Mke wa mtu anataka nizae nae

Mke wa mtu ni sumu na mume wa mtu ni maziwa, ole wenu mnaoutumia usemi huu maana nw ukikamatwa mwanaume unafilwa tuu na wa2 hata watau.so nimeona wa2 wa2 wamefanyiwa hvyo so take care ndugu.
 
unajiona rijali mzee utafanyiwa kitu mabaya siku moja unakamua mke wa mtu halaf hajatosha unataka kuzaa nae duu!! vip utajisikiaje mkeo nae akianza kukamuliwa nje? ushauri wa busara kwako na kwa wengine wote wenye tabia kama yako acheni hizo tabia utamletea mkeo ngoma halaf utawaacha watoto wako yatima. utaona raha eee?
 
Hizo ni kama mbio za sakafuni huishia ulingoni tu. Naona una beep utapigiwa na siku ukipigiwa pokea tu.
 
Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto

1. DEATH SENTANCE; UTAPIGWA MPAKA UFEE KABISA! Hiyo unapitisha Hukumu yako mwenyewe.
2. Divorce judgement:: Ndoa yako itavunnjwa na mahakama kwa vile umekuwa mzinzi!!
3. shida kwa watoto wako; watoto wako watapata shida baada ya kifo chako cha aibu!!
STOP IT NOW!!
 
Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto
ndugu to be very honest,wewe na huyo kimada chako mmenitia hasira,nyie wote ni wezi mnachostahili ni adhabu kwa kusaliti ndoa na uaminifu wa wenzi wenu tena mu wanafiki,mkifika manyumbani mnaita wenzi wenu darling kumbe unafiki tu,kwa hakika si siku nyingi mtavunja ndoa zenu, achana na hiyo dambi, maana mshahara wa dhambi daima ni mauti..kumbukeni na viapo vyenu vya ndoa......
 
sidhani kama una sound mind kabisa? hivi kweli hili lina hitaji ushauri kabisa?

Me nafikiri una hitaji kumuona daktari kabisa, yani umeandika mwenyewe kuwa huyo ni mke wa mtu alaf una uliza.

Hebu punguzeni haya maigizo.
 
Jina lako na avatar yako vinafanana na akili zako
ACHANA NA WAKE ZA WATU UTAKUFA SIKU SIO ZAKO TENA UKOME KABISAA
 
Huyu BLUE BALAA aje atupe feedback, kwamba miaka mitatu mbele matokeo yamekuwaje, ameshapatamo kababy au la?
 
Last edited by a moderator:
Nakaa Arusha ndyo. Na nimesha kuwa nae miaka kama mi nne hivi. Ushauri nilio omba ni kwamba nizae nae au la na siyo kuachana nae. Kuachana haiwezekani kabisa ni mpaka kifo kitutenganishe.

Hiyo ni akili yako ama umebambizwa ndg? Unahitaji maombi wewe!
 
Kutembea na mke wa mtu ni kosa, na kuzaa naye ni kosa jingine, huoni kuwa unazidi kujiweka katika wakati mgumu zaidi? TAFAKARI CHUKUA HATUA!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Angalia usije ukazalishwa wewe, mke wa mtu ni sumu, kwani hujasoma hata kwenye vitabu vya dini?
 
badala ya kumpa ushauri mnaanza kumtisha... kuna uzi ulianzishwa apa kuhusu kama umewahi kucheat ktk mahusiano jibu kila mtu anajua hakuna aliyesema hajawai sasa mnashangaa nn!!! kwa mimi hii imekaa kistaarbu maana haitaleta shida kote kote maana ucku haman msg za ajabu kila mtu yuko kwake na wake labda ushaur ni tu kuzaa noma maana hiyo itaweza julikana unless muwe na huyo mume halisi mnafanana hata kwa mbali... cha msingi wote mna uwezo kwa iyo hapo mmeunganishwa na mapenz tu kwan hamjui jaman hata kama main matamu kuna cku utataman maharage!!!!
 
Toa kichefuchefu chako hapa weye baradhuli Mkubwa usiye na chembe ya soni! unadhani umepata...nakushauri anza kuandika wosia na kuchagua pa kukuzikia kwani hujabakiza siku nyingi...its a matter of time!

Sikubaliani na wewe hasa nguvu unazotumia kwenye jambo kama hili.Mambo yanayosemwa huku si lazima yawe ya ukweli/uhalisia.. mengine ni ya kufikirika au ni hoja chokozi Kitakachomuua shetani ni kipi kwa maoni yako mwenye uwezo wa kuua ni Mungu pekee si ugonjwa ,ajali wala binadamu.Wanaosema ....Nke wa Ntu sumu pia wajue ...mume wa Ntu maziwa ..kuaadek.
 
Akili yako inalingana na nguchiro, kama unavyomfanyia mwenzio nawe kizazi chako kitashuulikiwa hadi ufurahi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom