Mke wa mtu

mimi nina imani kila binadamu anajua kipi kizuri na kibaya na iwapo binadamu anatenda uovu lazima baadaye moyo unasmsuta kwa kile alichokufanya kwani kila binadamu kapewa uwezo wa kup[ambanua mema na mabaya. sasa nirudi katika mada yako, mimi najua wewe wajua kuwa mke wa mtu sumu na ni hatari kujiusisha naye kimapenzi. nadhani hakuna ushauri zaidi utakao kufaa zaidi ya wewe kuendelea kuwa mbali naye kama unavyofanya. akiendelea zaidi mtolee uvivu umpe ukweli na umwoneshe msimamo uliyo dhahiri lakini hiyo email na sms zake tafta jinsi ya kuzihifadhi kama ushahidi kwani anaweza kukugeusia kibao akiona ya kwamba unaweza mwambia mumewe akakuwahi kwamba we ndiye unayemtongoza kama mdefensive mechanism kwani hata mimi ilishawahi tokea mpenzi wa rafiki yangu akawa ananitaka nilipo mtolea uvivu na kumwambia siwezi kuwa naye kaenda kwa rafiki yangu na kumwambia kuwa mimi ninamtaka na kanikataa lakini hakujua kuwa sms zake nilikuwa nazihifadhi na ndizo zilizo nisaidia kumdhibitishia ukweli rafiki yangu.
 
...endelea hivyo hivyo,kama haelewi somo mwambie mume wake,na email mtumie kabisa!!
 
Mimi niko nje ya nyumbani(TZ) niko ugenini, kazini kwangu kuna dada wa miaka kati ya 24-30 ni mfanyakazi mwenzangu na ni mke wa mfanyakazi mwenzetu, ananitaka kwa nguvu ametumia email ameona kimya sasahivi amehamia kunitafuta kwa simu mimi sipokei wala kujibu ujumbe , naombeni ushauri maana ni kero kwangu, je nimweleze mumewe?

  • unataka kumwambiaje mumewe?
  • kwanini usimwambie mwenyewe huyo mdada humtaki?
  • tahadhari, nyie wote watatu mnafanya kazi pamoja.
 
kama ni wachina,muambie tu mumewe halafu mjadili the way forward. ama umsemelezee kwa hr. hamna dawati la jinsia uwaambie umefanyiwa sexual harrassment?
 
Utafurahia sana penzi la mke wa mtu, lakini siku ukikamtwa ujue hakutakuwa na tofauti kati ya yatakayokutokea na yale yaliyokuwa yakitokea sodoma na gomora. watu wamepinda hasa katika wake zao mkuu!
 
Wewe ni bosi au unalipwa vizuri zaidi yake+mume wake, hivyo hilo ni chezo unatka kufanyiziwa. Mbaya zaidi wewe ni mgeni hapo kitaa, so jicheki na mambo ya blackmail.

Maisha magumu sana kwa sasa, inflation iko kwenye 30%+ wakati serikali inasema ni 14.1%.
 
Inayoonekana "Mwili wako unahitaji lakini moyo unasita" Simama kidete. Usfanye hilo kosa, wakati mwingine huo unaweza kuwa mtego amekuwekea

Be careful!
 
mke wa mtu SUMU...mwambie akuache kukusumbua au utamweleza mmewe..huyo dada kicheche kweli!anataka tu mandingo na sio uhusiano!
 
Wewe ni bosi au unalipwa vizuri zaidi yake+mume wake, hivyo hilo ni chezo unatka kufanyiziwa. Mbaya zaidi wewe ni mgeni hapo kitaa, so jicheki na mambo ya blackmail.

Maisha magumu sana kwa sasa, inflation iko kwenye 30%+ wakati serikali inasema ni 14.1%.

mimi ni bosi kwao niko kama expert hapa na ni nafasi nono sitaki kabisa kufanya any mistake nirudishwe nyumbani
 
Mhhh mpotezee tu mkuu, maana ukikamatwa ni hatari. Pia kumbuka ni mchezo huo ni mbaya machoni pa binadamu na Mungu pia. Kuwa Muungwana kama unavyoonyesha kwa kuendelea kuwa na msimamo thabiti ....
Kataa na umaanishe, atachoka na kuacha kukusumbua.
 
Hebu tuambie upo nchi gani, maana wanawake pia wanajibiwa kulingana na mila na desturi zao........hebu funguka kidogo, alianza lini hako kamchezo cha kukutaka.... na alianzaje?
 
Hebu tuambie upo nchi gani, maana wanawake pia wanajibiwa kulingana na mila na desturi zao........hebu funguka kidogo, alianza lini hako kamchezo cha kukutaka.... na alianzaje?
Niko nchi moja iko South America, huyu dada na mumewe wabrazil
 
Kanyaga tu mpige mtalimbo sawasawa,mpe ladha za kibongo,matoto ya kibrazil nayajua ni mazurisana tafuta zigo kaka.
 
Mimi niko nje ya nyumbani(TZ) niko ugenini, kazini kwangu kuna dada wa miaka kati ya 24-30 ni mfanyakazi mwenzangu na ni mke wa mfanyakazi mwenzetu, ananitaka kwa nguvu ametumia email ameona kimya sasahivi amehamia kunitafuta kwa simu mimi sipokei wala kujibu ujumbe , naombeni ushauri maana ni kero kwangu, je nimweleze mumewe?

Hebu nisaidie hapa: Huyu dada humtaki kwa sababu humtaki au kwa sababu yeye ni 'mke wa mtu'?
 
kaka mm issue kama hiyo iliwahi nitokea km wk 3 hiv zilizopita nikaimwaga hapa jamvin, nilipata wachangiaji km 47, 41 waliniambia niache kabisa huo mchezo coz waweza kimbia mji hivi hivi, kabla ya hapo nilishakata shauri nipe doz ili aniheshimu, ila nilibadili wawazo kutokana na ushauri wa wana jf.Ila usijejaribu kumwambia mumewe coz utaleta tafran ya ajabu na mwisho wa siku itaonekana ww ndie uliemtokea ukizingatia kuwa ww ni boss kila mtu ataamin unatumia cheo chako vobaya kurubuni wake za watu.WW kaza but km nilivyofanya mm, punguza kufanya utani nae, jafanya sriaz sana hasa pale mnapokuwa mpo wawili tu, alafu ukiwa kwenye kundi la watu unarelax (ukiwa nae jifanye ww sura mbuzi) mwisha wa siku atakata tamaa.KK asikudanganye m2 mke wa mtu nomaaaaaaaaaa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom