Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts

JF bana, hapa tutakuja kufundishana mpaka jinsi ya kuwa "mashoga" then watu wasijue!
Zanta,naona tunachanganyana hapa,hakuna anaye'mfundisha'mtu kutoka nje,hapa tunaongelea situation ambayo mtu kishakata shauri kutembea nje ya ndoa.Ukitaka mhukumu huyo mtu,sio uzi huu,usiangalie ulipoangukia ,angalia ulipojijikwaa ni wapi?
 
asante Ashadii kwa kusema hamna jambo linaniudhi kama kuuza thaman ya utu wako sababu ya pesa
naLabda Mwanamke mshamba na mjinga.... Wee kuna vianzo vya pesa kibao vya wanawake ambao wanakopesha.... Kuna ubaya gani ukijikopesha then unajilipa...lol... Hata hivo i think it beta i run!!
 
Zanta,naona tunachanganyana hapa,hakuna anaye'mfundisha'mtu kutoka nje,hapa tunaongelea situation ambayo mtu kishakata shauri kutembea nje ya ndoa.Ukitaka mhukumu huyo mtu,sio uzi huu,usiangalie ulipoangukia ,angalia ulipojijikwaa ni wapi?
kwa hiyo hapa nikikata shauri kua shoga nitapewa ushauri wa kuendelea kua shoga au kuacha?
 
Nakuomba uelewe kwamba kama wewe hu-cheat, basi tambua kwamba utakuwa una-cheatwa tena kwa sana tu.
mwambie!
Tatizo hapa ni idealism,wakati real life haiko hivyo,wake za watu wanapigwa na tunawaona,wengine mpaka wanajisahau wanaanza dharau kwa waume zao.
 
Kwa hiyo viongozi wa dini hua wanakosea pale wanapokemea maovu? maana hawajaanza leo kukemea maovu, na bado watu wanafanya hayo maovu yanayokatazwa. "kwa hiyo kwa mtazamoa wako hapo juu ni kwamba watu wapewe mbinu mbada si ndio? badala ya kukemea?
 
kwa hiyo hapa nikikata shauri kua shoga nitapewa ushauri wa kuendelea kua shoga au kuacha?

your losing the plot ndugu yangu,nakuomba u stick kwenye mada ya mwanamke kutoka nje ya ndoa,jambo naamini unalielewa sana.Unless hutaki kukubali kuwa wake za watu wanalambwa.
 
Ni swali tu nimekuuliza? kwanini hujibu? naelewa sana kua wake za watu wanalambwa.!
 
Kwa hiyo viongozi wa dini hua wanakosea pale wanapokemea maovu? maana hawajaanza leo kukemea maovu, na bado watu wanafanya hayo maovu yanayokatazwa. "kwa hiyo kwa mtazamoa wako hapo juu ni kwamba watu wapewe mbinu mbada si ndio? badala ya kukemea?

kuna wakati wa kukemea na kuna wakati wa kushauri namna ya kufanya mambo responsibly,kila kitu kwa majira yake.Nahisi inakuuma uki imagine mke wa mtu anatembea nje,thats a reality,kubali tu kuwa kuna wake za watu wanafanya haya,i bet hata membas wa mmu wapo wanaofanya haya.
 
JF> The home of great thinkers!!!!!

Mnatetea upuuzi! What abominable shame!
Mnahitaji maombi maalumu, maana naona shetani ametamalaki hapa.
 
Ni swali tu nimekuuliza? kwanini hujibu? naelewa sana kua wake za watu wanalambwa.!

na mimi labda nikuulize swali,what is your take on homosexuality? Mathalan itokee mwanao wa kuzaa awe gay au lesbian uta react vipi? Utamfanyaje? Nakuuliza hivi kwa sababu haya nayo ni real yanatokea katika jamii yetu. Nakushauri ufungue thread juu ya hii subject tuijadili kwa mapana yake.Moralization ni kitu cha hatari sana mkuu,worldwide watu wanauana kwa sababu hii,mtu anataka kuimpose beliefs zake kwa wengine matokeo ni kuuana.
 
kuna wakati wa kukemea na kuna wakati wa kushauri namna ya kufanya mambo responsibly,kila kitu kwa majira yake.Nahisi inakuuma uki imagine mke wa mtu anatembea nje,thats a reality,kubali tu kuwa kuna wake za watu wanafanya haya,i bet hata membas wa mmu wapo wanaofanya haya.
Sawa kiongozi nimekuelewa, kwa hiyo kuna ya kukemea kama ya "Ushoga" na kuna ya kushauri kama "ya infedelity" ingawa yote hayo hapo yapo mtaani na yanatendeka!
 
mie waliwahi kugongana kwenye chumba changu cha kuDEMUlia halafu wote hao ni wake za watu na wanajuana basi hakuna aliyethubutu kurusha ngumi,sasa hivi ni marafiki kupita maelezo. Na log off

Huu msamiati 'Chumba cha kuDEMUlia' umeniacha hoi. Kinafananaje? Ni kilekile cha nyumbani au the other one? What are the chararistics? Is it so special just like the surgeon's treatment room
 
Sawa kiongozi nimekuelewa, kwa hiyo kuna ya kukemea kama ya "Ushoga" na kuna ya kushauri kama "ya infedelity" ingawa yote hayo hapo yapo mtaani na yanatendeka!

we are going round and round,yale yaleeee ya kwenye uzi wa The Boss.
I repeat i am not here to condone cheating,i am just advising how to live and act responsibly on matters cheating once one decides to cheat.
 
Back
Top Bottom