Mke wa Mtu ananitaka

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,499
86,037
Naandika kilicho kweli nikijua kweli itaniweka huru; Huyu mama ambaye ni jirani yangu hapa ninapoishi kweli simuelewi kabsaa. Kila kukicha simu haziishi na hasa anataimu mida ambayo nipo kazini akijua kuwa waifu hatajua na mumewe hatajua. Kinachoniuma zaidi ni kuona jinsi jamaa yake anavyompenda na tunavyoheshimiana. Nimejaribu kumweleza hata jana nilimwambia kuwa si vizuri yeye anachotaka nikamnunulie bia, mimi si mlevi na sijawahi kunywa hata bia yenyewe lakini hanielewi.

Nilitaka nimwambie waifu, nikaona wanawake sometimes hawana dogo wala uvumilivu, nikataka nimwambie jamaa mwenye mali yake, nikaona kwa mazingira ya kawaida hatanielewa ataona tu mie ndo namtaka mkewe, lakini pia nataka nijaribu kuwaeleza ndugu zangu kwani sitaki kuvunja wala kuvunjiwa nyumba yangu! je nimtukane?

naombeni msaada wenu
 
Huyo ni wa kumpuuzia tu. Labda kama na wewe unamtamani.
 
japo ni wa kupuuza, ilikuwaje una namba yake naye ana namba yako?
 
Mpe anachotaka : a beer will not cost a thing : and that will be it

Otherwise

Unaweza kumaliza kabisa - Life is short : Play Safe
 
[video]http://www.eastafricantube.com/media/10191/Ze_comedy_-mke_wa_mtu_ni_sumu/[/video]
 
Mpeleke kwa yule mchungaji wa KKKT Iringa ili asitutafunie tena watoto wetu under 15...wote wakware kwa hivo ngoma droo...wewe tulia na wako
 
Jaribu kuwa mbali nae usionyeshe ukaribu wa aina yeyote pia mpuuze usimwmbie mkeo wala mme wake usije ukalaumiwa kwa kuvunja nyumba ya watu! Kuwa wazi na mweleze ukweli kwamba anachokitaka hakita patikana hata kwa dawa!
 
Kutoa namba kwangu is not an issue, hata hivyo aliipata kwa kupitia mumewe, kwani si mumewe anayo? Bia siwezi kumpa kwani sina utamaduni wa kukaa bar tena na mke wa mtu anakunywa bia, well, siwezi kumtamani kwani ndoa yangu ndo kwanza tuna miaka miwili tu, nisichokipenda ni tabia yake hiyo, na akinipigia anamponda sana mumewe, only that.
ningekuwa namtamani nisingeandika mpwa, ningemaliza juu ka juu
 
Huyo ni wa kumpuuzia tu. Labda kama na wewe unamtamani.

Agreed. Hata simu zake acha kujibu. Atanywea ... ila asije akakuzulia kwa mumewe kuwa umemtongoza, maana wanawake wengine (sio wote) wanakuwa na kisasi wakiwa - ignored
 
Hapo ndo kwenye mtihani hapo kwenye nyekundu hapo... huyu mwanamke ni mtu wa visa, kiasi kwamba aweza pia kwa mke wangu kanigeuzia kibao, natafuta simu za kichina naskia zina function ya ku-blacklist namba moja moja kwa hiyo mtu kama hutaki akupigie unam-black list tu
 
Naandika kilicho kweli nikijua kweli itaniweka huru; Huyu mama ambaye ni jirani yangu hapa ninapoishi kweli simuelewi kabsaa. Kila kukicha simu haziishi na hasa anataimu mida ambayo nipo kazini akijua kuwa waifu hatajua na mumewe hatajua. Kinachoniuma zaidi ni kuona jinsi jamaa yake anavyompenda na tunavyoheshimiana. Nimejaribu kumweleza hata jana nilimwambia kuwa si vizuri yeye anachotaka nikamnunulie bia, mimi si mlevi na sijawahi kunywa hata bia yenyewe lakini hanielewi.

Nilitaka nimwambie waifu, nikaona wanawake sometimes hawana dogo wala uvumilivu, nikataka nimwambie jamaa mwenye mali yake, nikaona kwa mazingira ya kawaida hatanielewa ataona tu mie ndo namtaka mkewe, lakini pia nataka nijaribu kuwaeleza ndugu zangu kwani sitaki kuvunja wala kuvunjiwa nyumba yangu! je nimtukane?

naombeni msaada wenu

Ungekua na wewe unamtaka ungekuja humu??
 
Jamani, huyo mke wa mtu ni wa kumpuuza tu! Hivi kila mtu akiandika watu wanaojishebedua kwake...hii kolamu si itajaa mambo hayo tu? Kuanzia leo mwambie na umchimbie biti
1. Asikupigie
2. Asi ku sms

Ukishamwambia, akifanya hivyo usijibu. Atajaribu mara mbili tatu, mwisho atanawa mwenyewe!
 
mwambie hupendi tabia zake kama ataendelea kukufatafata unamwambia mme wake na uongee hayo ukiwa serious bwana sio unacheka cheka :confused2:
 
Hapo ndo mmenishauri jambo, I thought niweke namba yake hapa but naona haitakuwa busara, thank you
 
....... natafuta simu za kichina naskia zina function ya ku-blacklist namba moja moja kwa hiyo mtu kama hutaki akupigie unam-black list tu

Nadhani na hata hizi nyengine za jamii ya Nokia unaweza ukablock call if I am not mistaken. Jaribu kuulizia kwa wataalamu wa simu.
 
mwambie kuwa akikupigia tena simu au meseji UTAENDA KUMWAMBIA NA KUMUONYESHA MUMEWE...KATAA MAONGEZI MAREFU NAYE...MWAMBIE UTAENDA KUMWELEZA MUMEWE
mix with yours
 
Back
Top Bottom