Mbunge wa Nkenge, Florent Kyombo akabidhi kompyuta

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
478
Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Mheshimiwa Florent Kyombo, akabidhi kompyuta Mbili shule ya Sekondari Bwabuki Ya Kata Kitobo na Shule ya Msingi Lukurungo Kata Bugandika

Ofisi ya Mbunge wakikabidhi kompyuta hiyo kwa niaba ya Mheshimiwa Kyombo wamesema, utoaji wa kompyuta hizo ni mwendelezo wa zoezi la Mhe. Kyombo la kutimiza ahadi na maombi mbalimbali katika Shule zenye uhitaji

Walimu na wanafunzi pamoja na wanavijiji wamempongeza Mbunge Kyombo kwa kujali elimu hata kutoa vifaa hivyo ambavyo vitasaidia wanafunzi katika masomo yao na kupunguza changamoto na vifaa hivyo ambavyo vitakuwa msaada mkubwa katika kuongeza ufanisi wa ufundishaji na ujifunzaji.

Mama Samia kipenzi cha watanzania kazi iendelee

Mhe. Florent Kyombo kijana shupavu mwenye mapenzi na Jimbo lake kazi iendelee

Madiwani wote wa Wilaya Missenyi kazi iendelee

IMG-20240314-WA0014.jpg
IMG-20240314-WA0011.jpg
IMG-20240314-WA0008.jpg
 
Hongera, kwakua kuna picha sio tetesi tena hii ni habari kamili
 
Hizi aibu ndogondogo, ila kuongoza watu masikini ni raha sana..... ndiyo maana viongozi wengi wanatani ufukara utamalaki.
 
Uchague Moja; wewe peleka kompyuta kwa Kila mwanafunzi kwenye shule iliyo jirani yako na upige picha tuone au Kaa kimya na gubu lako! Pumbavu!!
Una hate kiushabiki tu lakini logically unaona kabisa huo ni ujinga na siasa za kizamani
 
Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Mheshimiwa Florent Kyombo, akabidhi kompyuta Mbili shule ya Sekondari Bwabuki Ya Kata Kitobo na Shule ya Msingi Lukurungo Kata Bugandika

Ofisi ya Mbunge wakikabidhi kompyuta hiyo kwa niaba ya Mheshimiwa Kyombo wamesema, utoaji wa kompyuta hizo ni mwendelezo wa zoezi la Mhe. Kyombo la kutimiza ahadi na maombi mbalimbali katika Shule zenye uhitaji

Walimu na wanafunzi pamoja na wanavijiji wamempongeza Mbunge Kyombo kwa kujali elimu hata kutoa vifaa hivyo ambavyo vitasaidia wanafunzi katika masomo yao na kupunguza changamoto na vifaa hivyo ambavyo vitakuwa msaada mkubwa katika kuongeza ufanisi wa ufundishaji na ujifunzaji.

Mama Samia kipenzi cha watanzania kazi iendelee

Mhe. Florent Kyombo kijana shupavu mwenye mapenzi na Jimbo lake kazi iendelee

Madiwani wote wa Wilaya Missenyi kazi iendelee

View attachment 2934222View attachment 2934223View attachment 2934226
Mbunge sasaa amekumbuka account yake Jf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom