Mke wangu ameenda hedhi kwa siku tisa. Je, ni shida?

Hivi kwanini watu kama nyie mnaruhusiwa kuow seriously..

Shabby and stupid..

Sasa anatoka dam ni issue ya kuleta public...
Kwenye life yako ulishawahi sikia kitu kinaitwa infections and hormonal imbalances au unakaa kama ngedere kusubiria updates za Simba na Yanga...
 
( infections and hormonal imbalances). Sasa mm nauliza nipate kujua, ningejua nisinge uliza. Sijawai kukutana na hali kama hii, sijawai ndomana nmeuliza
 
Tulia na mke wako nenda hospital, social media hazina msaada wowote zaidi ya kukutana na mambo ya kukupotezea muda.
Sawa boss, ila asilimia kubwa ya vitu najifunza humu ndomana nauliza, siku hizi utandawazi akuna siri kama zamani, mimi natumia social media kwa ajili ya kujifunza vitu maana nakutana na watu tofauti.

Ila asante kwa ushauri wako. infections and hormonal imbalances ndo nmejua leo nipo youtube hapa najifunza zaidi
 
Hivi kwanini watu kama nyie mnaruhusiwa kuow seriously..

Shabby and stupid..

Sasa anatoka dam ni issue ya kuleta public...
Kwenye life yako ulishawahi sikia kitu kinaitwa infections and hormonal imbalances au unakaa kama ngedere kusubiria updates za Simba na Yanga...

Ila JF bhana

Sasa jukwaa la afya linatakiwa kuwa na usiri gani?mleta mada ametumia jukwaa vile linatakiwa kutumika

Hajataja jina la mke wake wala hajaweka picha yake
 
Kwahyo mkeo anatoka damu unasubiri ushauriwe hapa kwann usichukue hatua ya kumpeleka hospitali mkajua nn chanzo na tatizo na utatuzi pia. Kuna sehemu kwenye malezi wazazi walifeli hasa kumfundisha mtu kuwa mwanaume
 
Nishampeleka,
 
Tulia na mke wako nenda hospital, social media hazina msaada wowote zaidi ya kukutana na mambo ya kukupotezea muda.
Kuuliza sio ujinga.

Kuna mengi watu wanajifunza kupitia changamoto za wengine.

Sioni kama amekosea kuuliza.

Pia anaweza kupata majibu ya watu waliowahi kupitia shida kama hizo.

Ushauri wa kwenda hospitali ni mzuri, lakini sio kinga ya kuzuia watu kujisemea changamoto zao au wanaowazunguka.
 
Poleni sana hiyo inaweza kusababishwa na tatizo la hormonal imbalance..angalia kama anatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango kama sindano,njiti,matumizi ya vidonge vya dharula (p2)..kama jibu ni ndio basi amuone doctor ili aangaliwe ni hormone zipi zimezidi ili ziweze kurekebishwa
 
Ni ajabu sana kuona mtu anaulizia kitu halafu mtu anamtukana
Sio Kila mara ukipata tatizo utaenda hospital,Kuna vitu vingine unajifunza kutoka kwa wengine!
Kuna wanawake humu ndani,wangeweza kumjibu kwa kutumia experience Yao pia Kuna wataalamu wa afya, wangemjibu kisomi zaidi
Mm Huwa nadhan,ukiona hauna jibu, ni heri ukatulia wanaofahamu wakajibu
Dunia ipo kidigitali zaidi, watu wanajufunza kupitia social networks
 
Back
Top Bottom