Mke wa hiari jf. . . !

mwahhhhhh nimekumisijeeeeeeeeeeeeeeee?

mai dia rudisha vimacho bwana lol! huwa nikiviona naona nimekuona wewe bana.
ngoja nisichakachue uzi wa mwanangu ila nakupenda sana cacico. you are ma best and true friend i love you ma dear.
 
Last edited by a moderator:
sifa zote ninazo hadi zimepitiliza ngoja nifikirie kutuma maombi maana hata Bishanga alikuwa navyo kafilisika halafu kitakachonikwamisha material things sitaki kaviuze kwanza basi
 
mwanangu mpendwa wa moyoni, binafsi nimefurah sana kuskia kutoka kwako kwamba unataka mke wa hiari humu jamvini. Ninachoweza kusema ni kwamba hapa aongea kwanza na baba yako Kaizer manake miye mama yangu ya umama nitakwambia sirini siku ukisha mpata huyo mlengwa.

ila sifa za kuangalia mwanangu angalia tu akupende kwa dhati kama mimi nimpendavyo baba yako Kaizer. awe si mgomvi wala asiyejua kupika hasa zile ndizi zetu za utumbo. awe mcha Mungu, mwenye kupenda kusikiliza kuliko kuongea, apende kuwa mama na mke na wala si kuwa mwanamke. pia awe mchapa kazi kama mimi mama yako nisije mwambia leo tuoshe nguruwe aanze kusema anaumwa, wala asiwe mfujaji yaani awe anatumia kile alichosave na si alichopata. sifa nyingine jamani awe mpenda watu na mwenye kujiheshimu.

Mama! Nimeyasikia maneno yako! Nitayatunza kama mboni ya jicho lako! Sitakuletea mwenye chokochoko, kiruka njia kama mbwa koko.

Pekupeku najua hutomtaka kwetu, mwenye huruma na kugawa kama sepewetu, alogawa mpaka ikapata ukurutu, ikawa ngumu utadhani imepata kutu!

Hekima,upendo na hekima, lazima viujaze moyo wake hima, mwenye kujali na kujawa na wema, ajuae nini cha kufanya ninaposimama. Asiwe anarukaruka kama kima, au msumbufu kama siwema, bali anipende mimi pamoja nawe mama
 
Last edited by a moderator:
sifa zote ninazo hadi zimepitiliza ngoja nifikirie kutuma maombi maana hata Bishanga alikuwa navyo kafilisika halafu kitakachonikwamisha material things sitaki kaviuze kwanza basi

Tuma application kwanza, via registered mail. Usisahau passport size mbili. Moja uwe umepiga unapoamka tuu na nyingne uwe umepiga ukiwa umemaliza kujipododa kuelekea harusini! With that application attach two recent photos in the same description as above! Observe the size pls 12 by 16
 
Mama! Nimeyasikia maneno yako! Nitayatunza kama mboni ya jicho lako! Sitakuletea mwenye chokochoko, kiruka njia kama mbwa koko.

Pekupeku najua hutomtaka kwetu, mwenye huruma na kugawa kama sepewetu, alogawa mpaka ikapata ukurutu, ikawa ngumu utadhani imepata kutu!

Hekima,upendo na hekima, lazima viujaze moyo wake hima, mwenye kujali na kujawa na wema, ajuae nini cha kufanya ninaposimama. Asiwe anarukaruka kama kima, au msumbufu kama siwema, bali anipende mimi pamoja nawe mama

Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote iangalie nia ya mwanangu Ronn M ukaitimize. kamletee mwenza wa kufanana naye awe na heshima kama mwanangu na awe mke kweli kwake na wala siyo mwanamke.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote iangalie nia ya mwanangu Ronn M ukaitimize. kamletee mwenza wa kufanana naye awe na heshima kama mwanangu na awe mke kweli kwake na wala siyo mwanamke.

Amen mamito!
 
Last edited by a moderator:
Tuma application kwanza, via registered mail. Usisahau passport size mbili. Moja uwe umepiga unapoamka tuu na nyingne uwe umepiga ukiwa umemaliza kujipododa kuelekea harusini! With that application attach two recent photos in the same description as above! Observe the size pls 12 by 16

recent passport niliyonayo ni ile niliyokuwa msibani nalia inaweza kufaa halafu huwa sijipodoi mafuta ya mawese yananitosha
 
Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote iangalie nia ya mwanangu Ronn M ukaitimize. kamletee mwenza wa kufanana naye awe na heshima kama mwanangu na awe mke kweli kwake na wala siyo mwanamke.

Kwa dizain ya hizi sifa...
Nina mashaka na Mungu kuingilia Kati.
 
Last edited by a moderator:
Ooooh hakuna aliyekubali hiyo offer hadi sasa! Ronn M ina bidi ulegeze masharti!
 
recent passport niliyonayo ni ile niliyokuwa msibani nalia inaweza kufaa halafu huwa sijipodoi mafuta ya mawese yananitosha

nafikiri wewe unautan na mimi. yaani unataka kunizika kabla sijafa? hiyo picha ulikuwa unamlilia nani? manake uskute unanichuria nife ili mwanangu umteke.......... lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom