Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts

Si ndo nashangaa; kuna watu kwenye uzi wa nyumba ndogo hawakuchangia; nimekuja ku conclude kuwa waliona sawa maana humu wamekuja na mbio zote kisa wanawake kuwa cheaters.

Hivi wanaume wakifanya infii hakuna abomination eeh? Amri ya usizini ni feminine tu? Unasoma kitabu gani?
 
Bishanga,weeh tulia. Tutajifunza the hard way. Uhitaji ni chachu ya ufumbuzi. Niliwahi kuona mtu mchakachuaji karudi home kakuta mkewe mjamzito.jamaa aliacha na kazi coz he was working mbali. Alilea mwanae wa kambo kwa upole,mke kumuacha ngumu banaa.

tatizo uzi ushachukua mwelekeo wa uzi wa The Boss na RRoulette,too sad,i don''t understand why,i thought we learnt our lessons kwenye zile nyuzi.
 
Just before I log out: This thread is encouraging a bad behavior. Sioni kuna ujanja gani kupeana shauri of how to cheat efficiently, iwe kwa mwanaume au kwa mwanamke. I am married, I don't cheat and I don't need these advises. give me advises on how to improve my relation with my man and mtaniona nachangia.
Kwanza HONGERA SANA RR!
Pili, siku moja cheaters waseme hapa kwa nini wanacheat. Zikisha kueleweka sababu zao, pros and conts, itakuwa funzo la ziada kwa non-cheaters kwao kujiepusha wasicheat.
 
Na ulishawahi kujiuliza kama hizo small house zinakua ni wanawake single ama ni wake na magf wa wanaume wengine? Hypocricy of high class
Si ndo nashangaa; kuna watu kwenye uzi wa nyumba ndogo hawakuchangia; nimekuja ku conclude kuwa waliona sawa maana humu wamekuja na mbio zote kisa wanawake kuwa cheaters.
 
Si ndo nashangaa; kuna watu kwenye uzi wa nyumba ndogo hawakuchangia; nimekuja ku conclude kuwa waliona sawa maana humu wamekuja na mbio zote kisa wanawake kuwa cheaters.
what is good for the gander should also be good for the goose
 
Mimi nafikiri jinsi ilivyowekwa si sahihi. Ingawa ni hali halisi kwa sasa kuwa wanawake nao wanacheat lakini si jambo la kushabikia kwa kutoa guide ya namna ya kufanya hivyo ndio maana watu wamekuja juu. Hii haimaanishi kuwa kwa wanaume kucheat au kuwa na nyumba ndogo ni ruhsa but ni kitu kishichoshangaza sana kwani hata kwenye vitabu vya dini hatujawahionyeshwa mwanamke aloolewa au anayetembea na wanaume zaidi ya mumewe. So tunachukulia ni taboo kutoa hizi guide.

Pengine mtoa mada angeiadress kama habari taarifa....kuwa wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao huzingatia haya yafuatayo (na kuziorodhesha hizo zilizowekwa hapo) kisha wenye ujuzi zaidi wangetoa nyinginezo mf.

Huhakikisha kuwa mumewe na hawara hawakutani au huhakikisha habebi mimba n.k

Lakini kuiweka kama kufundisha kidogo naona kama itachanganya wachangiaji. (Ni mtazamo wangu lakini)
 
Bishanga,weeh tulia. Tutajifunza the hard way. Uhitaji ni chachu ya ufumbuzi. Niliwahi kuona mtu mchakachuaji karudi home kakuta mkewe mjamzito.jamaa aliacha na kazi coz he was working mbali. Alilea mwanae wa kambo kwa upole,mke kumuacha ngumu banaa.

kwa hiyo jamaa akawa mdogo.
Ndo mana mimi nasema tuangalie real world inazungukaje,tuache mambo ya kusadikika,hali halisi ni kwamba kwenye ndoa kuna lots of cheating,period.
 
Wifi sina mbavu hapa,hehehehe! Hapo kwenye hit and run itakua ngumu banaa,kumvulia nguo kila mtu mtihani atii!hapo kwenye point ya mwisho na means ya kuonana usafiri uwe either ndege ama private car drive (tulishakubaliana baby walker aka vitz haihesabiwi kama gari kwenye infiii)
Kwa kuongezea.....

  • Hakikisha ni "hit and run"
  • Hakikisha possibility ya kukutana na hubby ni minimal
  • Hakikisha kua at first glance amzidi mumeo...
  • Kama ni kwa ajili ya Mpunga... Then hakuna wasi wasi hapa....
  • Kama ndo umevutiwa ji-commit on the condition kua mko mbali kuonana mpaka iwa cost... Hio ina monitor nidhamu.
 
Mimi nafikiri jinsi ilivyowekwa si sahihi. Ingawa ni hali halisi kwa sasa kuwa wanawake nao wanacheat lakini si jambo la kushabikia kwa kutoa guide ya namna ya kufanya hivyo ndio maana watu wamekuja juu. Hii haimaanishi kuwa kwa wanaume kucheat au kuwa na nyumba ndogo ni ruhsa but ni kitu kishichoshangaza sana kwani hata kwenye vitabu vya dini hatujawahionyeshwa mwanamke aloolewa au anayetembea na wanaume zaidi ya mumewe. So tunachukulia ni taboo kutoa hizi guide.

Pengine mtoa mada angeiadress kama habari taarifa....kuwa wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao huzingatia haya yafuatayo (na kuziorodhesha hizo zilizowekwa hapo) kisha wenye ujuzi zaidi wangetoa nyinginezo mf.

Huhakikisha kuwa mumewe na hawara hawakutani au huhakikisha habebi mimba n.k

Lakini kuiweka kama kufundisha kidogo naona kama itachanganya wachangiaji. (Ni mtazamo wangu lakini)

MJ1 give me break please,yaani unashabikia mfumo dume,yaani mzee awe na nyumba ndogo ni 'ruksa' lakini mke kutembea nje ni 'taboo' (according to your post).
Tafadhali MJ1,hebu liangalie hili mara mbili mbili,ni sawa kweli?please dia.
 
Bibie,leo namuacha nyani wa ngabu aseme nawe. Unajua maana ya yesu kuwaambia wale jamaa aliye msafi awe wa kwanza kutupa jiwe? Haya mambo yanaendelea kwa vile tunayakubali na kukaa nyuma ya pazia.

Nakuomba uelewe kwamba kama wewe hu-cheat, basi tambua kwamba utakuwa una-cheatwa tena kwa sana tu.
Vitabu vimesema, "mzinifu atamuoa/ataolewa na mzinifu mwenzake". Cheaters (wazinifu) wanajuana na kuvumiliana.
Kama anecdote tu, ninakumbuka katika riwaya moja, bwana na bibi wanaenda kuzini, wakirejea waningia chooni kukoga, kubwa watakumbushana tu, "Usimalize maji yote, nibakishie na mimi".
Kama wewe hucheat na umegundua kuwa umecheatiwa nadhani unajua la kufanya.
 
MJ1 give me break please,yaani unashabikia mfumo dume,yaani mzee awe na nyumba ndogo ni 'ruksa' lakini mke kutembea nje ni 'taboo' (according to your post).
Tafadhali MJ1,hebu liangalie hili mara mbili mbili,ni sawa kweli?please dia.
Bishanga ninaomba unisome upya unielewe tafadhali. Hakuna sehemu nilosema kuwa mwanaume kuwa na nyumba ndogo ni ruhsa! Ninesema si jambo la kushangaza na kwa mwanamke huo huo mfume unawafanya wanaoyafanya wasikubali kuwa wanafanya hata behind the screen!

Ndio maana nikasema ni namna ilivyowekwa (na mwisho nikasema ni mtazamo wangu)

Please Bishanga usinihukumu.
 
Bibie,leo namuacha nyani wa ngabu aseme nawe. Unajua maana ya yesu kuwaambia wale jamaa aliye msafi awe wa kwanza kutupa jiwe? Haya mambo yanaendelea kwa vile tunayakubali na kukaa nyuma ya pazia.
Mamito, nakubaliana na nyie ndio maana nikasema ni mtizamo wangu tu.
NIMEKOMA
 
Vitabu vimesema, "mzinifu atamuoa/ataolewa na mzinifu mwenzake". Cheaters (wazinifu) wanajuana na kuvumiliana.
Kama anecdote tu, ninakumbuka katika riwaya moja, bwana na bibi wanaenda kuzini, wakirejea waningia chooni kukoga, kubwa watakumbushana tu, "Usimalize maji yote, nibakishie na mimi".
Kama wewe hucheat na umegundua kuwa umecheatiwa nadhani unajua la kufanya.
kwa lugha nyingine kama mwanamke anacheat automatically na mme anacheat kwa sababu,according to you,mzinzi anaolewa na mzinzi?
 
Bishanga ninaomba unisome upya unielewe tafadhali.
Hakuna sehemu nilosema kuwa mwanaume kuwa na nyumba ndogo ni ruhsa! Ninesema si jambo la kushangaza na kwa mwanamke huo huo mfume unawafanya wanaoyafanya wasikubali kuwa wanafanya hata behind the screen!

Ndio maana nikasema ni namna ilivyowekwa (na mwisho nikasema ni mtazamo wangu)

Please Bishanga usinihukumu.

sasa nakuelewa,na ndio maana kwenye uzi huu so far hatujampata wa kujilipua kama Serafina na Darlingtone pamoja na kwamba kuna wake za watu humu mmu na surely si wote waaminifu kwenye ndoa zao.
 
14.kama mmekutana Facebook ujue hakuna siri manake wanaume sisi tunaambiana jinsi wanawake wa Fb walivyo cheap

15. Usimuazime hawara gari lako hiyo ni dharau mbaya sana

16. mumeo asipokuepo usithubutu kumpa mwanao simu eti ongea na Uncle mara nyingne watoto hutibua dili...

Mwisho za mwizi siku hizi zimeshuka wala hata sio 40 ujue ipo siku utambambwa na utabambika na hapo utajua uzinzi mtamu na mchungu...

Naenda shamba

Hapo mwisho nimepapenda sana.
 
Back
Top Bottom