alipomaliza chuo, nilipomuambia mambo ya kumuoa, akaniambia hapana, subiri mpaka nipate kazi, kuna mambo namalizia, nikajitahidi kuhangaika, kuna mshikaji wangu akamuunganishia, akapata kazi benki. Mshahara laki 6, sijakaa miezi miwili, ananiambia kuwa ananunua gari, nikawaza kwamba maisha gani ananunua gari, akanambia nimechukua mkopo kazini.

Mimi nikatulia, akanunua hiyo gari, nakumbuka kipindi kile IST alinunua milioni 14, nikasema poa, haina shida. Naongelea mambo ya ndoa, ananiambia mimi sina shida kuhusu kunioa, lakini siwezi kuishi huko, nataka kuishi Dar au Morogoro. Nikamuambia mimi niko Dodoma, unafanya kazi Dodoma, kwanini utake kuhama?

Akanambia, ndiyo nimeamua, kama unataka kunioa basi ni kati ya mikoa hiyo. Nikasema isiwe shida, tutahamia huko, basi tukafunga ndoa, mara kanambia anaacha kazi, anahamia Dar kama alivyonambia kwani kapata kazi nyingine huko, nikamuambia mimi uhamisho kuja Dar mgumu, ananiambia kwani nani alikuambia nataka uhamie na mimi.

Mimi sitaki kuishi na wewe, baki Dodoma, mimi nataka kuishi Dar, siwezi kuishi na mwanaume 24/7. Tukagombana, nampigia mama yake, ananiambia kama mwanangu hataki kuishi na wewe kwanini unanilazimisha. Sijakaa sawa, akaacha kazi, nasikia yuko Dar kahamisha kila kitu chake, hivyo ananiambia nitakuwa nakuja kila weekend!

Ni mwaka wa pili sasa, mke wangu namuona kila anapotaka yeye, sijui hata anaishi wapi huko Dar, nikitaka kwenda ananiambia unakuja kwani wewe ndiyo unalipa kodi, hataki hata kunizalia kiasi mimba anatoa, nipo tu hata sijui nafanya nini, nguvu ya kumuacha sina, hata nguvu ya kuchepuka sina!
Uliongozwa na hisia badala ya akili sifa za mwanamke wa kuoa sio tako
 
Back
Top Bottom