Mke wangu ananitesa na kuninyanyasa sina raha na ndoa sijui nifanyaje

lizzy kama mwanamke kila siku amekua akijitahidi kukuonyesha kua humfikishi na wewe unakua huchukui hatua yoyote ile unataka afanye nini zaidi ya kuongea kwa kutumia mwiko....? huyu jamaa haja expose mambo yake vizuri hapa ukute mama haridhiki na kazi na amekua akimwambia ila jamaa amekua aki ignore hapo utajikuta watu wanamaliza kazi tu,,,... na wewe unakua unaonekana ni house girl tu japo ni mwanaume,,,,,!
We nawe. . .
Hapigwi wakati huo tu.Anapigwa kila mara.Sasa huko kutokuridhishwa ndio sababu tosha ya kumpiga mumewe? Whatever happened to couples talking and discussing things in a civilised manner?
 
wakapime wote... wakikuta wako fiti aje ajaribu kumpa kazi ya kiume then aobserve signals za circuit kama bado zina noise hapo sasa itakua mambo ni mengine....
hahahaha
atajuaje,maana kwa hawa hataakitoka kulala na mtu ukitest ni mpya huitaji kuadd girisi wala mafuta mazito
 
We nawe. . .
Hapigwi wakati huo tu.Anapigwa kila mara.Sasa huko kutokuridhishwa ndio sababu tosha ya kumpiga mumewe? Whatever happened to couples talking and discussing things in a civilised manner?

hivi lizzy maana ya dharau unaijua.....? mwanamke akikudharau anakumbuka weakness yako saa zote bwana,,,,...! ndo maana namwambia ajaribu kurectify kwanza hapo... kama sio hapo ndio aangalie ustaarabu mwingine....! tf anakuita huko kwanza amesemma hujamvalisha mtoto diaper... fanya fasta asije akakugonga na gari... si unajua sisi wanaume hua hatushiki mwiko kupiga....!?
 
hahahaha
atajuaje,maana kwa hawa hataakitoka kulala na mtu ukitest ni mpya huitaji kuadd girisi wala mafuta mazito

basi atumie kinga halafu ampe n'genyo la kufa mtu uone kama hata mwambia "....eeeh baba watoto ulikua wapi siku zoteee eeeeeh jamaani mmmh.....!!!?" na heshima itaanza siku hiyo hiyo...!
 
mpm kwanza na umuulize maswali ya muhimu kabla hamjaanza kudate umenisoma..!? usije ukajikuta unamrudia abusive wako..! nimechoka sasa:yawn:

I trust him totally; kwa style hiyo he will make a very good hussie! LOL
 
ungekuwa mwanamke ningekushushia madongo, ila kwa vile ni mwanamume, vumilia tu after all ur gender imetuumiza sana; sio mbaya tukipata pa kulipizia kisasi.
 
we jamaa **** kweli yaani'unampelekea ngumi ya pua'mara kibao'mara unakata mtama'mwisho unachukua juu kwa juu mpaka kitandani'unampelekea moto pale kudadadeki unamgeuza kaa samaki&&wee vipi?
 
wewe ni she au he? Maana siku hizi kuna ndoa za lesbians na gays!
Nifahamishe kabla sijakupa ushauri.
Wana JF...

Naandika huku nafsi yangu ikiwa na majonzi makubwa.

Mke wangu wa ndoa tuna miaka 8 toka tufunge ndoa, tumejaliwa kupata watoto 2 mapacha wa kiume na kike.

Lakini taingia mwaka juzi kabadilika kaanza vituko nyumbani, sio kawaida yake ananipiga na vitu bila sababu.

Kaenda mbali zaidi ananiambia lazima nikitoka kazini niwahi kufika nyumbani nikae na watoto yeye yupo bize..

Kanilizimisha nimjengee nyumba kwao Same nimemjengea nyumba kubwa tu lakini hana shukurani..

Tendo la ndoa napewa mara moja kwa mwezi nikihoji napigwa na mwiko..

Kila baada ya wiki anasema anasafiri anakwenda kwenye semina nibaki na watoto.

Ndugu zangu nisaidieni nifanyeje??
 
we jamaa **** kweli yaani'unampelekea ngumi ya pua'mara kibao'mara unakata mtama'mwisho unachukua juu kwa juu mpaka kitandani'unampelekea moto pale kudadadeki unamgeuza kaa samaki&&wee vipi?

mwana kweli wewe mgiriki na meli yako watu hawazamii hovyo hovyo.... hii kali sana
 
We nawe. . .
Hapigwi wakati huo tu.Anapigwa kila mara.Sasa huko kutokuridhishwa ndio sababu tosha ya kumpiga mumewe? Whatever happened to couples talking and discussing things in a civilised manner?

wanaume wa mara wakisoma hii thread wanatukana tu hawa washenzi wamekosa cha kuandika hawana adabu awajui kupigwa ni moja ya Nguzo muhimu kwenye ndoa
mi sisijasema
 
basi atumie kinga halafu ampe n'genyo la kufa mtu uone kama hata mwambia "....eeeh baba watoto ulikua wapi siku zoteee eeeeeh jamaani mmmh.....!!!?" na heshima itaanza siku hiyo hiyo...!

hahahahahahaha

Haya bana,mpaka anatoka nje ujue kuna jambo mkuu,ok kama anatatizo la kuto kumsababisha mweza aone utamu wa kuolewa basi yambidi atumia VIAGRA nadhani hiyo ni kiboko ya mwanamke asiyemwamini mme ktk angahizo
 
kumbe dawa unazijua mwanangu....! yani hapo ni kumpa kazi huyo dada ambayo hatakuja kuisahau...! na ukishaona kua tatizo ilikua ni kazi..! sasa kila mechi hakikisha unakua na wachezaji wa akiba wengi sana hata maviroba na madude yote yani hakikisha mpaka awe anakupigia simu ofisini sio kua uwahi kurudi kuwaangalia watoto atakwambia..."nilikua nimekumiss jamani mme wangu mmmh unakuja saa ngapi....?" na jamaa achomekee vipi seminar huendi tena atapata jibu hili..."aaah wale jamaa wamesema fund haitoshi kwa hiyo wamesema watatuambia kama wakiandaa tena...." hapo jua umekamata ndege mjanja kwenye tundu bovu....! sasa upige kazi hadi umpe ujauzito na dogo akizaliwa unamuita JUHUDI.....!
 
Siku nyingine akirudi amekunywa kidogo, mchokoze halafu akudunde.......
Akienda kulala, we washa jiko la mkaa, kaliweke chumbani, wewe lala sebuleni. ukumbuke kufunga madirisha ya chumbani.

Ukifanikiwa usiache kuja kunishukuru.

Wewe unamshauri mwenzako kuua una akili kweli wewe?
 
Mkuu hizo semina zinanitisha, jaribu kuchunguza ni kweli anakwenda semina? Chunguiza na marafiki alionao huko kazini maana siku hizi bana hawa wenzetu unaweza kukuta kuna kitu flani tu humfanyii basi akisimuliwa na wenziwe mmewe kamfanyia hiki jana basi ni kosa atakuja kwako km mbogo eti mbona humwiti HONEY mbele za watu eti humpendi atanuna hata wiki! ukimwita HONEY mbele za watu basi atafuraaaaaaahi. jaribu kuwa mbunifu maisha yasiwe uniform saaana! na mfume dume saaana! jaribu kuto ignore vitu vidogo vidogo toka kwake.
Formula yangu nnayotumia huwa namwita chumbani namwambia leo tunauana humu ndani tuongee, tuchapane viboko tutukanane weeeeee ila tukitoka nje tuwe tumefikia mwafaka! basi atasema yote yanayomkera na mie ntasema tutapandishiana humoo weeeeeeee, tutalaumiana fokeana mwisho wa siku tunafikia common ground tunatoka na mkakati mmoja. Huwa namwambia niambie chochote unachoona nimekifanya kinakuudhi au kinakukera, atasema hapooo weee sitaki hiki, sitaki umsalimie yule dada wa jirani! sitaki u chat na baba joji usiku kwa nini akuite BAR wakati anajua una mke nyumbani hahahahaha akina mama achana nao wana vitu vidogo dogo lkn kwao vina impact kubwa sana!!!!

Mchuzi wa bata chukua ma pointi hayo!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom