Mke wangu amezaa nje ya ndoa nimeamua tuachane .nisaidieni juu ya hili.

Pole mkuu,hiyo ngumu kumeza,nakushauri tulia lea hao watoto wako,usikurupuke kutafuta mke mwingine,jitolee kuwa alone mpaka watoto wako wakue,wanawake hawana mpango,hata ukioa mwingine ni yaleyale,komaa alone kama sisi!
 
nimeanza kuwa convinced kuwa kusafiri na kumuacha mkeo ni sawa na kuacha bucha wazi
 
Inawezekana ht yeye mlalamikaji hakuwa anamjali huyo mke wake, u can Imagine mwanaume mwenye familia anakaa chuo mwaka mzima bila kurudi Home, kwa kisingizio cha kukosa pesa. N'way siwezi kumhukumu huyu jamaa, bt I think kuna sehemu alikosea na ndiyo sababu ya hayo yote.
 
Wana,JF Naomba ushauri wenu.
Nilikuwa nimeoa na huyo mke nilikuwa nimezaa nae watoto wawili,nikapata nafasi ya kwenda kusoma hapahapa Tanzania,Mke wangu ni mwalimu wa shule ya Msingi,nilipokuwa chuo tulikuwa tunawasiliana vizuri,nilikuwa naendalikizo,lakini mara nyingi nilikuwa siendi likizo zote kwa sababu ya hali ya uchumi,na nilikuwa namwambia kwamba siendi likizo kwa sababu ya hali ya kiuchumi ambayo hata yeye alikuwa anaijua,nili kuwa namwambia ntabakia kwenye mkoa huu na kwa ndugu yetu ambaye na yeye anamfahamu,hadi namaliza chuo nikapata Temple ambayo ingeweza kutusaidia,kupata chakula,nikamwambia fanya utaratibu wa uhamisho,akasema sawa,badae siku hiyo hiyo usiku akanipigia simu akaniambia mimi ni sasa hivi ni MJAMZITO SI WEZI KUJA HUKO,Nikamuuliza umeolewa?akasema hapana,Tangu pale nikaona kuwa hatanifaa,watoto wako shule nina wahudumia mwenyewe nikimwambia changia shilingi elfu kumi,anakuwa mkali sana,tangu pale sikuwahi kumwambia chochote kuhusu watoto.
HADI HVI SASA HATUKO PAMOJA LAKINI YEYE ANATAKA TUSAMEHEANE NA TUISHI PAMOJA NIMEKATAA.
(NIMEONA NILILETE KWENU WADAU MNISAIDIE)
Mrejesho mkuu mkuu
 
Back
Top Bottom