Mke wangu hataki kutumia pesa yake kununua kitu chochote kwa matumizi ya familia

Yamahembe

New Member
Apr 27, 2024
2
11
Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yaani hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake.

Je nifanye nini!
 
Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yan hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake jee nifanye ninj
Kosa: Kutegemea pesa ya mwanamke.
Usimlazimishe mwanamke kukupa kitu chochote kile. Hakuna mwanamke anayependa kuangalia chini. Elewa nilichokiandika.

Cha kufanya: Endelea na maisha yako, timiza mahitaji yote yanayohitajika na familia yako, ila usisahau kujipenda pia, raise your attractiveness ili kuongeza value. Panua fikra zako kutafuta channel zaidi ya moja ya pesa, ukimkopa, fanya biashara , then rudisha pesa zake, tumia faida kuendeleza biashara yako. Usionyeshe uko needy na pesa yake, we ishi as if you don't depend on her.
 
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UTUMWA KWA MWANAUME
KATAA NDOA, KATAA UTUMWA.

Naona sijakiangusha chama
Ndoa si Utapeli. Kukosa maarifa ndo inakufanya kuiona kama utapeli. Wengi mnaignore red flags mnawachagua 304's woman, mnacommit halafu mnaanza kulaumu taasisi ya ndoa kuwa ni utapeli.

Kufeli kwa Ndoa ni makosa ya mwanaume kuchagua mwanamke asiye sahihi kwa kukosa maarifa sahihi
 
Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yan hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake jee nifanye ninj
Is this true? au unaleta cenario ya kuchangamsha JF?
If that is TRUE, fukuza, toa takataka liende lilikotoka likathamini pesa huko
 
Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yan hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake jee nifanye ninj
Aliekwambia uoe mfanyakazi ndio kakupoteza, wenzako tuliyajua mapema hayo tukayakwepa. Hujachelewa piga chini huyo tafuta mama wa nyumbani.
 
Back
Top Bottom