Mke wa Rais Mwinyi anasimamia ofisi gani Zanzibari?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,016
8,375
Leo katika pita pita, yangu nimeona andiko linaro muusu mke wa Rais wa Zanzibari ndugu Ally Hassan Mwinyi, akiwaaidi vijana kuwa anawaunga mkono, na kuwataka wasisite kwenda ofisini kwake kuiripoti matukio Ya uzalilishwaji wa akina mama na watoto yanayoendelea Zanzibari.

Je anasimamia Ofisi gani? Ningejua mapema ningemwadisia hadithi moja mbaya ambayo inaonesha kwa Nini matukio ya ufilaji na ufilwaji kwa Nini yanaongezeka nchini Zanzibari nijulishe I nijue nimpelekee hadithi hii.
 
Back
Top Bottom