Mke wa Jamaa ninayemdai!!

kweli huo umekaa kimtego mtego ukizingatia hao wanaofanya deal za umeme baadhi yao ni matapeli sana wanaitwa vishoka,sitaona ajabu kuwa kapnga deal na mkewe.
 
jamani wanawake wengine,hata aibu hawana,unajua kabisa huyo anafata deni lake,wewe unaleta habari nyengine,looo! pengine huo ni mtego au pengine huyo mwanamke ameshamchoka mume wake anatafuta wa kumkuna
 
Jamani mimi nina Jamaa nilimpa kazi yakuniwekea umeme kwangu lakini akaleta mita ina unit1000 halafu haishuki baada yakugundua nika sema sasa nataka vya halali nikaanza kufuatilia tanesco nikapata lakini jamaa namdai500000 ananipanusunusu mpaka sasa namdai 150000 cha ajabu nikienda kwake mkewe anamponda mmewe kwamba kazidi na anasema atanisaidia mwishowe kasema shemeji ninamazungumzo nawewe lakini faragha jamaa asijue nikakubali nikakutana naye akaanzakunipa mtungi nikasubili aniambie mpaka naondoka akasema nakupenda nakuomba uwe wazi kwangu kama umekubali!!Je nifanyeje??

...khekhe! anataka kukugawia 'umeme' huyo, sepa haraka sana.
 
Nawashukuru wote kwa upendo wenu na busara zenu nimeweza kujitambua kuwa ni kwajinsi gani mwana jamii mwenzenu msivyopenda aangamie!!Ila bahati mbaya sana nimechelewa kuileta kisa hiki japo simbali nasiku ya tukio, kisa kiko hivi;Baada jamaa kunizungusha sana mimi nikaenda nimenoa panga mpaka kwake kwakuwa nilijua lazima nikimkuta kilichomo kwake ningechukua basi kufika nikamkuta bibie akanikaribisha nikauliza akasema ajaja mimi nikaa getini nasubiri mara mkewe akaja akasema karibu ndani sivizuri kukaa nje atakuja nikaa ndani pale kwao kuna kaka mtu mwenye uwezo hivyo mkewe na kakake akaona lilesekeseke akanishauri niende polisi kwahuyu shemejie ameshindikana!nawamechoka kulipa madeni basi mimikusikia hivyo nikaona nimeshalizwa je nifanyeje??kwakuwa mke kaisha penda nikagusia mke akasema sasa mbinde nitatokaje??nikamwambia hiyo sikazi yako nikampigia mshikaji zje achukue taxi ajifanye polisi aje nikamuelekeza akaja mimi nikamwambia twende polisi mumeo atakuja kukuchukua polisi, hiyo saa tatu usiku demu akakubali akaenda kuaga nyumba kubwa wakasema kama akija tutamwambia akufate!Wakaniuliza baba sasa unaenda kituo gani?nikawambia buguruni kwani nikimpeleka kituo chakaribu atakuja atatoka kilahisi hivyo tukaenda hadi kinondoni yule mshikaji nikamtoa kiaina drivertaxi akujua issue tukaenda ku du ze nidf vyakutosha saa 7 nikamrudisha kila mmoja na taxi yake nikamfundisha jinsi yakusema kwamba nimemwonea huruma kwakuwa alikuwa amewaachawatoto peke yao!!Sasa basi kesho yake asubuhi mume wake akaja yule mdai wangu nikasema sasa ukisikia mbinde nileo alivyofika nikaka tayari panga karibu!!alivyokuja akaja anaomba samahani nyingi eti amesikia yaliyotokea jana yake anashukuru kwa huruma yangu yakumwacha mkewe bila yakumweka ndani!!nikashusha pumzi nikamwuliza kwahiyo?akasema jioni tukutane mahali nikamwambia mimi siendikokote aniletee home kweli jioni akaleta 100,000.nikabaki namdai 50000 mkewe akaleta siku moja ze nidful nakuniambia basi nisimdai mmewu hiyo 50000 atamdai yeye naataichukua nikakubali haraka haraka!!je kulikuwa na ubaya?? Mkuu kaizer hakuna fctn is true!
 
Jamani mimi nina Jamaa nilimpa kazi yakuniwekea umeme kwangu lakini akaleta mita ina unit1000 halafu haishuki baada yakugundua nika sema sasa nataka vya halali nikaanza kufuatilia tanesco nikapata lakini jamaa namdai500000 ananipanusunusu mpaka sasa namdai 150000 cha ajabu nikienda kwake mkewe anamponda mmewe kwamba kazidi na anasema atanisaidia mwishowe kasema shemeji ninamazungumzo nawewe lakini faragha jamaa asijue nikakubali nikakutana naye akaanzakunipa mtungi nikasubili aniambie mpaka naondoka akasema nakupenda nakuomba uwe wazi kwangu kama umekubali!!Je nifanyeje??
Huu ni mchoro umepangwa na mdeni wako, anatafuta pesa ya kulipia hilo deni na zaidi. Kitakachofuata ukishamkubali atapanga fumanizi na ninakuhakikishia utafumaniwa kwa aibu sana. Watakuinamisha, watakumwagia ute wa yai kunako nanihii halafu watachukua picha za mnato na video, na hizo zitakuwa ndizo mtaji wao. Kwanza kuachiliwa siku hiyo itabidi utoe milioni moja (kumbuka unamdai laki na nusu tu!). Na baada ya hapo, kila watakapohitaji pesa kwako watakukumbusha kuwa wana picha zako, yaani hizo utazilipia maisha yako yote. Kimbia bro, yaani kimbia sana!
 
Nawashukuru wote kwa upendo wenu na busara zenu nimeweza kujitambua kuwa ni kwajinsi gani mwana jamii mwenzenu msivyopenda aangamie!!Ila bahati mbaya sana nimechelewa kuileta kisa hiki japo simbali nasiku ya tukio, kisa kiko hivi;Baada jamaa kunizungusha sana mimi nikaenda nimenoa panga mpaka kwake kwakuwa nilijua lazima nikimkuta kilichomo kwake ningechukua basi kufika nikamkuta bibie akanikaribisha nikauliza akasema ajaja mimi nikaa getini nasubiri mara mkewe akaja akasema karibu ndani sivizuri kukaa nje atakuja nikaa ndani pale kwao kuna kaka mtu mwenye uwezo hivyo mkewe na kakake akaona lilesekeseke akanidhauri niende polisi kwahuyu shemejie ameshindikana!nawamechoka kulipa madeni basi mimikusikia hivyo nikaona nimeshalizwa je nifanyeje??kwakuwa mke kaisha penda nikagusia mke akasema sasa mbinde nitatokaje??nikamwambia hiyo sikazi yako nikampigia mshikaji zje achukue taxi ajifanye polisi aje nikamuelekeza akaja mimi nikamwambia twende polisi mumeo atakuja kukuchukua polisi, hiyo saa tatu usiku demu akakubali akaenda kuaga nyumba kubwa wakasema kama akija tutamwambia akufate!Wakaniuliza baba sasa unaenda kituo gani?nikawambia buguruni kwani nikimpeleka kituo chakaribu atakuja atatoka kilahisi hivyo tukaenda hadi kinondoni yule mshikaji nikamtoa kiaina drivertaxi akujua issue tukaenda ku du ze nidf vyakutosha saa 7 nikamrudisha kila mmoja na taxi yake nikamfundisha jinsi yakusema kwamba nimemwonea huruma kwakuwa alikuwa amewaachawatoto peke yao!!Sasa basi kesho yake asubuhi mume wake akaja yule mdai wangu nikasema sasa ukisikia mbinde nileo alivyofika nikaka tayari panga karibu!!alivyokuja akaja anaomba samahani nyingi eti amesikia yaliyotokea jana yake anashukuru kwa huruma yangu yakumwacha mkewe bila yakumweka ndani!!nikashusha pumzi nikamwuliza kwahiyo?akasema jioni tukutane mahali nikamwambia mimi siendikokote aniletee home kweli jioni akaleta 100,000.nikabaki namdai 50000 mkewe akaleta siku moja ze nidful nakuniambia basi nisimdai mmewu hiyo 50000 atamdai yeye naataichukua nikakubali haraka haraka!!je kulikuwa na ubaya?? Mkuu kaizer hakuna fctn is true!

Duh! Kumbe fixion bana! Nimejisumbua kukuandikia ushauri kumbe fix! Lo! Ngoja nikaifute.
 
Nakushauri usijaribu kakakiiza utaula wa chuya, usilete njaa hapo ukaja kupata aibu ya milelel
jamani mimi nina jamaa nilimpa kazi yakuniwekea umeme kwangu lakini akaleta mita ina unit1000 halafu haishuki baada yakugundua nika sema sasa nataka vya halali nikaanza kufuatilia tanesco nikapata lakini jamaa namdai500000 ananipanusunusu mpaka sasa namdai 150000 cha ajabu nikienda kwake mkewe anamponda mmewe kwamba kazidi na anasema atanisaidia mwishowe kasema shemeji ninamazungumzo nawewe lakini faragha jamaa asijue nikakubali nikakutana naye akaanzakunipa mtungi nikasubili aniambie mpaka naondoka akasema nakupenda nakuomba uwe wazi kwangu kama umekubali!!je nifanyeje??
 
Ndoa ya mtu hiyo kaka wala usijaribu usijehama mji. Mke wa mtu si msichana, huwezijua may be ametengeneza deal na mumewe ili ufumaniwe ndo hata ile 500 k haitatosha itakubidi utop up. Jitunze best kama una mke dumu naye kama huna vumilia lakini never give in to hicho kishawishi. Mwambie unampenda vilevile but kama mke wa mtu tena mdeni wako!
Well said Gen:A S thumbs_up:
 
Mke wa mtu ni sumu, usijaribu chombeza yatakuja kukuta usiyoyategemea x2
mke wa mtu ni sumu, usijaribu chombeza yatakuja kukuta usiyoyategemea x2
 
duh kumbe ule mtego aliokuwekea Aspirin unakaribia kunasa mtu hiyo 150,000 sasa itarudi kwako na kutop up 1,850,000

hiyo mbona afadhali, fikiria ufumaniwe na aje na jamaa mateja 7 alafu wakushughulikie.... achana nae huyo mwanamke , usimwone mdaiwa mjinga anakutega, kesha kuona unamsumbua sasa anataka kukumaliza.. kimbia sahau iliyobaki...
 
Ndio kitakachotokea!
 
pole kakakiiza, ndo matatizo ya kuoa kahaba!ucheze tu huo mziki nadhani uliupenda toka mwanzo!!!!!

Nifafanulie mimi nimeoaje tena kahaba?/au umekurupuka usingizini??:A S angry:
 
jamani wanawake wengine,hata aibu hawana,unajua kabisa huyo anafata deni lake,wewe unaleta habari nyengine,looo! pengine huo ni mtego au pengine huyo mwanamke ameshamchoka mume wake anatafuta wa kumkuna

kumbe mkimchoka mwanaume ndo mnakuwaga hivyo eeeeeeeeeeh????????
 
Nifafanulie mimi nimeoaje tena kahaba?/au umekurupuka usingizini??:A S angry:

Pole kakakiiza, nimetumia neno kahaba kwakuwa naona mkeo hajatulia kabisa kwa maamuzi hayo ambayo anataka kuyachukua kwani hayafai kwa yeye kama mke wa mtu!!!
 
hiyo mbona afadhali, fikiria ufumaniwe na aje na jamaa mateja 7 alafu wakushughulikie.... achana nae huyo mwanamke , usimwone mdaiwa mjinga anakutega, kesha kuona unamsumbua sasa anataka kukumaliza.. kimbia sahau iliyobaki...

Mkuu nilishalipwa laki yangu na kudu ze nidif sitaki tena na namba niliibadili ya huyo mkewe alikuwa akinipigia anway asanteni kwaushauri!!:A S thumbs_up:
 
Mke wa mtu ni sumu, usijaribu chombeza yatakuja kukuta usiyoyategemea x2
mke wa mtu ni sumu, usijaribu chombeza yatakuja kukuta usiyoyategemea x2

Biashara na yeye imeshaisha!!nikiongezea na maushahuri niliyokokotoa hapa njanvini imekula kwake!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom