Mkuu balntanda umenikumbusha mbali sana. Enzi hizo alhamisi jioni kukiwa na foleni natamani ningekua na TV kwenye gari[video]http://www.eastafricantube.com/media/10191/Ze_comedy_-mke_wa_mtu_ni_sumu/[/video]
ASANTENI WOOOTE, i VALUE IT
Mazee!Mwambie awe anakutumia sms badala ya kukupigia, kwani ofisi yenu hairuhusu kupokea simu mara kwa mara ukiwa ofisini, halafu wewe mchunie usijibu sms zake, akija "kulibumbulua" hizo sms zake ndio utakuwa ushahidi wako.
Kama ni kum-block namba yake ya simu ili asipige/sms ingia OVI storehttps://store.ovi.com kuna software za bei ndogo tu..... lakini unatakiwa uwe na simu ya nokia.
Vinginevyo ungea nae ukuwa serious na umweleze ukweli....
naandika kilicho kweli nikijua kweli itaniweka huru; huyu mama ambaye ni jirani yangu hapa ninapoishi kweli simuelewi kabsaa. Kila kukicha simu haziishi na hasa anataimu mida ambayo nipo kazini akijua kuwa waifu hatajua na mumewe hatajua. Kinachoniuma zaidi ni kuona jinsi jamaa yake anavyompenda na tunavyoheshimiana. Nimejaribu kumweleza hata jana nilimwambia kuwa si vizuri yeye anachotaka nikamnunulie bia, mimi si mlevi na sijawahi kunywa hata bia yenyewe lakini hanielewi.
Nilitaka nimwambie waifu, nikaona wanawake sometimes hawana dogo wala uvumilivu, nikataka nimwambie jamaa mwenye mali yake, nikaona kwa mazingira ya kawaida hatanielewa ataona tu mie ndo namtaka mkewe, lakini pia nataka nijaribu kuwaeleza ndugu zangu kwani sitaki kuvunja wala kuvunjiwa nyumba yangu! Je nimtukane?
Naombeni msaada wenu
type hiyo nilikwisha kutana nazo nikiwa bachelor na hata baada ya kuoa. Kwa uzoefu wangu, fanya yafuatayo: 1. usiwe na muda wa kuongea naye - salamu inatosha; 2. akitaka kuongeza muda wa maongezi na mada zake, wewe mwambie huko busy; 3. kuhusu kununua beer, mwambi glabal financial crisis ime-hit hata kwenye wallet yako hata kama kila siku unachana kuku! 4. mara manapoongea naye, sifia mkeo tu, halafu ongelea kuhusu ndoa yako na kuchukia kwenda nje ya ndoa - kama wewe ni mkristu - ongelea dhambi na mambo ya Mbingu; 5. mwambie mkeo kuhusu jambo hilo mara moja na mkeo ndiye akamnunulie hizo bia; 6. ukikaa kimya na usi-service hiyo joint yake, atakuzushia tu na itakula kwako; 7. usitoke nje bila shati wala t-shirt, kwani yeye anaweza dhani wewe ni mchokozi; 8. acha kutaniana naye kabisa; 9. kama unaishi nyumba ya kupanga - ndivyo inavyoonyesha, pigana na maisha uwe na kibanda chako au hama huko! 10. kama anaazima vitu vya kwenu basi mwambie mwenye mamlaka yote ni mkeo kupitia kwa housegirl/ boy.
Naona kama hii story ni fictional kwa jinsi ulivyomalizia kwa kusema 'au ni mtukane nini'. Utamtukanaje mtu kaomba ofa ya bia, sasa matusi yako si ndio yatakuangamiza mwenyewe! Mimi umwambia mke wa mtu kuwa na ni kweli "sitoi offer kwa mke wa mtu" akamuombe offer mumewe!!!
Huyu mama ambaye ni jirani yangu hapa ninapoishi kweli simuelewi kabsaa. Kila kukicha simu haziishi na hasa anataimu mida ambayo nipo kazini akijua kuwa waifu hatajua na mumewe hatajua. Nimejaribu kumweleza hata jana nilimwambia kuwa si vizuri yeye anachotaka nikamnunulie bia, mimi si mlevi na sijawahi kunywa hata bia yenyewe lakini hanielewi.
naombeni msaada wenu
... je nimtukane?
naombeni msaada wenu
Jibu liko wazi...halihitaji mjadala mpwa, kwani wewe ukiwa umeshiba hua unatafuta chakula????
nibip nikupe namba yake fasta, wala hana bei....bia tu....tatizo ni implication yake
mkuu unanitia mashaka hujamega kweli? umejuaje wa bia tatu?nibip nikupe namba yake fasta, wala hana bei....bia tu....tatizo ni implication yake