Mke wa JK akumbana na mauzauza

mambo ya wabunge kuishi Dar, kusahau majimbo yao...na kwenda majimboni mwao kutafuta kula tuu, tena wengine hata uwaziri ambao ndio unakuwa kisingizio hawana...basi tu

Yuko jimbo 80% ya 2008-2009 na ndicho kinachomfanya asomeke sana ndani ya magazeti ambayo yanashughulika naye mkabala, wanaoinyatia nafasi hiyo sasa wanaiona hali halisi kuwabana kwa wapiga kura sasa wamehamia media.

Hapo pazuri sana, Dkt Ngasongwa kahamia chijijini wakuu, wanaoitaka fursa wako mjini wanatuma majeshi ya anga kumnyeshea.

Hahahaaaaaaaaa, shughuli ipo
 
Mie hata sielewi jambo moja! hivi huyu first lady ziara zake anazifanya kwa misingi gani? Pesa anapata wapi? Serikalini? na Kama anafanya kama first lady (kiserikali) taasisi yake inatambuliwa kikatiba na sheria nyingine za nchi kama ambavyo taasisi nyingine kama ya Raisi, Makamu wa Raisi, DPP etc? Kama anafanya kama taasisi binafsi nini vyanzo vya mapato yake? First lady anatambulika katika mfumo wa malipo kiserikali? Nna wasiwasi kukuwa kuna ka kiwira kingine kwa staili nyingine kinatengenezwa!
 
Mmmmh! Tumehamia huko tena, mie simo wakuu
 
Wananchi wa Ulanga tupeni kura chadema mwakani tufanye mageuzi, CHADEMA Juuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
Si hivyo mazee kuna njia mbadala wewe mwandikie tu invisible PM, hakuna anayetaka kudisclose ID yake....kama uko bongo unanunua sim card nakutuma vocha ukimaliza unaiweka kwenye dustibin...unakuwa umeisha changia JF badala ya kusema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

masanilo Njia hiyo inawezekana pia ...? mie naona uvivu kwenda Bank???answer me pls
 
masanilo Njia hiyo inawezekana pia ...? mie naona uvivu kwenda Bank???answer me pls

Inawezekana my dearest, kwa ufafanuzi mwandikie invisible ama Maxence Melo, heading weka Mchango JF....watakujibu maana cha muhimu ni kuficha ID na kusaidia walau kidogo the guyz wapo kwa ajili yetu.

Bwana asifiwe sana
 
thanks bwana Masanilo

well noted

be blessed & nice weekend 2 u
 
Huyu Ngasongwa alikuwa anawajibu majibu ya dharau sana wapiga kura wake 2005: Eti hata wasipomchagua angeshinda tu! Na kweli alishinda kwa mchezo mchafu! Pamoja na fedha atakazohonga, kama atahonga anyway, 2010 mambo magumu mno kwake kama atagombea! Washauri wake wamshauri akae pembeni tu asije akapata aibu ya mwaka!
 
Ngasongwa anakiburi sana, aliishasikika akiwaambia wapiga kura kuwa hawakumchagua yeye bali ni njaa zao na pesa zake ndiyo maana ni mbunge. Sijui mwaka ujao asiposhindwa kura za maoni basi wapinzani watalamba jimbo, sijui Prof Melchior Mlambiti yuko wapi!!
 
tatizo huyu ni mwizi sana wa kura hata kama iweje lazima atatangazwa mshindi..it is true kuwa wananchi hawamtaki kabisaaaaaa
hizo zama hazipo tena mkuu watu wataingia mtaani na kupigana...:(
 
Mwache huyu mama aendelee na ziara zake,ila anaweza akayaona mauza uza taslim pale atakapozomewa mumewe,kwa staili hiyo hiyo!!
 
Mauzauza hayo ni ya Ngasongwa, maana walikuwa wanamtaja jina. Mimi naona hiyo ni zuri kwa viongozi wajuu kuona kuwa hawa watu waliopewa dhamana na wananchi wasivyo makini. Wanapenda kukaa mjini tu
 
Ilikuwa raha tupu....kwa kweli...Huko Mtimbira Ngasongwa ahesabu maumivu 2010

Kuzomewa tu hakuna madhara. Kumbuka mwaka 2005 Mzindakaya alizomewa vibaya Rais alipokwenda kwao wakati wa kampeni. Matokeo yake ulipofika uchaguzi alishinda kwa kishindo.

Tena watu wa huko hawana shukrani. Hamkumbuki kuna mwekezaji alikwenda kwenye jimbo lake mwaka huu huu na akawa katika mbinu za kuwanyang'anya ardhi na kuwadhalilisha sana wananchi kwa kuwachapa viboko. Mwekezaji huyo aliyafanya hayo akishirikiana na utawala wa Mkoa/Wilaya. Ni huyu huyu Ngasongwa ndie aliyesimama kidete kuzui unyang'anyi na dhulma hiyo.

Sasa hao wananchi wanataka waone tu sura yake au waone matendo yake?
 
Kuzomewa tu hakuna madhara. Kumbuka mwaka 2005 Mzindakaya alizomewa vibaya Rais alipokwenda kwao wakati wa kampeni. Matokeo yake ulipofika uchaguzi alishinda kwa kishindo.

Kishindo gani kaka/dada tk? unakumbuka alipata kura kiasi ngapi na alimzidi mpinzani wake kiasi gani??
Amani
 
Huyu Ngasongwa alikuwa anawajibu majibu ya dharau sana wapiga kura wake 2005: Eti hata wasipomchagua angeshinda tu! Na kweli alishinda kwa mchezo mchafu! Pamoja na fedha atakazohonga, kama atahonga anyway, 2010 mambo magumu mno kwake kama atagombea! Washauri wake wamshauri akae pembeni tu asije akapata aibu ya mwaka!

huyo ndie mshindi wa Ulanga west 2010, kuwa na subira tu. Maana myi wenye matunda ndio upopolewao mkuu, Ulanga Magharibi inataka mwanaume wa shoka wa stahili yake, vinginevyo hutafanya lolote. Rejea historia ya Tanu na Ulanga ndio utajua kwanini nayasema haya leo. Mlambiti wala Chadema hawana chao kule. Subirini serikali za mitaa mtasema wenyewe.
 
Back
Top Bottom