Mke wa hiari jf. . . !

Mkubali huyu kijana wetu!
Ili apate amani.
Hao watakuwa hawafatilii comments zako!

hhahaa ivi kwa nini watu wengi wanafikiri hiyo ID ni ya mwanaume me ke bwana "kweli inaniweka huru"
 
Ruta naona umejitolea kuwa mshenga wa hiari kwenye mke wa hiari it sound nice man.wakora weitu
 
Duh! Ke wewe mzuri au? Ambatanisha cv
Uzuri ni very subjective Ronn,me naweza kujiona mnene mweupe na sifa nyinginezo kumbe mwenzangu wew kwako uzuri ni weusi wembamba na mengineyo.Cv hatutofautiani sana the difference lies kwenye nyumba na masters me nina ya IT
 
Mie mwembamba hapana ila sio unene tipwatipwa! Maximum weight should not be below 58 and in anyway not above 70! Of course with this weight the figure must be defined. Any colour do well with me save only for serious blackness! Talkative are highly discouraged to apply!
 
Talkative are highly discouraged to apply![/QUOTE]

hahahaha unataka bubu?Well talkative resemble much with charming though to some extent they do differ hata charming hutaki?yani anayejua wakatti gani wa kuonge kitu gani na wakati gani wa kukaa kimya?umri?
 
Naona kijana ana karibia kunasa!

Talkative are highly discouraged to apply!

hahahaha unataka bubu?Well talkative resemble much with charming though to some extent they do differ hata charming hutaki?yani anayejua wakatti gani wa kuonge kitu gani na wakati gani wa kukaa kimya?umri?[/QUOTE]
 
Kijana chukua chombo hicho usikiache!

Mie mwembamba hapana ila sio unene tipwatipwa! Maximum weight should not be below 58 and in anyway not above 70! Of course with this weight the figure must be defined. Any colour do well with me save only for serious blackness! Talkative are highly discouraged to apply!
 
Mshenga kweli unafaa hii idd itabidi nikutafute nikkupe kikombe cha kahawa sasa kama uko ulipo ndo kwa kukapanda ndege cjui itakuwaje
 
Jamani mshenga ofa yangu naona imekataliwa indirectly ngoja nilale kwa uzuni niwahi kanisani.wooote nawatakia weekenda njema yenye amani na baraka tele!
 
Talkative are highly discouraged to apply!

hahahaha unataka bubu?Well talkative resemble much with charming though to some extent they do differ hata charming hutaki?yani anayejua wakatti gani wa kuonge kitu gani na wakati gani wa kukaa kimya?umri?[/QUOTE]

Charming? Thats gr8! Are u? Age limit not above 30!
 
Jamani mshenga ofa yangu naona imekataliwa indirectly ngoja nilale kwa uzuni niwahi kanisani.wooote nawatakia weekenda njema yenye amani na baraka tele!

Don loose hope easily! Mambo mazuri hayataki haraka! And for us lawyers verification is important! Najaribu tuu kuwa makini na mkataba nitakaofunga hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom