Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 213
utakuta mtu anaamua kwenda kulewa tu akirudi analala kumbe kisa kanyimwa mbunye
Na ndio mwanzo wa small house... Kisa umenyimwa haki ya ndoa..
utakuta mtu anaamua kwenda kulewa tu akirudi analala kumbe kisa kanyimwa mbunye
hilo nalo nenoMi Naona tusimzungushe. Bwanae, tafuta nyumba ndogo fasta.... unamlea wa nini?
It's time tusikie hata good sides za marriage na sie kufarijika!..
Pole kaka mwenye matatizo ila sex 4 times kwa mwezi ni siyo mbaya!!
why all married people wana complain sana.????????
ha ha ha - may be una pipe refu - anapata maumivu teh teh teh
Kwanza sorry kwa kupotea maana nilitoka tena kidogo...... Je ndani kuna upendo wa kutosha au ni amri tu na hakuna kutaniana taniana? ......... Usitegemee wewe utakuwa mume ....... kwa mkeo halafu eti utegemee mapenzi toka kwake. ......... Hebu eleza kwa uwazi mnavyoishi na huyu mke wako ndipo tutaweza kukupa ushauri hapa.
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri, sasa naelewa kuwa women are like that.Kaka yangu, wala usidhani jambo lingine la tofauti juu ya mkeo kama hakupendi au labda kuna sehemu nyingine anakamilisha haja zake, no!!, sisemi haya kwasababu mi ni mwanamke kwahiyo ukafikiri ninaside na mwanamke mwenzangu la! nina sema haya kwasababu ni mwanamke hivyo naelewa what happens to us. Haja zetu za mwili sio kama zenu hiyo kwanza utambue, ninyi you're always ready for a go but we are not, it happens atleast two to four times in a month tena wakati ule wa kipindi cha uchavushaji wa mayai ya kike .............woman my brother do u understand me?
Una kila sababu ya kumridhisha kila akuhitajipo kwani ndivyo ikupasavyo, na yeye usimfikirie vibaya BUT something can be done kwa upande wake ili kupunguza mateso kwako walau kiduchu. First, make sure hana kazi nyingi za kumchosha ............, sasa hilo nalo linachangia kwani wewe pia ungekuwa unampa tafu kwenye suala hilo mngebalance na hali ya kukuhitaji kimwili ingekuwa regulated, am not sure if u follow!! Do u?
Lastly, be romantic usingoje mpk usiku ufike ndo uombe,........
Relax man!!
Kuhitaji mara moja ndani ya siku mbili kama anavyosema mleta hoja does not seem to be excessive to me - issue maybe itakuwa ni round ngapi anakwenda katika hizo siku anazopewa...(mwingine bila kupiga round tano hakijaeleweka!)
By the way wana JF, what could be the optimum number of sexual encounters in a week? (tuseme, twice a week na kila siku round mbili mbili?)
BelindaJacob, kuna mazuri mengi sana ya ndoa,....... mara nyingi huwa tunapenda kuweka hadharani tukipatwa na mambo mabaya. .......Ndoa yetu ina amani sana na tunapendana sana? ila siburi kutokee mkanganyiko kidogo, kila mtu atajua.
All the best
Mkuu MLUGU aka Mluguru..
Acha kabisa kuulizia hy haki yako kwa mwezi na zaidi.. hata yeye akihitaji, mfanyie kama anavyokufanyia wewe, Na umweleze kwa nini unafanya hivyo, kwani chanzo ni yeye...Then utatuambia.. Huwa hawanaga kabisa pumzi ya kustahimili zaidi yetu. Ni mkwala tu wa siku mbili tatu then kwishne.