Mke wangu amenisaliti kwa ushahidi wa mazingira, nifanye nini?

Mimi sijuagi kitu kinaitwa kusamehe na kusahau, nachojua ni kufanya maamuzi basi...
Huyo mke sio...
Mbaya ni pale anaposhindwa kuonyesha ushirikiano kwako...
Hatakama alikua na bwana wakati haupo ilitakiwa amuweke kando kwa wakati huo....
Inaonyesha hakutafuta huyo bwana sababu ya upweke....
Ni kicheche tu
Mpige chini.. atakuua... maisha matamu kaka na afya ni mtaji
 
Sorry basi, i though ni yaleyale (although ntacheki after 3 weeks laweza kuja jingine)

Back to topic, pole sana mkuu na ushauri wangu ni kwamba there is nothing you can do to reverse whatever happened... Just find a way to move forward positively, na ikibidi hata wote kuhamia dar si mbaya kwani kuna watu hawawezi kustahimili kabisa kukosa ile supply ya yale mabo yetu

One advice mkuu, usimtafute huyo mgoni wako.... haisaidii, deal with your wife, seek advice from elders and God and move on

Ila bado sikuelewi.... Kwanini ulianza tu na kuomba simu yake??
can aanyone just start asking for a phone ya mkewe au mumewe kweli jamani??

Unajua mazoea yanasaidia sana ndugu, niliomba simu baada ya kuona yuko bize na simu, kisha haiachi simu chini kila muda anayo... pia tulizoea hata kama tuko kitandani hua anaweka music pale bed na kid we2 anafurahi sana. ila safari hii ikawa tofauti sana....
 
mkuu pia vuzuri bandiko lake.......siku ya kwanza aliona mke anakaa na simu mkononi naanajificha yeye kama mtu mzima akajua kuna kitu hakiendi sawa....kesho yake wife katoka job na kufikia ndani ya blanket eti kajikwaa mguu na simu yuko nayo ndani ya blanket...huyu ni mtu mzima bana anajua anafanya nini ndo maana aliomba simu na hiki ni kitu cha kawaida tu.kama wife hanahofu na ni muwazi angetoa simu lakini sio kulalamika toka nje na uzime taa.......soma vizuri mkuu.....

nisaidieni ndugu, kuna watu wagumu kuelewa...
 
Hasa hasa angalia kama anajutia kitendo hicho. Huenda ni kweli hajawahi ku du nae, na kama anajutia hilo basi msamehe kwani hakuuna aliye mkamilifu kila mmoja ana mapungufu yake hata wewe labda una mapungufu yako, Muhimu sana ukisha msamehe muonye aache dharau yake kwani kitendo cha kuchat na huyo mtu wakati wewe umo ndani ni dharau sana, na umwambie ampe taarifa huyo mtu wake kuwa umegundua kila kitu ili hata yeye aache kufatilia wake za watu. Ndoa ni jambo zito sana ndio maana mnapokuwa mnafungishwa ndoa huulizwa mara kadhaa ili baadae usije jutia maamuzi. Maamuzi ya haraka hayafahi.
 
kizunguzungu kweli.. nashindwa kukushaurri.. coz ningekua mimi .. ningeshatoa talaka 7.. ila wewe jiangalie mwenyewe bana.. uskute alimisi tu "MPINI"... Kwani hajaonyesha bashasha la mahaba na wewe? kama hata hamu nawe hana.. jua kashapigika na kafurahia "MAIKI" ya ugenini.. Ila jaribu kumuomba mechi leo ... fanya kama vile umemsamehe.. afu ulete majibu hapa kama kakupa flavour kama za awali..
 
Umeisoma hiyo ya fimbo ya mbali? Ukishakuwa mbali jaribu kuwa mpole vinginevyo utashindwa kumaliza mazomo yako ndg yangu. Mshika mbili moja humponyoka. Ukimuaga kuwa unaenda chuo aga kweli kweli, hata wewe huko unayoyafanya kwa mabinti wa chuoni unayajua mwenyewe na huwezi kutuelezea. Omba mungu asinogewe! Ila kumzuia ni hakuna. Habari ndo hiyo.
 
hakuna ndoa hapo. ni bora muachane tu kama unapenda kuendelea kuishi. Fany maamuzi mazito kwa kutumia kichwa na sio moyo. Usipoachana naye atakuletea maradhi tu.
 
Jiulize swali hili:

Wewe umesha wahi ku cheat kama jibu ni YES kwa namna yeyote ile, then msamehe muanze upya, kama ni NO, achana nae kwani hutakuwa na amani maisha yako yote.
 
Hii kitu! hii kitu! Hii kitu hiiiiiiiiii! Wimbo wa john walker na kimweri. Naomba Mungu aninusuru na janga kama hili jamani loh. Hapa sasa naelewa kwa nini watu majuu wanagonga ndoa za mikataba,ukibreak one of the terms of contract na ndoa imeisha! Dunia hiiiii! Mababu zetu waliishi kwa raha sana.
 
Thanks ASHADII

Hivi inaingia akilini kweli mtu unaanza tu na "nipe simu yako"

yani yani yani kweli kabisa kweli kabisa yani yani yani yani kweli kweli kweli kabisa??

Ndugu najua unabeza, lakini wewe ni mwanaume, sikuombei ila utakutana nayo tu.....
 
Umeisoma hiyo ya fimbo ya mbali? Ukishakuwa mbali jaribu kuwa mpole vinginevyo utashindwa kumaliza mazomo yako ndg yangu. Mshika mbili moja humponyoka. Ukimuaga kuwa unaenda chuo aga kweli kweli, hata wewe huko unayoyafanya kwa mabinti wa chuoni unayajua mwenyewe na huwezi kutuelezea. Omba mungu asinogewe! Ila kumzuia ni hakuna. Habari ndo hiyo.
<br />
<br />
Amkekete ataacha kuwashwa washwa anapokuwa mbali. Hv unajua kwa nini wazee waliamua kuja na hii stail ya kupunguza kale kadude kaletako muwasho?
 
bado sijaamua ndugu, naumiza kichwa sana, yaani naumia sana, ndio maana nimeweka hapa mnishuri

POLE SANA NDG, NAAMINI HIYO NI NDOA YA KIKRISTO, ILA SIWEZI KUJUA WEWE UMESIMAMAJE KTK UKRISTO, ILA UNAPOCHUKUA MAAMUZI YAKO ZINGATIA MIONGONI MWA HAYA YAFUATAYO :-
1. JE WEWE HUJAWAHI ISALITI NDOA YAKO UKIWA DAR AU PENGINE POPOTE????
2. JE WEWE HUJAWAHI JIVINJARI NA MKE WA MTU YEYOTE HAPA DUNIANI?????
3. KAMA HUYO NI MKE WA UJANA WAKO NA UNA HOFU MBELE ZA MUNGU JE? UNAJUA UKIMWACHA YEYOTE MWINGINE UTAKAYE MWOA WAZINI???????
4.JE UNAJUA 7 x 70?? KAA NAYE MUULIZE KUWA WEWE UNAJUA SASA KUWA ANAKUTENDA VIBAYA JE? ANAKUPENDA WEWE AU HUYO MWENZAKO??? KAMA ANAKUPENDA WEWE AKUELEZE WAZI UHUSIANO WAO NA AWE TAYARI KUKUPELEKA WEWE NA POLISI KUMCHUKULIA HATUA ZA KISHERIA HUYO MWIZI.
5.MWOMBE MUNGU AKUPE NEEMA YA KUSAMEHE NA KUSAHAU, KUMBUKA WANAWAKE WENGI SANA NA WANAUME WENGI MNO WANASALITI NDOA ZAO KILA SIKU , TOFAUTI NA HUYO WAKWAKO NAONA KAMA ANA UPEO MDOGO ZAIDI WA KUFIKIRI WALA SIDHANI KAMA HATA ANAFIKIRI HATIMA YAKE, WENGI WALIAMINI WAPENZI WAO NI BORA KULIKO WAUME ZAO LAKINI MARA WATENGANAPO NA HUYO HAWARA NAE HUMRUKA.
6. INAHITAJI HOFU YA MUNGU KUMUDU YOTE HAYO, BILA HIYO UTAOA ,UTAACHA,UTAOA UTAACHA MIMI NAKWAMBIA NIKO OFISINI WALA SIONI MKE WA MTU AMBAYE AMESIMAMA, MMOJA KATI YA 20.

MUNGU AKUBARIKI
 
Pole kaka, ckuhzi uaminifu baina ya wapenz nimdogo sana. Pia lov distance ndio imemtesa sana, huyo mkeo ameshachakachuliwa chakufanya mkapime muendelee na maisha. Sina hakika kama nawewe huko daslam uko safe bila kimwana. Tofaut nikwamba umemgundua ila ajakugundua so inaweza ikawa ngoma droo kaka.
 
POLE SANA NDG, NAAMINI HIYO NI NDOA YA KIKRISTO, ILA SIWEZI KUJUA WEWE UMESIMAMAJE KTK UKRISTO, ILA UNAPOCHUKUA MAAMUZI YAKO ZINGATIA MIONGONI MWA HAYA YAFUATAYO :-
1. JE WEWE HUJAWAHI ISALITI NDOA YAKO UKIWA DAR AU PENGINE POPOTE????
2. JE WEWE HUJAWAHI JIVINJARI NA MKE WA MTU YEYOTE HAPA DUNIANI?????
3. KAMA HUYO NI MKE WA UJANA WAKO NA UNA HOFU MBELE ZA MUNGU JE? UNAJUA UKIMWACHA YEYOTE MWINGINE UTAKAYE MWOA WAZINI???????
4.JE UNAJUA 7 x 70?? KAA NAYE MUULIZE KUWA WEWE UNAJUA SASA KUWA ANAKUTENDA VIBAYA JE? ANAKUPENDA WEWE AU HUYO MWENZAKO??? KAMA ANAKUPENDA WEWE AKUELEZE WAZI UHUSIANO WAO NA AWE TAYARI KUKUPELEKA WEWE NA POLISI KUMCHUKULIA HATUA ZA KISHERIA HUYO MWIZI.
5.MWOMBE MUNGU AKUPE NEEMA YA KUSAMEHE NA KUSAHAU, KUMBUKA WANAWAKE WENGI SANA NA WANAUME WENGI MNO WANASALITI NDOA ZAO KILA SIKU , TOFAUTI NA HUYO WAKWAKO NAONA KAMA ANA UPEO MDOGO ZAIDI WA KUFIKIRI WALA SIDHANI KAMA HATA ANAFIKIRI HATIMA YAKE, WENGI WALIAMINI WAPENZI WAO NI BORA KULIKO WAUME ZAO LAKINI MARA WATENGANAPO NA HUYO HAWARA NAE HUMRUKA.
6. INAHITAJI HOFU YA MUNGU KUMUDU YOTE HAYO, BILA HIYO UTAOA ,UTAACHA,UTAOA UTAACHA MIMI NAKWAMBIA NIKO OFISINI WALA SIONI MKE WA MTU AMBAYE AMESIMAMA, MMOJA KATI YA 20.

MUNGU AKUBARIKI

Hiyo ndoa ni ya Kiislam, sina kimwana
 
Jiulize swali hili:

Wewe umesha wahi ku cheat kama jibu ni YES kwa namna yeyote ile, then msamehe muanze upya, kama ni NO, achana nae kwani hutakuwa na amani maisha yako yote.

Well said. Na fumanizi lenyewe la kwenye text messages. Na kwa maelezo yake, yaelekea mkewe anajifunza ku cheat. Mwanamke mzoefu wa ku cheat angeongeza mapenzi maradufu na asingeonyesha kiburi wala mabadiliko yoyote. Ila kwa kuwa huyo wa kwake anajifunza, ndio maana hata kakamatwa kirahisi!

Anyway, we dont know her side of the story, pengine analipiza kisasi ndio maana ame cheat na amehakikisha mumewe amejua ili naye kimuume! La sivyo ange cheat kwa siri sana na wala mumewe asingejua.
 
huyo mwanamke amekuchoka,na anakudharau.ku cheat a cheat na ujeuri juu.kwenda kwako kwa muda mfupi bado akaendelea na mchezo wake,ina maana wewe kuwepo nyumbani kwake ni kero.ukiendelea kuwa mbali na yeye ndio atajinafasi zaidi.nakuonea huruma,ila uamuzi unao mwenyewe.
 
Mkuu Umesahau waenga walisema "LANKALI FITAHI TWAMOMBO LAKARI" YANI FIMBO YA MBALI AIUI NYOKA
 
Hivi ni wangapi ambao huwa wanachitiwa bila ya wao kujua au wala kuwa hata na fununu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom