navache
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 494
- 352
Mkuu inaonesha wife wako haijamini kabisaa...na huyo beki tatu ni mzuri kuliko wife wako..
Chakufanya hapo mle huyo beki tatu..uweke heshima
Aina za ushauri ni nyingi sana, kazi kwako mshauriwa
Mkuu inaonesha wife wako haijamini kabisaa...na huyo beki tatu ni mzuri kuliko wife wako..
Chakufanya hapo mle huyo beki tatu..uweke heshima
Mmmh!! Hili nalo la kuleta jf? Inamaana we hujiongezi??
Anatakiwa amle? Ili wfe kihere here kiishe
Mmmh bwana shemeji!!! Kwahiyo hizo ndizo solutions zako!! Haya bwana
Baba mwenye nyumba hivi unaanze kupenda mazoea na utani na wadada wa kazi. Vitu vingine havihitaji hata ushauri.
Mkeo anajuwa hii '' weka mbali na watoto''
Na iwe ngumu tu, naona una uhitaji sana wa huo utani si utaniane na mkeo?basi ndoa ngumu sana kama ndo hivi.
Husikeni na somo hapo juu,
Yani hata akikuona unacheka naye au ukamtania ama yeye akakutania, basi moto lazima uwake chumbani, sasa unajiuliza mke wangu anataka kunijengea taswira gani kwa dada wa kazi?Nionekane mtu katili na nisiyekuwa na utani hata kidogo.
Utamaduni kama huu kweli unafaa?Mimi nadhani tunatakiwa tuishi kama ndugu tu.