Mke wa rafiki yangu anataka kutembea na mimi ili kulipa kisasi...

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,115
27,104
Hii nimesimuliwa na ndugu yangu, hebu msikilize mwenyewe :

Nilifahamiana na mke wangu tangu tulipokuwa tunasoma chuo kikuu, tulianza kama marafiki baadaye tukafunga baada ya kumaliza chuo na kupata kazi. Sasa kuna huyu jamaa ambaye ni rafiki yangu tangu tupo chuo na anafahamu uhusiano wangu na mke wangu tangu tunasoma, na infact yeye ndiye aliyekuwa bestman wangu.

Mwaka mmoja baada ya mimi kufunga ndoa , best man wangu nayeye akafunga ndoa, halafu akaja kuishi jirani kabisa na nilpokuwa naishi mimi, yeye alikuwa amejiajiri mwenyewe.. Mpaka wakati wote huo sikushtukia kama mke wangu na yule rafiki yangu walikuwa wanatoka....

Miaka miwili baadaye nikapangiwa Iringa kikazi, yule rafiki yangu na mke wake nao wakahamia Iringa tena palepale tulipokuwa tunaishi sisi, ( Rafiki yangu a likuwa anatoa kisingizio cha urafiki wetu mimi na yeye ambao kwa kweli tulikuwa kama ndugu ), tukaa pale Iringa kwa mwaka mmoja, nikapewa transfer na kuhamia Tabora, muda mfupi baadaye rafiki yangu na yeye akahamia Tabora, Sikukaa sana tabora miezi tisa baadaye nikarejeshwa makao makuu Dar es salaam, rafiki yangu na yeye akahamia tena Dar es salaam. ( Kwa muda wote huo sikuwa nimehisi chochote kati ya mke wangu na huyo rafiki yangu ) hadi wiki mbili zilizo pita shemeji yangu ( yani mke wa rafiki yangu ) aliponikalisha chini na kuniambia mchezo mzima, akaniambia yeye alishtukia tangu muda mrefu na muda wote huo alikuwa anamvumilia mumewe mpaka uvumlivu ulipo mshinda, so kwa kuwa imemuuma sana, kaamua kuja kunifuata ili na sisi tufanye kweli ili kulipa kisasi ) .

Maneno ya shemeji yangu yaliniumiza sana moyo na ni kama yalinizindua kutoka usingizini coz mambo mengi nilikuwa siyaoni kwa sababu nilikuwa namuamini sana mke wangu na nisingetegemea kama angefanya uchafu kama huo. Shemeji yangu aliniambia mambo mengi sana ambayo nikiya connect napata picha kamili, hapa nilipo nimechanganyikiwa sijui nimfanye nini huyu mke wangu ama nichukue uamuzi gani?...
...Mimi kama LIKUD nilimpa ushauri wangu, but na nyinyi wana JF mnaweza toa mawazo yenu, nitakayo ona yanamfaa jamaa ninaweza yaongeza kwa ajili ya kumshauri zaidi.
 
Hii style ya kuhama imeniacha hoi,ila hapo hata akitembea na huyo mwanamke bado haitasaidia,dawa ni kuweka mtego ili wawanase bada ya hapo ndiyo kitajulikana cha kufanya
 
kwa sasa hawezi kufanya maamuzi ya busara kwa sababu anaamini kwenye hearsay,cha msingi waungane na shemeji yake watengeneze mtego wa kunasiana ili kupata ushahidi tosha mambo yakitiki unatwanga talaka au unaomba adultery compensation.
 
Kutembea na mtu kulipa kisasi hakuna hata raha! Ukute Mkeo Viwngo vya FIFA afu huyo mke wa rafiki yako viwango vya kombe la Mbuzi! Akhaaaaaaaaa! Mwenzio bado kafaidi! Hadi mtu kahama mikoa yote hiyo itakuwa mkeo Mtamu Sanaaaa!!!!

Dawa ni moja tu, Kuwaambia umejua na umemsamehe for now ila ajirekebishe, bila hivo asikulaumu maamuzi yako! Wala usimfanyie vagi bin varangati lolote! We ongea nae kwa upole tu! Asipojirekebisha mpeleke kwa rafiki yako mwambie nimekuachia! Huyu hapa kaa nae!

Ila nakushauri ufanye PARTENITY TEST ASAP!!!! Ukute baadhi ya wanao ni wa huyo rafiki yako!

NIKIWAZA HUU UPUUZI BADO NIPO NIPO SANAAAAA!
 
Kama utakuwa rafiki wa hovyo utatembea naye. Kama u juha atakutumia kulipiza kisasi na kukuweka kwenye hali mbaya na huyo rafiki yako. Acha tamaa na visingizio. Wewe ndiyo unayemtaka. Vinginevyo ungempa onyo ambalo lingemfanya akuogope hadi siku ya kuingia kaburini. Ukitembea naye jua na wako watatembea naye wengine tena ambao hukuwategemea. Kabla ya kuamua jiulize rafiki yako angemtaka mkeo ili kulipiza kisasi ungejisikiaje?
Hii nimesimuliwa na ndugu yangu, hebu msikilize mwenyewe :

...Mimi kama LIKUD nilimpa ushauri wangu, but na nyinyi wana JF mnaweza toa mawazo yenu, nitakayo ona yanamfaa jamaa ninaweza yaongeza kwa ajili ya kumshauri zaidi.
 
Ni rahisi sana jambo hilo, kuna jamaa alikuwa anatabia ya kutembea na wake za watu sana. Siku moja akatembea na mke wa jamaa mmoja. Mke wa yule jamaa akajua aye akamfuata mume wa mke wa jamaa anayetembea na mume wake. Baada ya kumthibitishia pasipo mashaka kuwa jamaa mke wake anavunja amri ya sita na mumewe naye anamshauri wasihangaike nao wavunje amri ya sita kujipooza!!!

Wakakubaliana na wakaanja kuibanjua amri ya sita ya Muumba mpaka wale wagoni walipogundua. Baada ya kugundua kila mmoja alimuwashia moto mkewe wake ikabidi waitishe kikao na kuazimia kila mmoja amuache mke wa mwenzake na ikapita na mpaka leo ni heshima mtindo mmoja.

Kama jamaa atakataa kutembea na mke wa huyo jamaa atakuwa katika msongo mkubwa sana na ndiyo kama yale ya stori ya MziziMkavu mke wangu alinifundisha uchawi yatajiri.

Ale mke wa huyo jamaa bila kuchelewa kabisa ndiyo atapaa ahueni, mke anauma na dawa ya moto ni moto tu.
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu ni ngumu sana na ndio maana watu wanaweka mpaka matego unatakiwa utafute watu waadilifu baada ya kumfumania wasiopungua watano sasa mm najiuliza hawa watu waadilifu utawatoa wapi muda huo ni bora uweke tego watu wasio na walio waadilifu watashuhudia kesi iishie hapo .
 
Kutembea na mtu kulipa kisasi hakuna hata raha! Ukute Mkeo Viwngo vya FIFA afu huyo mke wa rafiki yako viwango vya kombe la Mbuzi! Akhaaaaaaaaa! Mwenzio bado kafaidi! Hadi mtu kahama mikoa yote hiyo itakuwa mkeo Mtamu Sanaaaa!!!!

Dawa ni moja tu, Kuwaambia umejua na umemsamehe for now ila ajirekebishe, bila hivo asikulaumu maamuzi yako! Wala usimfanyie vagi bin varangati lolote! We ongea nae kwa upole tu! Asipojirekebisha mpeleke kwa rafiki yako mwambie nimekuachia! Huyu hapa kaa nae!

Ila nakushauri ufanye PARTENITY TEST ASAP!!!! Ukute baadhi ya wanao ni wa huyo rafiki yako!

NIKIWAZA HUU UPUUZI BADO NIPO NIPO SANAAAAA!

Kama mke wa jamaa siyo Bundesiliga yaani ni kama ligi ya Vodacoma pasi apange mpango wa kumfumania jamaa kisha amfanyie umafia wa kumla kiboga mbele ya mke wake ili kumdhalilisha jamaa vinginevyo mpige chini huyo mke wake bila huruma ili ajue machungu ya kuasi ndoa.
 
Hakuna haja ya kulipiza kisasi maadamu kajua ukweli afanye mpango tu wa kumuweka sawa mkewe.
 
Kuujua ukweli na kuukabili ni jawabu kwenye hili tatizo...huyu mwenye mke kujua kuwa mkewe anatoka na rafiki yake ni hatua moja kuelekea kufanya maamuzi sahihi...Huyu mwenye mke ayaweke wazi akitumia ushahidi wa mke wa rafiki yake..awaite wasaliti na awape makavu live....talaka inaweza ikahusika kama uchafu umefanywa kwa muda mrefu..sishauri mambo ya kukomeshana as mke wa mshkaji anavyotaka (kubanjuana) iwe cuz two wrongs will never make it right...........
 
Mkuu SnowBall Umezungumza point lakini WaSwahili husema (Kila Akuanzae mmalize kabisa) na Wapemba wanasema (Mla kuku wa Mwenzie Miguu humuelekea...) au (Mkuki kwa Nguruwe.... Kwa binadamu ni Mchungu) kwa ushauri wangu na hao wawili lazima walipize kisasi ndio ndoa hizo mbili zitadumu.@LIKUD
 
maneno yako yamenichekesha.ingawa kwa upande wangu mambo ya kulipiza kisasi kwa njia ya ngono sikubaliani nayo.bora kila mtu aanze maisha kivyake,maana huyo rafiki kamla uroda miaka mingi.jee hapo kuna uwezekano wa kuacha?sifikirii,labda kupeana breki ya muda baadae mchezo utaendelea tu
 
Kuujua ukweli na kuukabili ni jawabu kwenye hili tatizo...huyu mwenye mke kujua kuwa mkewe anatoka na rafiki yake ni hatua moja kuelekea kufanya maamuzi sahihi...Huyu mwenye mke ayaweke wazi akitumia ushahidi wa mke wa rafiki yake..awaite wasaliti na awape makavu live....talaka inaweza ikahusika kama uchafu umefanywa kwa muda mrefu..sishauri mambo ya kukomeshana as mke wa mshkaji anavyotaka (kubanjuana) iwe cuz two wrongs will never make it right...........

Kammege mkewe hasolve tatizo lkn inarudisha hadhi ya kiume baana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
dawa ya moto moto..tena mle vilivyo kabisa, yaani mpe asije akakusahau..mpe mpaka mme wake aone kabadilika. Mle vizuri 100%..

Revenge is a dish best served cold..yaani mpe kwa hasira zote toa, tena na hata video record na mwambie aiche sebureni kwa makusudi mume wake aione, ajifanye kama haijui..mwambie amuumize roho..matter of fact, mwambie apewe na wawili kwa mpigo, chukua kijamaa hapo mtaani na mshughulikieni, moja mbele mwengine nyuma kwa mpigo na record kwa video..muoneshe uchafu maana na yeye kakuonesha uchafu wa hali ya juu..yaani hadi mikoa yote hiyo kakufuata!? duh..
 
Thibitisha...halafu mwachie jamaa huyo mkeo.....
Well.....kama mke wa jamaa anakuvutia punguza machungu
 
Yan kwa jinsi alivomfanya ----- mda wote huo aiseeeeeeeeee asimwache hivi mana jamaa keshanogewa na kuwa addicted kbs duuh

Pls pls awalie timing huku akiwa amewaandaa vijana wa kazi wamkanyage huyo jamaa kisawa sawa huku akiurecord mchezo mzima alf amwoneshe ili awe aware kbs anayo recorded so akijua tu kamsogelea mkewe atauweka kwa media in that way lzm aogope na pia the whole thing itamfanya hata huyo mkewe asimtake tena kwa7bu ya alichofanyiwa

Mkewe asimtaliki ng'oo cz jamaa atamnyakua ka mwewe mwenye njaa aonapo kifaranga cha kuku wa kienyeji utam wake hadi kwny mifupaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom