Mke wa mtu, Smart phone ya nini?

This may help some people.

Are You Married to Your Cell Phone?-Household rules were proposed in the study.

Household rules

It’s not that the technology is inherently bad. Far from it—it helps us connect with people in many positive ways. The problem is that so many people are unable to control it. It’s as if they are married to their cell phones.

I received some great tips from readers about the boundaries they were implementing to promote face-to-face communication in their marriages. Here are some highlights:

1. No devices at the dinner table. This was mentioned many times in e-mails. Dinner time should be reserved for face-to-face conversation. There will be plenty of time after dinner to reply to phone calls and text messages. One family calls this rule “TTT—Timeout from Technology at the Table.”

2. No phones at the restaurant. “My husband and I have made a deal for date nights,” wrote one wife. “He is way too plugged in to TV and his phone. Therefore when we are out at restaurants we are not allowed to use our phones unless it is a call from the babysitter. Also we do not go to restaurants that have televisions because he will be too distracted, and I will be mad that he is not totally engaged. We all need to find time daily to disconnect from all the information and reconnect with our families with good ‘old-fashioned’ conversation.”Another reader said she and her husband leave their cell phones in the car before they enter a restaurant.

3. No texting or talking about really important personal issues over the phone.This should be done face-to-face, unless it is something that can't wait. One reader said, “There is a huge gap in a 'conversation' when texting because you don't really fully understand what that person really means unless you hear the tone in their voice or see their face and a lot can be taken the wrong way, creating bad feelings, etc.”

4. Love the one you’re with

All these boundaries establish a strong family value: When you’re with someone, that relationship is your priority. Retraining will take some time if you, your spouse, or your children have become addicted to your devices. But keeping them in their rightful place will, in the words of one reader, “open up the door to more intimate communication with your spouse and family.”

I also liked the comment from a reader who pointed out, “Anything that becomes a necessity has the ability to become an idol.” In other words, you can become so attached to your smartphone that it basically becomes the most important thing in your life: “If you can’t live without a gadget … throw it away. If a gadget is absorbing most of your leisure time … throw it away!

“Life is too short. Let’s not invest what little time we have in meaningless endeavors.”

Source;Are You Married to Your Cell Phone
 
Nawaza nirudi home afu nianze kumwambia wife kuanzia leo hakuna kutumia hiyo smart phone yako kwa sababu hizi ulizoziainisha mkuu bado hujaandika kile ulichotaka tujue.
Labda ungeweka "smartphone yasababisha mke wangu(wako) kunisaliti"
Tungekuelewa
 
WATAKE RADHI WANAWAKE KWA KUWAKOSEA, KWA HIYO HATA DADA/MAMA/SHANGAZI ZAKO WOTE NAO WANA MICHEPUKO KWA SABABU YA SMART PHONES??!! WAOMBE RADHI
 
Kwani shule hazifunguliwa tu uende shulee??????

Basi skia Simu za tochi ndo zinaingoza kwa wanawake kuchepuka ziko fasta kwa kuchat hasaa
 
95% ya wake za watu wenye smart phone wanachepuka.Tangu lini mke wa mtu akawa na smart phone? Hizi ndo zinatumika kuleta usaliti mkubwa kwenye ndoa.Unakuta mke wa mtu yupo busy na mitandao, halafu mwanaume mzima na ndevu zako umetulia tu kama juha.

Mke wa mtu anatafuta nini mitandaoni kama siyo umalaya? Anachat nini na nani na kwa malengo yapi?Ni wakati wa wanaume kujitambua sasa, huo usawa wanaotaka wanawake haupo ng'oo!

Mwanamke anabaki kuwa mwanamke tu.Mungu alimtoa mwanamke katika ubavu tena wa kushoto wa mwanaume.Smart phone ni kwa ajili ya wanaume tu.

Mwanamke anaishi kwa mipaka mingi sana tofauti na mwanaume.Poleni wanaume wote ambao wake zenu wana smart phone, kuchapiwa hakukwepeki kabisa.
Acha uongo una wivu wa kijinga,, inaelekea ww kipanga kwani kufungua mitandao ndo umalaya?
Miss chagga njoo huku nikuulize,,
Eti unanisaliti?
 
95% ya wake za watu wenye smart phone wanachepuka.Tangu lini mke wa mtu akawa na smart phone? Hizi ndo zinatumika kuleta usaliti mkubwa kwenye ndoa.Unakuta mke wa mtu yupo busy na mitandao, halafu mwanaume mzima na ndevu zako umetulia tu kama juha.

Mke wa mtu anatafuta nini mitandaoni kama siyo umalaya? Anachat nini na nani na kwa malengo yapi?Ni wakati wa wanaume kujitambua sasa, huo usawa wanaotaka wanawake haupo ng'oo!

Mwanamke anabaki kuwa mwanamke tu.Mungu alimtoa mwanamke katika ubavu tena wa kushoto wa mwanaume.Smart phone ni kwa ajili ya wanaume tu.

Mwanamke anaishi kwa mipaka mingi sana tofauti na mwanaume.Poleni wanaume wote ambao wake zenu wana smart phone, kuchapiwa hakukwepeki kabisa.

Umeeleweka na mada imefika vizuri sana sema jambo 1 tu, hapa JF hasa ukumbi huu watu hawapendi sana kusikia habari kama hizi, watu wamelewa kwenye mapenzi sana kwaiyo utaonekana kama umepanik na hujaeleza cha mana.

smartphone kweli zinaharibu dada zetu ndio chanzo kwa mambo yote, sema ni shida kumkataza mwanamke asitumie simu kabisa kabisa lakini hata simu ya kawaida mwanamke ni hatari tena hatari sana, haya mambo tumeletewa ni wazungu sio tu kutukoroga kimaadili lakini pia tufuate mila zao na desturi zao tupo kwenye mithani sana.

Saivi ukimkata mwanamke kutumia simu au kuchart chart utaonekana mtu wa ajab sana au umesema neno la kishamba sana.
 
Kweli nyani haoni kundule hizi smartphone zinachagua jinsia ya kuharibu eeh?acheni mawazo ya kizembe kama huwezi kutumia simu hata uwe na nokia tochi utaharibu tu
 
Asee there must be hollow in your head. Yan wewe ninakutafutia jina la kukuita...huyo mkeo pole nyingi zimfikie kwa kuolewa na mtu mwenye wivu wa kitumbafff
 
95% ya wake za watu wenye smart phone wanachepuka.Tangu lini mke wa mtu akawa na smart phone? Hizi ndo zinatumika kuleta usaliti mkubwa kwenye ndoa.Unakuta mke wa mtu yupo busy na mitandao, halafu mwanaume mzima na ndevu zako umetulia tu kama juha.

Mke wa mtu anatafuta nini mitandaoni kama siyo umalaya? Anachat nini na nani na kwa malengo yapi?Ni wakati wa wanaume kujitambua sasa, huo usawa wanaotaka wanawake haupo ng'oo!

Mwanamke anabaki kuwa mwanamke tu.Mungu alimtoa mwanamke katika ubavu tena wa kushoto wa mwanaume.Smart phone ni kwa ajili ya wanaume tu.

Mwanamke anaishi kwa mipaka mingi sana tofauti na mwanaume.Poleni wanaume wote ambao wake zenu wana smart phone, kuchapiwa hakukwepeki kabisa.

And thats where you are wrong my friend. Binafsi sioni tatizo kwa mke wa mtu kumiliki smartphone kwa sababu swala la kuwa na msimamo na kuwa mwaminifu ni tabia ya mtu. Kama mtu sio mwaminifu hata kama ukimzuia kuwa na account za social network au kuwa na smartphone yote ni kazi bure kwa sababu mwisho wa siku atakusaliti tu tena kwa njia ambayo wewe usiyoidhania.
 
Aisee nataka kununua Madera mie nikasabahi kule. Mambo ya kukaa ndani kutwa na kupelekwa kila mahala na driver. Nani anapenda stress za kujiendesha kwa foleni na kila vumbi?
Wanaoelewa huu ukweli ona wanajadili mambo mengine, hata hawana haja na hii mada, ukiijua kweli itakuweka huru.King'asti endelea kujadili mambo ya Afrighastan mwaya!!
 
Back
Top Bottom