Mke wa rafiki yangu anataka mtoto wao aitwe Lowassa

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Jamaa yangu amepata mtoto wa kiume jana.

Hivi sasa wapo kwenye malumbano makali ambapo mme anataka amuite mtoto wao jina la baba yake (jina la babu wa mtoto) lakini mke hataki anasema mtoto aitwe Lowassa.

Wakakubaliana wampe mtoto majina yote mawili lakini mke kasema jina la Lowassa ndio litatumika katika vitambulisho vyote na darasani lakini hilo jina jingine litatumika nyumbani tu lakini jamaa kagoma kabisa.

Mpaka muda huu hawajafika mwafaka, sijui kama hatapigwa mtu leo.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
 
Wampe Tu Mbona Watu Wanaitwa Obama, Bush, Ronardo, Zidane Nk, Na Hilo Limepita Maana Mtoto Anashinda Na Mama Mda Wote Watu Wakiuliza Jina Ni Lowasa, Unaitwa Mama Nani Mama Lowasa, Watu Wameitwa Idiamini, Wameitwa Gadafi, Wameitwa Nyeree Nini Lowasa?
 
Kumuita mtoto LOWASSA ni baraka na ni kumtabiria Uongozi bora na Atapendwa na watu wa dini,taasisi na rika zote. Ila tu atasingiziwa mengi kama kuitwa fisadi ila mwishoni atayashinda yote hayo.
 
Lowasa ni ukoo,
sawa na kumwita Nyerere;
au Moshi,
au Mwaigomole
........................................

Angemwita Edward labda.
 
Ampe tu jina la lowassa bila kuficha maana huo ndo mkombozi wa taifaka kutoka kwa wakoloni weusi ccm
 
Jamaa yangu amepata mtoto wa kiume jana.

Hivi sasa wapo kwenye malumbano makali ambapo mme anataka amuite mtoto wao jina la baba yake (jina la babu wa mtoto) lakini mke hataki anasema mtoto aitwe Lowassa.

Wakakubaliana wampe mtoto majina yote mawili lakini mke kasema jina la Lowassa ndio litatumika katika vitambulisho vyote na darasani lakini hilo jina jingine litatumika nyumbani tu lakini jamaa kagoma kabisa.

Mpaka muda huu hawajafika mwafaka, sijui kama hatapigwa mtu leo.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Yaani mihemko yao ya kisiasa ndio wanataka kuipeleka kwa mtoto.? Waambie huyo wanayemhemkia haitwi lowasa anaitwa edward
 
huyo rafiki yako hana chak,lowassa ndo baba wa huyo mtoto! huyo mama anatakiwa aseme ukweli tu!!
 
Safi sana,namsapoti huyo mama na katoto kangekua ka kike ingependeza kaitwe Regina maana katakuja kua first lady
 
Back
Top Bottom