Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts

Hehehe. Usisahau kubeba printed desa manake ukivunja miiko tutakutoa roho. Wamemwaga ugali sie tumwage mboga,tuzime moto na kutoboa sefuria kabisa!
Hapana Bishanga bwana najua watakuja tu, sema weekend nayo inachangia.
Haya mie cents zangu mbili kwenye hii thread kwa sasa ni hizo. Ngoja nikawahi kucheat lolh
 
Kuna wake za watu ambao, for some reasons, wanaamua kutembea nje ya ndoa.Si nia yangu kuwahukumu,lakini ili 'wasiharikiwe' kwenye ndoa zao,natoa hili angalizo.Yote haya ni katika kubalansi maana Mkuu The Boss yeye alikwishatoa angalizo kwa kinababa wenye nyumba ndogo.Naamini bandiko lile limesaidia wengi.Tuanze basi:

Rule no 1: Avoid viserengeti boys,viropokaji hivyo,kazi kujishebedua vijiweni kuwa vina sugamami.Vitaishia kukuchuna tu.Tembea na mtu mzima.

Rule no 2: Ikitokea ukashika mimba ya huyo hawara,tunza siri na dhibiti hasira,yuko mama mmoja in a heated moment alimwambia mmewe..'we nae mwanaume wa kuzaa na mimi' jamaa alimpiga kisu.

Rule no 3: Avoid kabisa mashoga zako,hata awe wa karibu vipi,kujua kuwa una hawara.Mkikosana naye breki ya kwanza itakuwa kwa mmeo.For that matter hata nduguzo wasijue.

Rule no 4: Ukiweza tumia kondom ingawa ni mtihani kwa mtu mnayekuwa naye muda mrefu.

Rule no 5:Usiwe na wivu wa kupindukia kwa hawara yako.Nshawahi kushuhudia mke wa mtu anakwenda kumfumania hawara yake,aliishia kupigana na kuswekwa polisi kijitonyama mabatini,imagine mmewe alipofika kituoni kuuliza kulikoni.

Rule no 6: Hata unogewe vipi na midundo ya hawara,usi criticise performance ya mmeo kitandani,utamuua kisaikolojia.Wewe endelea na kamtindo kako ka aaarg..iiiihhh...unaniua....

Rule no 7:Hata siku moja usipande gari moja na hawara yako,macho mengi mjini hapa.For that matter na gesti/hoteli usiziamini sana.

Rule no 8: Hawara yako kama ameoa,hata kama anamdharau vipi mkewe usimwamini,anajipendekeza tu kwako,avoid kabisa mkewe asijue.Ishawahi kutokea mke yuko sebuleni na mumewe ghafla akatinga mwanamke akamnyooshea mme kidole na kumwambia ...'mwambie mkeo aache kutembea na mme wangu'.

Rule no 9:Kula lakini mbakishie na mmeo,sio ukirudi kila siku ni nyimbo za kichwa kinauma.Na usibadili ratiba ya kurudi nyumbani.

Rule no 10: Kama hawara yako ana ukwasi akikuhonga vitu vikubwa jitahidi mmeo asijue,maana atashangaa unapata wapi pesa.Ukijengewa nyumba ndo kabisaaaa hati ficha mbali asiione.

Wakuu ongezeni na mipweint mingine hapa ili tuwasaidie mamemba wenzetu wazidi kula keki wakati wanaendelea kuwa nayo mkononi.


umeona hakuna mwanamke anaetoa povu humu?????
kama walivyotokwa na mapovu kuleee??????
sanasana utaona kuna vidume humu ndo vinatokwa na povu....

love is a selfish thing aisee lol

Bishanga asante sana kuna kitu humu wanaume tunatakiwa kujifunza but wengine still hawajifunzi
 
Hehehe. Usisahau kubeba printed desa manake ukivunja miiko tutakutoa roho. Wamemwaga ugali sie tumwage mboga,tuzime moto na kutoboa sefuria kabisa!
hahahaaa leo i am for mfumo jike,lol nshachoka kuside na kina Kloro!
 
aisee! kwa nchi za wenzetu teknolojia imekua sana, utajulikana tu, muda si mrefu.
 
hahahaaa leo i am for mfumo jike,lol nshachoka kuside na kina Kloro!
Bishanga huna lolote hapa umeamua kutoa siri za wadada, ulinzi utaongezeka sasa, usijewakosesha raha kina Darlingtone maana ili kulinda Klorokwini itabidi awe benet na mamsap.......atamwona nyumba ndogo saa ngapi?

Kaazi wkeli kweli (Hivi hii ni cent ya ngapi vile Bishanga?)
 
umeona hakuna mwanamke anaetoa povu humu?????
kama walivyotokwa na mapovu kuleee??????
sanasana utaona kuna vidume humu ndo vinatokwa na povu....

love is a selfish thing aisee lol

Bishanga asante sana kuna kitu humu wanaume tunatakiwa kujifunza but wengine still hawajifunzi
ahsate ndugu yangu,naona tumeweka level playing field kwa ku balance hii maneno,bila shaka AshaDii leo atapata usingizi mzuri.
 
Kwa kuongezea.....

  • Hakikisha ni "hit and run"
  • Hakikisha possibility ya kukutana na hubby ni minimal
  • Hakikisha kua at first glance amzidi mumeo...
  • Kama ni kwa ajili ya Mpunga... Then hakuna wasi wasi hapa....
  • Kama ndo umevutiwa ji-commit on the condition kua mko mbali kuonana mpaka iwa cost... Hio ina monitor nidhamu.

Inamcost mke wa mtu shs 80,000 kunifata na kwa kweli akifika ni full dose apae thamani ya pesa anayotumia!
 
HApa ndipo unapokimbiza watu Bishanga.......kumbuka kina darlingtone na Sarafina 1 walijitokeza kwa kuwa si wake za watu!
Sijui lakini ila naona kama unazidi kuwakimbiza wachangiaji. Unless hao waume wanaotembea na wake za watu waje watoe experience ya hao wa kwao wanafanyaga nini, na nini hawafanyi. (abayo haitakuwa tena the Dos and Donts)

Nimewapata watatu...........Amina ; 4yrs kwenye ndoa; Sophia 8 yrs na Matrida 3 Yrs..................nitawaletea observation zangu msijali!
 
Number 10: unaweza kuficha vipi nyumba? maana kuna wajenzi wapangaji etc..

Number itakuabisha
 
Back
Top Bottom