Mke wa mtu anataka nizae nae

shetani one wewe kamua tu,humu watu wanafki sana kuna mtu kazaa na mume wa mtu na wengi walikuwa wanamsifia vibaya,au kwa kuwa wewe shetani
 
Shetani, kuna vipimo vya DNA siku hizi basi tahadhari sana. Halafu mtoto wa aina hii huwa anafanana sana na baba yake huyo wa nje, na hapo ndiyo maelezo yatakaposhindikana. Mutamdhuru mtoto bure bila ya sababu.

Vile vile ipo siku jamaa watamnong'oneza mwenye mali (au pengine tayari wameshafanya hivyo) na hapo ndiyo itakuwa balaa kama walivyokwambia watoa maoni kabla yangu.

Maisha ni mafupi mno kuweza kujipa dhiki moyoni. Kama munaona munapendana kihivyo basi acheni hao spouses wenu muoane. Hivi karibuni niliwahi kusikia stori kama hiyo - mke na muwe waliachana na partners wao wakaoana.
 
kaa ukujua kama ni muislam basi we huna ndoa tena wal huyo mwanmke hana ndoa tena kwa ajili kila mmoja wenu keshazini,,,ya allah !!!!! Nainachomba mimi ni mungu akuongoze tuu,,,akuonyeshe noor ya rab akufumbue macho ulozibwa na iblisi na shetani,,,ishallah kheri na jina lako badili usiitwe shetani ndio mana yakukuta yote hayoo,,,,

mhhh we umekuwa expert member mara hii
 
Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto

Kweli wewe ni SHETANI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tukushauri kitu gani mkuu na wakati tayari uamuzi wa kuzaa na mke wa mtu umeufanya kwa kufanya naye ngono uzembe?
 
Siku za mwizi ni 40 tu. kwa maelezo yako wewe umeshafikisha 39 bado moja. Kimbia haraka sana kabla hujafa.
 
Na kwa akili yako unadhani hamtakaa mgundulike milele? Tena ukizingatia kuwa asubuhi, mchana na jioni mnakuwa wote? Huoni kuwa wote mnakosa muda wa kuzungumza mambo ya familia zenu kama kweli mnatumia muda mwingi pamoja? Mke wa mtu!!!! No thank you!!!!

Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto
 
hivi ni criteria gani mtu unatumia wakati wa kuchagua nick name ya kutumia hapa jamii forum? Hii inajibu hoja yako moja kwa moja.

Kitendo cha kuchagua jina SHETANI ONE inaonyesha matendo yako na mawazo yako yalivo ya kishetani...! Endelea tu na hayo unayotaka kufanya, but kun asiku utalipia hayo unayoyafanya...! it will be too little too late...!

Najua sasa hii mkiwa mko watupu mnaona wapenzi wenu (mke wako na Mume wake) ni wajinga na hawana akili ya kuweza kugundua mnachokifanya...! Kuna siku yatagundulika...! Kaka usipime...! Utajuta...!
 
mi nishakuona we hunipendi hasa kutoka kwenye mishipa yako ya damu,,kuzunguka kwenye moyo na kupanda kwenye ubongo,,,wewe hunipendiiiiiiiiiii,,,,,yaani waonyesha ukiona rangi ya pinki tu mpaka malaika yako ya mwili yakusimama kwa kuona nill huyo keshajichomeka,,,,basi lakin uspate tabu ntaondoka nisikuudhi bure huwa sipendi kuudhi mtu,,,ntakukondesha mtoto wa watu wallah......heee?????
mhhh we umekuwa expert member mara hii
 
Ulaku utakutokea puani siku moja,jiulize angekuwa mkeo ndiyo anafanyiwa hivyo ungejisikiaje!Hiyo ni laana usijisifu kwa huo uovu mke wa mtu muone kama kituo cha polisi vinginevyo utakuja kufa ukiona tena siyo siku nyingi BAZAZI MKUBWA WEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Mke wa mtu ni sumu, utakuja kukojoa dagaaaa, we chezea tu shilingi kwenye tundu la choo. Utajakatwa mapanga au kupigwa shaba. Acha mchezo huo mchafu!

Kwa nyongeza utakujafanyiwa kitu mbaya mbele ya huyo mke wa mtu kisha upoteze heshima kwake na jamii kwa ujumla.
 
Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto

Acha tamaa
 
Mimi natembea na mke wako tangu 2006 wakati ulipoanza kuchoka kumtimizia. Ananipenda ile mbaya na anataka tuzae mtoto mmoja. Hana wasiwasi maana ki-haiba mimi na wewe tunafanana. Vipi tuendelee au unasemaje
 
jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. Yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto
zinaa tu!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom