Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

Alipomaliza chuo, nilipomuambia mambo ya kumuoa, akaniambia hapana, subiri mpaka nipate kazi, kuna mambo namalizia, nikajitahidi kuhangaika, kuna mshikaji wangu akamuunganishia, akapata kazi benki. Mshahara laki 6, sijakaa miezi miwili, ananiambia kuwa ananunua gari, nikawaza kwamba maisha gani ananunua gari, akanambia nimechukua mkopo kazini.

Mimi nikatulia, akanunua hiyo gari, nakumbuka kipindi kile IST alinunua milioni 14, nikasema poa, haina shida. Naongelea mambo ya ndoa, ananiambia mimi sina shida kuhusu kunioa, lakini siwezi kuishi huko, nataka kuishi Dar au Morogoro. Nikamuambia mimi niko Dodoma, unafanya kazi Dodoma, kwanini utake kuhama?

Akanambia, ndiyo nimeamua, kama unataka kunioa basi ni kati ya mikoa hiyo. Nikasema isiwe shida, tutahamia huko, basi tukafunga ndoa, mara kanambia anaacha kazi, anahamia Dar kama alivyonambia kwani kapata kazi nyingine huko, nikamuambia mimi uhamisho kuja Dar mgumu, ananiambia kwani nani alikuambia nataka uhamie na mimi.

Mimi sitaki kuishi na wewe, baki Dodoma, mimi nataka kuishi Dar, siwezi kuishi na mwanaume 24/7. Tukagombana, nampigia mama yake, ananiambia kama mwanangu hataki kuishi na wewe kwanini unanilazimisha. Sijakaa sawa, akaacha kazi, nasikia yuko Dar kahamisha kila kitu chake, hivyo ananiambia nitakuwa nakuja kila weekend!

Ni mwaka wa pili sasa, mke wangu namuona kila anapotaka yeye, sijui hata anaishi wapi huko Dar, nikitaka kwenda ananiambia unakuja kwani wewe ndiyo unalipa kodi, hataki hata kunizalia kiasi mimba anatoa, nipo tu hata sijui nafanya nini, nguvu ya kumuacha sina, hata nguvu ya kuchepuka sina!
Wewe ndio Mke unataka kumwacha mume wako Songea kijijini?
 
🙄🙄🙄🤐
 
Litakufa jitu, Mwanamke akishakupa Option tu katika kumuoa achana nae, Mwanamke anapaswa yeye ndiye akung'ang'anie ili umuoe katika hali yoyote ile hapo ataweza kuilinda ndoa yake.

Uling'ang'ania tena si kwa kutokujua Uliforce ndoa wacha uone moto kama hutaki kutoa taraka we si Fala bwana...!
Ananipenda jamani
 
APPLE iPHONE 6 PLUS 220,000

BRAND NEW & CLEAN FROM CANADA

SPECIFICATIONS

Battery Health - 100%
Fingerprint Sensor - Working

RAM - 1GB
ROM/Internal - 64GB
Screen Size - 5.5 inches
Operating System - iOS
Color - Gold
Display Type - IPS LCD
Resolution - 1080 x 1920
SIM - Nano SIM
Main Camera - 8MP f/2.2
Selfie Camera - 2MP f/2.2
Battery - 3000
Bluetooth - 4.0
USB 2.0 & NFC

0783060577
Haina kasoro yoyote kwa 220,000 tu
Chakula laki moja mkuu
 
Back
Top Bottom