Mke wangu ananitesa na kuninyanyasa sina raha na ndoa sijui nifanyaje

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF...

Naandika huku nafsi yangu ikiwa na majonzi makubwa.

Mke wangu wa ndoa tuna miaka 8 toka tufunge ndoa, tumejaliwa kupata watoto 2 mapacha wa kiume na kike.

Lakini taingia mwaka juzi kabadilika kaanza vituko nyumbani, sio kawaida yake ananipiga na vitu bila sababu.

Kaenda mbali zaidi ananiambia lazima nikitoka kazini niwahi kufika nyumbani nikae na watoto yeye yupo bize..

Kanilizimisha nimjengee nyumba kwao Same nimemjengea nyumba kubwa tu lakini hana shukurani..

Tendo la ndoa napewa mara moja kwa mwezi nikihoji napigwa na mwiko..

Kila baada ya wiki anasema anasafiri anakwenda kwenye semina nibaki na watoto.

Ndugu zangu nisaidieni nifanyeje??
 
Hivi ni kweli kuna limbwata ya kumfanya mtu kuwa mume *****?? Kama ndio basi huyu ni mwathirika...duh pole mkuu
 
Msemee kwa baba yako. Kama wewe yatima hebu nistue nikupe mbinu mbadala. Pole mwaya
 
sasa sikia ni hiviiiii...! hapo bila shaka ngoma inapigwa na wapigaji inaelekea wameku outsmart....! inabidi ujitahidi sana..! na hizo seminar ni kwamba mzigo unaliwa ndugu yangu..! hapo la kukusaidia ni kwamba.. siku akikuruhusu uingie kwenye 18 zake aisee hebu fanyia mazoezi kabisa hiyo siku ya forum...! hakikisha unakua mwenyekiti wa ukweli.. laa sivyo utajikuta unalea watoto ambao sio wa kwako.. mara nyingi haya mambo yanaishia huko..! na ukimaliza ukaona tabia zinajirudia...! hapo njoo tena jukwaani ntakupa ushauri mwingine..! huyo bado sio wa kupigwa chini na wala hujafikia sehemu ya kupewa pole wewe...!
 
duh! mwan wakajanga hadi umemjengea nyumba kwao....u got a benign heart for sure
 
safi sana
umechagua lililo jema kulinda ngoa yako
kupigwa kitu gani kwani?
 
sasa sikia ni hiviiiii...! hapo bila shaka ngoma inapigwa na wapigaji inaelekea wameku outsmart....! inabidi ujitahidi sana..! na hizo seminar ni kwamba mzigo unaliwa ndugu yangu..! hapo la kukusaidia ni kwamba.. siku akikuruhusu uingie kwenye 18 zake aisee hebu fanyia mazoezi kabisa hiyo siku ya forum...! hakikisha unakua mwenyekiti wa ukweli.. laa sivyo utajikuta unalea watoto ambao sio wa kwako.. mara nyingi haya mambo yanaishia huko..! na ukimaliza ukaona tabia zinajirudia...! hapo njoo tena jukwaani ntakupa ushauri mwingine..! huyo bado sio wa kupigwa chini na wala hujafikia sehemu ya kupewa pole wewe...!
Huyu bwana mimi sielewi kwanza anachezea vipi hicho kipigo kutoka kwa mkewe.
 
Nnmh;;;;;;;
Nikwambie kitu, mpe/muombe talaka halafu nami nitaomba talaka toka kwa abusive mume of mine; then tuanze moja (wote wahanga), l am sure we will live happily ever after!
 
Jamani jamani.
Kwahiyo miaka mitatu yote umekubali kuteswa tu?Pamoja na mateso bado ukamjengea?Pamoja na mateso bado unawahi nyumbani?Pamoja na mateso bado unamwomba unyumba mpaka unaambulia kipigo?Pamoja na mateso bado umeendelea kukaa nae na kukubali kukaanyumbani na watoto wakati yeye akienda kufanya 'who knows what' ?

Embu amka baba. Wewe ni mwanaume, act like one.Kama kweli umechoka hizo tabia zake mweke chini umweleze kwamba hiyo ndoa yenu haitofika popote iwapo hatojirekebisha. (Ningeweza ningekwambia siku nyingine akileta ujeuri umchape vibao kama mtoto) but anyway cha muhimu ni kumjulisha kwamba huwezi na wala hutaki kuendelea kuishi nae katika hali mnayoishi sasa hivi. Ila sasa kwa kumweleza haya uwe tayari kwa lolote (including kuachana) maana anaweza akakuambia kwamba alikua anafanya hayo yote ili uondoke uache kumganda akae na mtu wake anaempenda.

Sasa hivi jifikirie wewe na wanao, sidhani kama kitendo cha mama yao kukupiga (kama nao wanaona) ni mfano mzuri kwao. Fanya mpango uwalee katika mazingira mazuri.
 
Good contributions.
 
Mkuu hizo semina zinanitisha, jaribu kuchunguza ni kweli anakwenda semina? Chunguiza na marafiki alionao huko kazini maana siku hizi bana hawa wenzetu unaweza kukuta kuna kitu flani tu humfanyii basi akisimuliwa na wenziwe mmewe kamfanyia hiki jana basi ni kosa atakuja kwako km mbogo eti mbona humwiti HONEY mbele za watu eti humpendi atanuna hata wiki! ukimwita HONEY mbele za watu basi atafuraaaaaaahi. jaribu kuwa mbunifu maisha yasiwe uniform saaana! na mfume dume saaana! jaribu kuto ignore vitu vidogo vidogo toka kwake.
Formula yangu nnayotumia huwa namwita chumbani namwambia leo tunauana humu ndani tuongee, tuchapane viboko tutukanane weeeeee ila tukitoka nje tuwe tumefikia mwafaka! basi atasema yote yanayomkera na mie ntasema tutapandishiana humoo weeeeeeee, tutalaumiana fokeana mwisho wa siku tunafikia common ground tunatoka na mkakati mmoja. Huwa namwambia niambie chochote unachoona nimekifanya kinakuudhi au kinakukera, atasema hapooo weee sitaki hiki, sitaki umsalimie yule dada wa jirani! sitaki u chat na baba joji usiku kwa nini akuite BAR wakati anajua una mke nyumbani hahahahaha akina mama achana nao wana vitu vidogo dogo lkn kwao vina impact kubwa sana!!!!
 
Huyu bwana mimi sielewi kwanza anachezea vipi hicho kipigo kutoka kwa mkewe.

aaah kama hujielewi ni unapewa mambo kinyama...! mwanamke bwana anajua sana kupenda ila akijua weakness zako ni rahisi sana kukufanyia mambo ya ajabu mpaka ukajikuta unashangaa kwamba ni huyu au nimebadilishiwa...! sasa kama huyu hapa ameshajua jamaa hawezi mambo ndio maana anawapelekea wenye uwezo wao..!
 
Nnmh;;;;;;;
Nikwambie kitu, mpe/muombe talaka halafu nami nitaomba talaka toka kwa abusive mume of mine; then tuanze moja (wote wahanga), l am sure we will live happily ever after!

mpm kwanza na umuulize maswali ya muhimu kabla hamjaanza kudate umenisoma..!? usije ukajikuta unamrudia abusive wako..! nimechoka sasa:yawn:
 
Hivi wewe ungesoma thread kama hii toka kwa JF member mngine ungemshahuri vipi? Mbona ndio vile vitu so obvious walikua wanasema?
 
Haa! Ndo magamba walivyokutuma? Sisi tunaijua cdm kama wamoja na wasiopenda uonevu, sijui wewe umetoka wapi na mandno yako ya ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom